Gwajima na mapungufu yake mengi tuu lakini this time around kaongea kitu kikubwa sana kilichogusa mamilioni ya watanganyika kwenye swala zima la utekaji
Wengi tulitegemea ndani ya chama chake apate support kubwa ama ajibiwe kwa hoja ..
Kinyume chake kuanzia uduvi, dagaa, kambale na sharubu...