sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu, gazeti la Mwananchi la leo. Hili ni swali, hizi tuhuma za wanaharakati wa jirani kutendewa ndivyo sivyo, ni zinatuchafua kwelikweli kitaifa na kimataifa!. Swali je ni Tanzania tunachafuliwa kwa tuhuma za uongo?, au tuhuma hizo ni kweli, sisi ni Wachafu? na...
  2. K

    Uyole raha sana waku

    Hiyo konyagi hapo mnayoiona bei ni 3,500/=,soda 7,00/= maji 1,000/= Totall 5,200/= Nipo kwa shangazi pub huku uyole tulia road napiga vyombo tu,aliyeko karibu aje tule vitu. Kitimoto huku nusu ni elfu 5 tu.
  3. Komeo Lachuma

    Kiukweli Gwajima katuvuruga sana. Tunawaza na kuwazua

    Huyu jamaa halafu anajiamini nini? Haogopi hata. Yupo free na wala hana woga. Akiongea wanatumwa watu na kujituma kumjibu yeye ana wacheck tu halafu anapita kibabe mbele yao.
  4. fact only

    Wakuu ni hatari sana

    Hivi sasa na kuendelea tunaishi humu. Maana watu ni wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi. Wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda...
  5. Consigliere

    Kama hili la Wakenya kujipanga kuwaomba msamaha Watanzani ni kweli, basi hilo ni tusi kubwa sana kwetu

    Leo mapema tu nikiwa natoka zangu Nakuru to Nairobi along the A104 highway (Nairobi-Nakuru Highway), nilipofika pale Kayole pande za Naivasha nikaona ninunue some drink and bites za kunipa company kwenye kasafi hako ambako si karefu ni kama Kanakaribia umbali wa Dar mpaka Moro. Nikaingia...
  6. DR HAYA LAND

    Sura ya Bashiru Ally Kakurwa inazungumza mambo mengi sana !

    Sura huwa inazungumza. Ukimtazama Bashiru Anafikiria alivyoharibu demokrasia kuhasisi mambo ya kupita bila kupingwa Anafikiria ule mchakato wake wa wabunge na madiwani wa chadema kuhama na kuunga mkono juhudi. Na anafikiria je agombee ubunge pale Bukoba vijjini je atatoboa ? Wabunge wa ccm...
  7. Dennis Robert Shughuru

    Kutakua na mradi kubwa sana wa ku-analyze protein data zote ambazo zipo kwenye uniprot database

    Analysis of protein data itabase kwenye maeneo yafuatayo Energy distribution of individual amino acid and complete protein Magnetic force of individual amino acid and complete protein Amino acids sequence rules Protein folding mechanism Predict protein mutation Link ifuatayo inakuonyesha data...
  8. mriringa

    Andaa kesho yako, leo muda si rafiki sana

    Miaka ya nyuma akili yangu iliwaza kwamba tajiri ni mtu mwenye fedha za kutosha na sikuwahi kuwaza kwamba tajiri mbali na kuwa fedha ila anaongozwa na umiliki wa asset za kutosha. Tajiri anayemiliki ardhi ya kutosha na ndani yake akaweka mazao ya muda mrefu Hadi kuvuna ni tajiri mwenye maono...
  9. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Kwanini mtu ukifanya sana ngono unapoteza nuru usoni ?

    Nafikiri sex inawanufaisha Wanawake Ila kwa wanaume is waste of time Ukitazama Vijana Ambao hugonoka wamepoteza Sana Nuru . Binafsi nipo na 30 yrs now nimeacha Sex kwa muda wa mwaka mmoja na nimeacha kutumia vinywaji vya dukani even junk food Ila nimerudi early 20 Nuru imewaka uwezo wa...
  10. third eye chakra

    Magic mushrooms inanguvu kubwa sana yakufanya ubongo wako uiingie katika ulimwengu wakufikirika wa miujiza

    Magic mushrooms sio tuu kukuingiza katika ulimwengu wa maajabu Pia ninzuri sana kwa wale wanao Fanya meditation yakiwango cha juu sana. Hii ni ninzuri sana kwa wale wavivu wakukaa kitako muda mrefu kwenye tahajudi. Utakapo tumia hii kitu nihapo hapo itakuingiza katika ulimwengu wako...
  11. Dennis Robert Shughuru

    Kwa mara ya kwanza na-report Mzumbe university first year nilikua disappointed sana na mazingira

    Mambo ntakayoyafanya nikìwa Rais wa Tanzania kwa Kuboresha mazingira ya vyuo na kua ya kisaaa kama ifuatayo Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali barabara zote zinapigwa lami Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali kunapigwa pavement hapawi na vumbi Vyoo vinatoa maji 24/7...
  12. Komeo Lachuma

    Ugomvi wa K. Nkrumah na J. K. Nyerere. Kwame alikuwa akimhofia Nyerere sana

    Kutoka kwa mwanajamiforums Shwari ambaye aliweka nakala ya kitabu chenye kuelezea mikasa ya hawa wapigania uhuru na harakati za ukombozi wa Africa. Nkrumah alihisi kuwa alikuwa amemtumia Sekou Toure. Lakini alikatishwa tamaa na Nyerere zaidi ya alivyokuwa na Sekou Toure. Alimwona Nyerere...
  13. Manepesa

    Berkane ni timu dhaifu sana na wamepewa refa wa kimkakati kuwasaidia

    Kwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba wangejua outplayed. Ila nilichokiona na wadau wa mpira nilikua nao tumeona tofauti, Simba imepiga...
  14. N

    Mapenzi yanaumiza sana haswa kwa sisi wenye mioyo midogo

    Haya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu.. Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo Nilijua kwamba anaweza kuwa na mwanamke ila sikujua kama ndio wana mahusiano serious hivyo Sasa wakuu nitapata wapi kijana singo kama...
  15. M

    Karma ni Karma huwa inawatafuna sana wanafiki, refa aliyeinyima Yanga goli halali kule Afrika Kusini Simba wakakenua leo hii ndio analaumiwa

    Mashabiki wengi wa Simba ni awajielewi kabisa,,Leo hii wanapiga mayowe eti refa kawanyonga na wamesahau ni refa uyu uyu alikataa goli halali la yanga kule kwa madiba na wakakenua meno yote 32 nje? Goli lile laiti lingekubaliwa lingeipekeka yanga hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa laana ambayo...
  16. W

    iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  17. ELI COHEN

    Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana

    Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani na utulivu.
  18. Yoda

    Wabongo ni wavumilivu sana au wanaridhika kwa hali duni na vitu vidogo tu?

  19. Fbn

    Kumbe ndio maana uraisi ni mtamu sana yani mshahara wa raisi wa tanzania ni mkubwa kuliko raisi wa china.

    Kuna orodha nimepata hapa ikionesha dunia nzima maraisi na mishahara yao.Samahani hizi sio benk statemnt za CRDB ni zadunia. raisi wa china mshahara wa mwezi ni USD 20000 na wa raisi wa tz ni usd 47300. Na hapo kumbuka ni mwakajana ukisikiwa watumishi na walimu mumeongezewa mshahara mkaanza...
  20. MamaSamia2025

    Mliomnyima kitalu cha kuchimba dhahabu Kigwangala mnasababisha atokwe na mapovu sana... sio sawa..

    Kigwangalah should learn to MOVE ON... He is not the only citizen who deserves to be a minister. Hata Lucas Mwashambwa anaweza kuteuliwa na rais kuwa mbunge na akawa waziri siku hiyohiyo. Ile ni nafasi ya kisiasa tu haina uzito kama ukatibu mkuu wa wizara. Huyu jomba kila siku anatoa kilio kwa...
Back
Top Bottom