The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Tuwape maua yao South Afrika kipindi kile cha COVID-19 zilidondoka amapiano kila ngoma ilikuwa fire moja kati ya hizo ngoma ilikuwa Jerusalema ya Master KG hili dude lilikuwa habari nyingine aisee.
Dude jingine lilikuwa ke star remix ya Focalistic na Davido hatujatulitia wakatuchapa na champion...
Wakuu, nimekutana na mjadala wa magari ya EV (electric vehicles) vs ICE (internal combustion engine) kwamba ipi ni afadhali kwa mtu mwenye mizunguko mingi (~km 50 hivi kwa siku). Mabishano yakikua kwenye issue kuu tatu, gharama za matengenezo, uendeshaji na uwoga wa battery kuchakaa.
Najua kwa...
Jaji Mkuu wa Tanzania George Mcheche Masaju akifungua Mkutano wa Tisa wa Kamati ya Utatu (Tripartite Users Committee) kwenye ukumbi wa PSSSF TOWER - Mawasiliano jijini Dar es Salaam, leo 25 Agosti, 2025 amesema, "Kwa sasa, kuna Majaji wanahangaika, Mafao yao hawalipi, wanaleta na vikwazo ambavyo...
Baada ya wao kutoa jezi mbovu, zinizi na ubora wowote, inasemekana jezi mpya za Simba zimetoka, wanaozipost ni washabiki wa Yanga pamoja na mwandishi kanjanja İbrahim Ambokile.
Kama kweli zile ni jezi za Simba nimezipenda na nitazinunua za rangi zote, ni jezi zenye Quality ya kutosha, yule Ali...
Jezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025”
Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio jezi nzuri.
Aliwahi kuzungumzia hili swala Nyani Ngabu kuwa Tanzania hakuna vyama Vya upinzani na havujawahi kuwepo.
Na mkija kumuelewa Nyani Ngabu mtakuwa mshateseka Sana .
Mtu namdai laki 1 tu,lakini huu unaenda mwezi wa 2 sasa,kila mshahara ukitoka jamaa anasema ana vipengele vingi hivyo nimvumilie.
Huu sio uungwana kabisa
Nimekosa imani kwa Chama Cha Mapinduzi. Naona kimejaa majambazi, wahuni na malaya wa kiitikadi. Namchukia sana Kikwete na genge lake la Wahuni akina Rostam kwa mujibu wa Polepole.
Sipendi kuwachukia watu hawa. Napaswa niendelee kuwachukulia kama ni role models wangu. Kuwa ni watu wanaotumia...
Habari Wadau:
Inafahamika kuwa kila binadamu ana kile anachokipenda zaidi, na asichokipenda zaidi katika vyakula na matunda..
Kwenye upande wa matunda nayapenda mengi tuu, ila katika hayo yote kuna tunda nalipenda zaidi na bahati mbaya sikutanagi nalo mara kwa mara,
Tunda lenyewe linaitwa...
Maana,
kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi,
Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua...
1. Pemba
2. Unguja
3. Shinyanga
4. Mbeya
5. Kondoa
6. Kagera
Nb maeneo hayo Nimeyapanga kutoka juu kwenda kwenye unafuu.
Mikoa hii hakuna wimbi la watu wanaonuka midomo hongereni
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Tanga
4. Tabora
Wakuu,
Nadhani wote tunajua kuwa sasa hivi Bongo FLeva haisikilizwa Tanzania pekee.
Kuna watu kutokea pande mbalimbali za dunia wako busy kweli kusikiliza muziki wetu.
Nimeona tujikumbushe ngoma za Kibongo ambazo wakati zinatoka hazikuhit tu Tanzania bali zilienda kusumbua hata huko duniani...
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya biashara yoyote au mawasiliano yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF wala...
Sidhani kama imewahi kutokea duniani wananchi wengi kufurahia timu yao kufungwa na timu ya tafa jingine katika mashindano makubwa kama haya ya CHAN.
Ni jambo la kipekee ambalo linaonyesha kuna jambo kubwa sana linatotupata Watanzania, na hatua za haraka sana zinatakiwa kulirekebisha.
Namsihi...
Nmejipatia tsh 1,200,000 baada ya kubet na jamaa yangu mmoja mwana CCM ambaye aliniambia leo piga ua T. Stars inashinda. Iwe isiwe. Nami nikasema haitoshinda. Nimefanikiwa kushinda mimi.
Tsh 1,200,000. Life is good banabongo. Safi sana Morocco na mfanikiwe zaidi na zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.