sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kitaua soka la Tanzania.

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  2. M

    Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kinatisha

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  3. Setfree

    Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!

    Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake...
  4. M

    Bwana yule alikuwa smart sana!

    Kwema 'Directors'? Kitendo cha Bwana yule kumzidi kete bosi wake wa wakati huo na kufanikiwa kupenya na kupeperusha bendera, kinaonesha Bwana yule alivyokuwa mjanja(smart)! Ama kwa hakika, alikuwa jogoo la shamba lililowika mjini. Alikuwa mkulima aliyevimba mbele ya watoto wa mjini na...
  5. S

    Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver

    Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver, Bei 30,000 Tsh. Programu ya data saver itakusaidia kuepusha Windows OS kujiupdati na kuzuia background usage la bando lako. Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  6. Kaptula la max

    Kizazi cha 80's ni moja ya vizazi vya ovyo sana Nchi hii!

    IGwe! Moja ya vizazi vya hovyo kuzaliwa nchi hii basi ni kizazi cha miaka ya 80's. Hiki kizazi kimejaa kina baba na kina mama wabinafsi wa kupindukia, waoga wote wako humu, machawa wote utawakuta humu, kama ulimsikia jiwe akizungumzia watanzania wanyonge basi alikua anazungumzia hili kundi! ni...
  7. Setfree

    Msomi huyu ameduwaa kusikia kwamba huoni haja ya kwenda Kanisani kesho Jumapili

    I’m really perplexed—how can any rational soul, endowed with both reason and revelation, deliberately choose domestic repose over the divine encounter that tomorrow’s sacred Sunday demands? What curious apathy, what spiritual amnesia, compels one to ignore the sacred rhythm of worship appointed...
  8. Marry Diana

    Wanaume wa humu mna dharau sana

    Habari za muda huu Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara. Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua, Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani...
  9. Lord Denning

    Sio kwa Ubaya: Ndugu zetu wako nyuma sana kwenye kupambania Ukweli. Ndo mana wameizunguka Israel ila Palestina anapigwa kila siku na wao wapo tu

    Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960. Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na unyonge ila waliweza kusimamia kweli na kuitetea kweli. Waliisimamia Palestina dhidi ya Israel hadi...
  10. M

    Chadema ngumu sana kuishi kwa sasa

    Chadema ngumu sana kuservive katika msuko msuko wa siasa hizi, watakuwa kama Muslim brother Huud kilivyosambaratishwa nchini Egypt
  11. M

    Iko wazi kwa sasa mama anahujumiwa kwa akili ya juu sana

    Huu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu hawajitokezi hadharani kufanya uovu wao... Kwa mfano kuwatumia hawa zero brain kama Steve kukisemea chama na...
  12. D

    Demokrasia ipo juu sana tanzani. Hongera mama. Jpm aliogoa sana demokrasi kwa kuw hakujiamini.

    Wote tunakumbuka kipindi kile ukitokea we ni mpinzani unawindwa na akinq sabaya na makonda kwa maagizo ya yule nduli. Alifunga mikutano yote ya chadema kwa kuwahofia na hakuwa anapenda kabisa siasa ndo mana nchi iliongozwa kwa uongo mwingi mana hakukuwa na mkosoaji na aliogopa hilo Mama...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Wanachambua data kwa kutumia tools nyingi sana zifuatazo

    Wanafanya DATA ANALYSIS kwa kutumia tools zifuatazo: SPSS, R, Python, STATA, SmartPLS, MATLAB, SAS, NVivo, MAXQDA, 📞 Unaweza kuwasiliana nao kupitia njia zifuatazo: Simu/WhatsApp: 0687746471/0612607426 Email: bandg.editors@gmail.com
  14. U

    Wayahudi wana huruma sana wagawa msaada mkubwa sana wa dollar billion 281 kwa ndugu zao wa Gaza

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times Israel. Advertisement ============ Serikali ya Israel imetuma mamia ya mamilioni ya shekeli kufadhili utaratibu mpya wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza, kituo cha habari cha Kan kiliripoti Jumatano, kinyume na...
  15. M

    Hali imekuwa ngumu sana kwa sisi tunaotafuta kwa njia halali

    Yani hali yetu ni tete sana labda hao wenye mirija ya ufisadi kwao mambo yao safi.Yani toka mwaka uanze jadi sasa biashara hazijachangamka mzunguko wa hela tabu tu.
  16. Roboti Wa Nape

    MADHARA YA UTANDAWAZI NA MUINGILIANO WA KIUTAMADUNI: Ni ngumu sana mwanaume wa sasa kuchomoka kwenye mitego ya Ngono.

    Nimeona video moja, Shehe kijana akilalamika hapa Dar kuwa wanapitia wakati mgumu sana watumishi wa Mungu kutokana na kuzungukwa na mazingira ya Ngono. Hii ni kweli na kwa wanaume wa sasa, bila kuwa na tabia ya kujitambua na kuwa na subira na kujiheshimu, ni ngumu sana kukabiliana na mazingira...
  17. Dennis Robert Shughuru

    Barabara za Tanzania zitakuwa na ubora mkubwa na mwonekano mzuri sana

    Barabara za lami za nchi ya Switzerland au Japan ni imara na pia ni nzuri sana kwa mwonekano zinavutia Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha barabara za Tanzania zinakuwa na ubora na zitakuwa nzuri kwa mwonekano
  18. fundi bishoo

    Kila instagram page ya msanii au hawa watu maarufu au machawa wananchi wanawapelekea moto sana aisee

    kilal msanii akipost anaandikiwa no reform nk election 😀🤣 kila chawa akipost hoja ni hyo mpaka wengine wamejamm kufungia X kumeleta changamoto instagram huu mwaka wa moto sana endeleeni kupiga spana watanzania tuungane tupeleke moto🔥🔥
  19. Komeo Lachuma

    Kama unasugua sana Vipapiro na ni Mzee wa Pekululu Zingatia sana hili

    Ndiyo mimi nina miaka zaidi ya 20 sijatumia kiatu. Napenda kucheza game pekuluku au pekupeku. Nahakikishia uwanja umeloana vizuri sana ndo naingia ndani. Hapo nitavuruga nitakavyo. Kama unapenda kula kipapiro, mbususu , papuchi, kipochi manyoya, kipochi nyevu. Hakikisha kwa usalama wenu kiwe...
  20. Crocodiletooth

    Dkt. Kigwangalla umekuwa ukiililia sana Simba SC, Je ukibwagiwa zigo utaliweza?

    Jamaa kila uchwao huwa anaililia simba hii, akipewa ataimudu au Ana mpango gani?, kuhusiana na simba atuwekee hapa!
Back
Top Bottom