Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Mpaka sasa sijaelewa diplomasia ya serikali ya Mama Samia imejikita kwenye nini hasa! Uchumi, usalama au nini?
Kwa majirani zetu wa Kenya na Uganda tumeshaharibu hivyo hivyo hatuko vizuri sana na Congo na Rwanda.
Cha ajabu kwangu leo ni kwamba wakati Marekani na EU wakilalamikia hali ya mambo nchini kwetu nimeona kama vile Mama anaonyesha Urafiki wake zaidi uko na North Korea, China na Urusi. Je ni kweli hawa ndio wadau wetu wakuu kwenye maendeleo ya nchi yetu?
Je vitendo kama hivi haviathiri diplomasia yetu na watu wa Magharibi hususan wakati huu wa vita ya Ukraine?