sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maoni ya Wakili: Kumfunga mtu kwa kitu ambacho hakifanyi ni gumu sana, labda kwa amri

    Ndugu wanajukwaa nami kama wakili msomi ninaomba ku-share nanyi kwa uzoefu wangu wa kesi mbali mbali nilizowahi kuzisimamia huko Tz na mifano ya rejea katika kufundisha kwangu somo sheria huku ugenini. Kiufupi kumfunga mtu kwa tukio ambalo hajalifanya ni ngumu sana hata kama umemkamata na...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wasanii waliotazamwa sana ndani ya mwezi wa kumi katika mtandao wa YouTube

    Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz 1. Diamond Platnumz - 33.6M 2. Rayvanny 20.9M 3. Alikiba 13.6M 4. Harmonize 11.8M 5. Zuchu 11.4M 6. Mbosso 11.3M 7. Lavalava 4.77M 8. Nandy 4.73M 9. Macvoice 3.1M 10. Marioo 2.9M
  3. C

    JamiiForums Tanzania Simba tafadhali msimchukue yule kocha wa Mamelodi, please mtajuta sana

    Litakuwa kosa kubwa la karne narudia tena kosa kubwa mnoooo Mookoena huyo wa south africa au kocha yoyote msouth affrica hafai kabisa nasikia Pitso Mosimane kampigia pande hapo, do not hire him. Wa south africa haswa weusi wanatudharau sana , hata mitandaoni ukiona jinsi wanavyokandia leagues...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Habari njema sana kwa wamiliki wa magari

    Kuanzia sasa, Serikali yetu, Awamu ya Sita, imeamua kununua mafuta moja kwa moja kutoka nchi marafiki. No mtu kati tena!
  5. JamiiForums Tanzania Siku zinaenda haraka sana

  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini huwa hatma ya kesi zinazochukua muda mrefu sana?

    Nina ndugu yangu ana kesi toka mwaka 2014, yuko nje kwa dhamana. Kesi hii inamtesa sana, hana raha.
  7. JamiiForums Tanzania Mashairi ya wimbo wa Lucky Dube "Guns & roses" yanagusa sana hasa kwa tunayofanyiwa na viongozi wetu

    Lucky Dube Lyrics "Guns & Roses" I don't know why I keep believing That one day, they'll bring us together When they've shown In more ways than one That all they care about is the dollar You belong to the one political party I belong to the one musical party Our differences are worlds apart...
  8. JamiiForums Tanzania House4Rent Fremu kubwa sana inapangishwa Mbezi

    Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa luguruni njia panda ya kanisa la KKT . Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center, bakery na nyingine nyingi. ukipenda fremu bei ni laki tano kwa mwezi ina Sqm...
  9. JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

    Yaani wengi watadhani ni as mulizi tu za Jomba Buji, lakini huku ndiko haswa tulikotoka 1. NGOMA YA MDUNDIKO Zama zile MDUNDIKO ulipita mtaa kwa mtaa jijini, ni mwendo mpwitompwito, nyimbo, ngoma, matusi, mikatiko, yaani kivumbi na jasho, unatoka kwenu Buguruni unajikuta uko Kawe Mzimuni, na...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwa asilimia kubwa sana dunia inaendeshwa na mawazo ya kike

    Kama dunia imekwama mahali fulani au imefanikiwa sana basi yote hayo mawili yamesababishwa na mwanamke. Wanaume wote kabisa kwa 90% ni wanawake kwa mawazo yao (ambayo ndiyo yanayotengeneza tabia zao na mifumo ya maisha yao), pia wanaishi mfumo ambao siyo dume bali jike (feminism) kasoro...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ukimaliza kufanya unajilaumu sana?

    Zamani nilikuwa na tabia sugu ya kupiga punyeto, haikupita siku bila kustua, hii ilinifanya nimtajirishe mangi flani ana duka kila baada ya siku 10 ilinibidi ninunue mafuta ya mgando ya elf 2 ya vaseline. Yani kila nikiona panawasha tu (nyege) nitaanza kujitetea sisi binadamu ni dhaifu sana...
  12. JamiiForums Tanzania Nimemuelewa sana huyu mdau, wewe unakubaliana nae?

  13. JamiiForums Tanzania Wakati nikiwa siwataki tena Makocha Gomez na Hitimana, Wafuatao upesi sana Wafukuzwe na Wasimamishwe Simba SC

    1. Meneja Patrick Rweymamu 2. Mratibu Abbas 3. Kipa Aishi Manula 4. Beki Shomary Kapombe 5. Beki Pascal Wawa 6. Nahodha John Boko 7. Kocha Selemani Matola Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani...
  14. JamiiForums Tanzania Mpende au Mchukie, Mugalu ni msaada mkubwa sana Simba

    Chris Kope Mushimba Mugalu ni straika ambaye tangu aje Simba amekuwa katika lawama na shutuma za kiwango chake, imefikia hatua hata mashabiki wake hawampendi. Ila jamaa ni bonge la straika, anapokuwepo kwenye timu anafanya wachezaji wa timu pinzani kuanzia watatu hadi wanne wasipande mbele kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Watu wanaoongea sana (micharuko) huwa hawana siri, chukua tahadhari

    Kwa utafiti wangu usio rasmi, kuna wale watu wanaongea sana, ukiwakuta kwenye kikundi cha watu au popote pale wao mara nyingi hupenda kudominate mijadala, mara nyingi waongeapo huongea kwa sauti ya juu sana, hujifanya wanajua kila kitu, pia hawa watu hupenda kuzoeana haraka na kila mtu ndani ya...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Black American analinganisha Accra na Nairobi. Anasema Nairobi ni kubwa sana

    Huyu mama kutoka USA ameishi Accra Ghana na wakati huu yupo Nairobi. Anasema Nairobi ni kubwa na kumejengwa sana ikilinganishwa na Accra. Sasa sijui Malazy huwa wanaikejeli Nairobi kwa nini na wageni kutoka nje wanaisifu.
  17. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na mawazo ya Thadei Ole Mushi. Polepole anakosea sana

    HUMPHREY POLEPOLE SI KUBEZA Na Thadei Ole Mushi. Huenda Polepole yupo sahihi lakini Madhara ya anachokisema ni makubwa mno. 1. Yeye kama Kiongozi ana Platform kubwa zaidi kuliko Mimi na wewe ya kushauri Kwa kumfuata Mkuu wa Mkoa DSM wakajadiliana kuhusu wamachinga. 2. Kauli hizi zinaweza...
  18. JamiiForums Tanzania Kisu kimegonga mfupa, views kwa wasanii zimepungua sana baada ya mabando kupanda bei

    Sote tunajua katika ukanda wa Afrika, Nchi yetu ndio ilikuwa na mabando ya bei rahisi kuliko nchi yoyote hapa afrika (sub saharan) Hii iligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa bongo flava katika sura ya bara la Afrika, Ilikuwa rahisi sana msaga sumu kupata views milioni kuliko msanii...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini shetani anatumia nguvu nyingi sana ku-promote ushoga (mapenzi ya jinsia moja) kuliko dhambi nyingine?

    Yani kuna dhambi za uzinzi, uongo, wizi, na vyote vinampeleka mtu motoni ila cjaelewa kwanini ibilisi anapenda sana kupigia promo ushoga kupitia filamu za hollywood, mitandao, nyimbo za wasanii, taasisi kubwa za kifedha duniani, na mataifa makubwa, hadi kufikia baadhi ya mataifa kuhalalisha...
  20. JamiiForums Tanzania Nimesikia uchungu sana kusikia haya maneno ya busara toka kwa Hayati Magufuli, inauma sana!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…