Kwenye nyumba za kupanga mabinti wengi hutumika sana

Lil bees

Senior Member
May 17, 2022
143
157
Katika nyumba za kupanga nimejionea mambo kadhaa ambayo yamenipa mshangao. Wadada wengi hujikuta wanaliwa na wanaume wengi kadri wanavyo hama hama nyumba. Hata mabinti wadogo nao ni wahanga wa hili. Nilipo panga kuna binti mdogo mdogo ila anapenda kupewa zawadi sana sana. Naona karibia vijana wengi wa nyumba hii washamkula.

Mimi mgeni bado nyumba hii ila wenyeji wananiambia huyu binti shamba la bibi. Naona haitofautiani na nyumba kadhaa za mwanzo nilizo wahi kupanga. Wadada na mabinti wanatumika mno.

Hata baadhi ya wake za watu hususani wenye tamaa ya vitu vidogo vidogo.
 
Katika nyumba za kupanga nimejionea mambo kadhaa ambayo yamenipa mshangao.
Wadada wengi hujikuta wanalalwa na wanaume wengi kadri wanavyo hama hama nyumba. Hata mabinti wadogo nao.ni wahanga wa hili.

Nilipo panga kuna binti mdogo mdogo ila anapenda kupewa zawadi sana sana. Naona karibia vijana wengi wa nyumba hii washamkula. Mimi mgeni bado nyumba hii ila wenyeji wananiambia huyu binti shamba la bibi. Naona haitofautiani na nyumba kadhaa za mwanzo nilizo wahi kupanga. Wadada na mabinti wanatumika mno. Hata baadhi ya wake za watu hususani wenye tamaa ya vitu vidogo vidogo.
Hakuna mahusiano kati ya nyumba ya kupanga na tabia ya mtu hicho ndicho ninachoamini mtu kama Ana tabia ya kupenda wanaume au wanawake hata akijenga nyumba yake mtindo utakuwa uleule kupenda kugonga/kugongwa
 
Katika nyumba za kupanga nimejionea mambo kadhaa ambayo yamenipa mshangao.
Wadada wengi hujikuta wanalalwa na wanaume wengi kadri wanavyo hama hama nyumba. Hata mabinti wadogo nao.ni wahanga wa hili.

Nilipo panga kuna binti mdogo mdogo ila anapenda kupewa zawadi sana sana. Naona karibia vijana wengi wa nyumba hii washamkula. Mimi mgeni bado nyumba hii ila wenyeji wananiambia huyu binti shamba la bibi. Naona haitofautiani na nyumba kadhaa za mwanzo nilizo wahi kupanga. Wadada na mabinti wanatumika mno. Hata baadhi ya wake za watu hususani wenye tamaa ya vitu vidogo vidogo.
Kwahiyo unahisi huyo binti akijenga ndo ataacha kuwa shamba la bibi?
 
Katika nyumba za kupanga nimejionea mambo kadhaa ambayo yamenipa mshangao.
Wadada wengi hujikuta wanalalwa na wanaume wengi kadri wanavyo hama hama nyumba. Hata mabinti wadogo nao.ni wahanga wa hili.

Nilipo panga kuna binti mdogo mdogo ila anapenda kupewa zawadi sana sana. Naona karibia vijana wengi wa nyumba hii washamkula. Mimi mgeni bado nyumba hii ila wenyeji wananiambia huyu binti shamba la bibi. Naona haitofautiani na nyumba kadhaa za mwanzo nilizo wahi kupanga. Wadada na mabinti wanatumika mno. Hata baadhi ya wake za watu hususani wenye tamaa ya vitu vidogo vidogo.
Papuchi yake wewe kinakuuma nini?
 
Back
Top Bottom