LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,115
- 27,101
Mayele ana miss " Njaa" . N jaa ya kutaka kufun ga magoli mengi ndani ya mechi moja. Mayele akifunga goli moja kwenye mechi huwa anaridhika kabisa na huwa haonekani kama ana nia au lengo la kuongeza goli la pili kitu ambacho kinampunguzia credit ya kuwa striker anaehitajika katika mpira wa sasa hivi. Mayele huwa anakuwa na njaa kali sana akiwa hajafunga goli lakini akisha funga tu anakuwa hana njaa tena ndio maana anaweza kufunga goli moja na akakosa magoli mengine ya wazi manne au hata zaidi ya hapo.
Kwa mfano kwenye mechi nyepesi kama ya Yanga vs Mbeya Kwanza kwa fowadi mwenye uchu , kiu na njaa ya magoli kama Kibu Dennis angeweza kupiga hat trick bila wasiwasi wowote lakini hilo haliwezekani kwa Mayele kwa sababu hana njaa.
Meddie Kagere wakati wa ufalme wake alikuwa na njaa ya magoli ndio maana alikuwa anafunga magoli matatu au mawili karibu kila mechi nyepesi na mastraika wote duniani wanao ongozaka kwa wingi wa magoli huwa wanafunga magoli mengi kwenye mechi nyepesi " Score more goals in all easy game"
Kibu Dennis ana magoli manane ( ya kwenye ligi ) na alikuwa majeruhi plus bench kwa muda mrefu, hajacheza zaidi ya nusu za mechi z a Simba walizo cheza. Kama Kibu angecheza mechi zote kama alivyo cheza Mayele pengine sasa hivi angekuwa na goli 18 +.
It is high time now benchi a ufundi la Yanga waanze kumtrain Mayele kuwa na njaa ya kufunga magoli mengi ndani ya mechi moja sio unafunga kagoli kamoja tu unaridhika then unawekwa benchi.
Hata Makambo kwangu mimi ni bora kuliko Mayele kwa sababu ana njaa ya kufunga magoli mengi ndani ya mechi moja., Amesha fanya hivyo kwa kupiga hat trick kwenye FA. Tunataka kuwa na fowadi mwenye mentality ya aina hii.
Kwenye kikosi changu ukiniambia nimpange Kibu au Mayele nitaenda na Kibu without a doubt.
# Mimi ni mwanacha wa klabu ya Yanga, amabe nimekuwa disappointed na Mayele kuridhika baada ya kufunga goli moja kwenye mechi ya jana.