sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Balozi Batilda Buriani: Mtoto aliyeandika Barua ya kuacha Shule, ana akili sana

    "MTOTO ALIYEANDIKA BARUA YA KUACHA SHULE ANA AKILI SANA" RC TABORA "Niliongea na mkuu wa mkoa wa Mtwara baada ya kuona barua ya mtoto aliyetaka kuacha shule, nikamwambia huyu mtoto ana akili sana kwasababu haiwezekani mwanafunzi mtoro aandike barua kama hiyo, nikamwambia mkuu wa mkoa wa Mtwara...
  2. JamiiForums Tanzania 70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

    Na wengi wao Wanaishi maeneo ya Tabata Segerea, Banana Gongo la Mboto, Kimara Bonyokwa, Mbezi Makabe, Tegeta, Salasala, Mbagala Kipati, Bunju B, Mabwepande, Ubungo Maji, Yombo, Kawe Ukwamani, Mbezi Beach ya kwa Maua hadi ile ya Makonde upande wa kuelekea Baraza la Mitihani, Buza, Msasani mkabala...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeumia sana na ninaumia sana kwa anachokifanya Urusi dhidi ya Ukraine

    Mimi kama mtanzania mdogo,mnyonge na masikini ukweli kutoka moyoni sifurahii kabisa vita hii ambayo inheweza kuepukika isipokua kutokana na kiburi Cha baadhi ya watu na hasa USA. Kama sio USA kumtia kiburi Zelensky Leo hii kusinhekua na vita Ukraine. Ukweli kabisa Sasa nhurumia kabisa...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Putin ni tishio kwa ustawi na usalama,Israel inapaswa kumshugulikia haraka sana

    Huyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
  5. JamiiForums Tanzania CCM inawakosea sana Watanzania

    Chama cha mapinduzi kimezindua chuo chao cha uongozi wiki hii kilichojengwa kwa kushirikiana na vyama rafiki barani Africa kwa ajili ya kuwapika au kuwafunda viongozi watarajiwa wa nyadhifa mbalimbali serikalini. Kimsingi lengo au dhumuni lolote la kuanzishwa chama chochote cha siasa ni...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Leo nimecheka sana!

    Nina jirani yangu ana watoto wanne. Last born amemzaa ukubwani(5yrs old) Leo ametembelewa na wajukuu zake. Mtoto wake last born hakuwepo. Mara akaingia paap! Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo: Last born: "Shikamoo baba" Baba: "Marahaba mwanangu, ulikuwa wapi?" Wajukuu kwa last born: "Aa aa...
  7. JamiiForums Tanzania Putin alimheshimu sana Trump, kwa sasa Biden ni kama Mdoli kama alivyokuwa Obama. Baada ya Urusi tutegemee naye China kutesti mitambo

    Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua. Kwa sasa Marekani inaongozwa na raisi mithiri ya mdori ambae media inatumia nguvu kubwa sana...
  8. JamiiForums Tanzania Uhaba wa walimu katika shule za msingi hasa vijijini utakuja kutugharimu sana muda si mrefu

    Shule za vijijini ni kawaida kukuta darasa lina watoto 120 mwalimu ni mmoja na hapo hilo darasa imebidi ligawanywe kati kati nusu wanakuja asubuhi na nusu wanakuja mchana kwasababu vyumba vya madarasa havitoshi na walimu pia hakuna. Mapokeo ya watoto ni tofauti, kuna wale wepesi kuelewa...
  9. JamiiForums Tanzania Wabunge tuache kufananisha awamu ya Tano na ya Sita, tunakosea sana

    Awamu ya Tano haikuwa awamu ya Sayansi, Sheria na Demokrasia. Ilikuwa ni awamu ya mambo yaende yatake yasitake, utake usitake. Awamu ya Tano iliamini kuwa sayansi, sheria na demokrasia ni nyenzo za kuchelewesha mambo kwa kuongeza ukiritimba. Awamu ya Tano iliendesha nchi kama vile dereva...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa sana kuiba umeme wa TANESCO kuliko maji ya DAWASCO?

    Hivi kinachofanya watu waogope kiasi hiki kuiba umeme ni nini hasa? Mbona mitaani wanakata mabomba ya maji na ku-bypass bila uwoga?
  11. JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Serikali iache kukimbilia kukopa inadumaza akili

    Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi. Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri muhimu kwa Diamond Platnumz

    Kwako Diamond... Mimi shabiki yako kindakindaki nimekuwa nikizipenda kazi zako toka kamwambie, ila now days unaimba utopolo sikupangii cha kuimba ila naamini muziki mzuri ndio umefanya upo hapo ulipo. Huu wimbo ulioutoa jana ni utopolo mtupu wimbo mzima umejaa gigi gagaa kga kge gagaa gagaa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini haya magari used yanauzwa bei ndogo sana?

    Mark 2 Mark X Passo Haya magari yakiwa used hapa nchini yanauzwa bei ndogo sana ukilinganisha na mengine yenye umri sawa mfano IST, VITZ Nawasilisha
  14. JamiiForums Tanzania Wachungaji/Maaskofu/Manabii 10 matajiri sana Tanzania

    1. Josephat Mwingira Utajiri wake unakadiriwa kufikia Tsh bilioni 20 Anamiliki Mashamba zaidi ya hekari 20,000 huko Katavi Kiwanda cha maji Kibaha Mashule Na bank Nyumba yake inakadiriwa kuwa na thamani ya tsh 2.5bilion 2. Geo Darvie Anamiliki magari ya kifahari Nyumba ya thamani ya 1.8 bilion...
  15. JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana. Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Mwanasheria mahili sana ila sio kiongozi wala mwanasiasa mzuri

    Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini. Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani. Sina historia yoyote inayomuonyesha lisu kama kiongozi anayeweza kuwaunganisha watu kwa busara na hekima zake. Mara zote...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya taa yaliyofanyika katika Mnara wa Olimpiki wa Beijing wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yapendeza sana

    Maonesho ya taa yaliyofanyika katika Mnara wa Olimpiki wa Beijing wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yapendeza sana.
  18. JamiiForums Tanzania Kukosa mtoto wa kiume inawasumbua sana wanaume kufanya wakose amani

    Bwana Mchanga alipata nafasi ya kwenda masomoni nchi za Scandinavia, alibahatika kupata mke wa Kizungu na baraka ya mabinti watatu. Baada ya masomo Mrs Mchanga alikataa kurudi Tanzania. Waliachana kwa amani na bwana Mchanga kurejea nyumbani. Alipata ajira serikalini kama afisa mwandamizi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Malipo ya kazi ya anuani za makazi Ilala yawe ni kidogo sana?

    Habarini, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli nimefurahishwa na huu mpango wa anuani ya makazi na postikodi ambao kwa namna moja au nyingine litawezesha vijana kupata ajira hizo za muda mfupi. Kilichonisukuma kuandika ni kuona vijana watakaofanikiwa kupata kazi hizo kulipwa ujira...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umenifurahisha sana kwa maamuzi makubwa uliyofanya kwa maslahi mapana ya Taifa

    1.Mhe Rais naomba kuchukua Nafasi hii binafsi kukushukuru Kwa maamuzi makubwa uliyofanya Kwa maslahi mapana ya Taifa. Mimi ni mwana Chadema na siku zote msimamo wangu utabaki kuungana na wanaotenda haki na wanaostawisha Taifa na Dunia. 2. Mhe. Rais nina watoto na wajukuu, naamini wewe pia una...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…