sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haiongelei juu ya matumizi ya gesi yetu kupunguza matumizi ya mafuta?

    Hii gesi yetu kama ingekuwa iko Kenya wakenya wangetengeneza pesa nyingi sana. Wakenya wangekuwa Sasa hivi wanatuuzia gesi ya kupikia majumbani, gesi ya kutumia kwenye magari na viwandani, vifaa vya kuwezesha magari ya aina zote kutumia gesi asilia na kutusambazia vituo vya kujazia gesi kwenye...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa sana alilolifanya Rais Samia la kusema vitu vitapanda bei hadharani linazidi kutugharimu sana mtaani!

    Nashangaa sana kwakweli Rais alifanya mistake kubwa sana kutamka hadharani kua vitu vitapanda bei, hii kauli yake inazidi kutugharimu sana, mamlaka za serikali ziko kimya watu wanapandisha bei hovyo, tukianza na swala la nauli, nauli baadhi ya sehemu zimepanda 100% wakati mafuta...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nidhamu ya uwoga iliyozuia wizi kwa Manunuzi pale MSD, ndiyo tunaitaka haraka sana irejee!

    Ndiyo, Tunaitaka haraka sana hiyo nidhamu ya uwoga ambayo Leo tunaona ilikuwa na mapungufu na haifai kumbe iliweza kuzuia ufisadi MSD Nidhamu ya uwoga ndiyo iliyoleta ufanisi Mkubwa na usimamizi mzuri wa kodi za wananchi karibu kila pahala Haitoshi tuu kuwa kiongozi sehemu Fulani na uongozi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

    Charles Kichere (CAG) Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022. Baadhi ya mambo yaliyoguswa: Mashirika ya Umma kutopeleka michango Sh bilioni 129.33 Mashirika ya umma...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Jenister Mhagama wa Awamu ya Tano akikutana na huyu wa Awamu ya Sita watapigana sana

    Waziri Jenister Mhagama wa awamu ya tano alikuwa ana amini watumishi wa umma hawapaswi kuongezewa mishahara Wala kupandishwa madaraja kwa kuwa nchi ilikuwa inachengwa kwanza nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja vyote vilikuwa Kwenye miundo mbinu kama barabara, eli nk Ni waziri ambaye...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo sijaweza kuelewa haya mambo. Nadhani hapa kuna Jambo lifanyike. Inasikitisha Sana

    Pengine ni sababu ya kutumia muda mwingi kuzunguka Duniani. Nchi mbalimbali. Leo nilikuwa naangalia Ramani sijui nchi gani sijafika... Mbinguni tu ndo bado. Nmeshazunguka karibia Dunia nzima. Hivi pale kwenye lile daraja la kigamboni gari huwa wanacharge kwa kuangalia thamani yake au inakuaje...
  7. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso awasweka ndani wahandisi, mkandarasi Handeni

    Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo. Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyuo vya Ualimu vifutwe na kurekebishwa kuwa vya Kilimo na Ufundi Stadi ili kuendana na soko la ajira

    Ajira mpya za walimu kama 9,800 zimetangazwa nchini hapo jana lakini idadi ya walimu wasio na ajira ni kubwa Sana mtaani kuna haja ya Serikali kufikiria upya kuhusu kuendelea na kufundishwa kozi kozi za ualimu nchini kwani hazina tija tena KWA taifa letu kwa sasa. Ukijaribu kuchukua idadi ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kwa Marekani kuifikia China kwenye mahusiano na nchi za Afrika

    Fadhili Mpunji Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu Marekani itangaze pendekezo lake la ujenzi wa miundo mbinu wa Build Back Better World ( B3W), ambao ilisema lengo lake ni kukabiliana na vitendo visivyofaa vya kugharamia miradi ya miundo mbinu vya China, vinavyoziingiza kwenye changamoto kubwa...
  10. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde anafaa kuwa Waziri wa Wizara ngumu na nyeti nchini

    Huyu mtu ana akili nyingi sana na ni mzalendo wa dhati mwenye maono mazito juu ya nchi yake. Ni nadra sana kuwa na watu wa aina hii. Tatizo letu watanzania ni kushindwa kuwatumia vizuri watu wa aina hii kwa maendeleo ya taifa letu. Tangia awe mbunge zaidi ya miaka 10 mfululizo, michango yake...
  11. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe Kenya ndio inaunda jiko nyingi sana duniani

    Kuna huyu mzungu aliyeanzisha kampuni yake hapa Kenya ya kuunda efficient jiko ambayo haitumii makaa kwa wingi kwa jina la Jiko koa. Anasema kwamba kampuni yake sasa ndio inayotengeneza jiko nyingi zaidi duniani. Mwezi huu pekee wataunda jiko 70,000 na nyingi zinakuwa exported nje ya Kenya.
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania CCM ya Kinana lazima italipa kisasi

    Ni suala la wakati tu. Kulipa kisasi ni hulka yetu wanadamu na kamwe asikudanganye mtu eti hutegemea ntu na ntu. CCM ya kina Kinana ya sasa baada ya kupitia nyakati ngumu kwao ima walionewa ama ilikuwa stahiki yao la mno na hakika ni kwamba iwe kwa kutaka wao ama kwa kulazimishwa na chawa wao...
  13. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Umasikini mbaya sana, Nasubiri NMB washushe riba nikope

    .
  14. Gorgeousmimi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI --- --- UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI Tatizo la kutokwa ana jacho mwilini, mikononi na miguuni: Ugonjwa huo unaitwa HYPERHIDROSIS. Kawaida tunatoka jasho ili kuupoza mwili.Mwili unapokuwa na joto nervesystem inatuma ujumbe...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli kila nikitizama wenzangu walivyo nahuzunika, nakuwa mnyonge sana. Nimekosa nini mimi?

    Siku hizi mpaka naogopa kuingia JF. Kila nikiangalia wenzangu JF wana maisha mazuri sana. Wana magari ,wanapata mademu wakali,wana piga stories za Uk,Usa, Pretoria,Joburg n.k aisifuye mvua imemnyea. Wengine wanakula issue kimasikhara....mimi tu ndo naishi maisha haya.najiuliza nilikosea wapi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zinasababisha nchi kuwa na watu wenye akili sana ama kuwa na watu wajinga sana

    Kuna mambo yanashangaza sana hapa chini ya jua Kuna nchi zina watu wenye akili nyingi sana wanaobuni na kufanya vitu ambavyo hakuna aliyewahi fikiri vinaweza fanywa na mwanadamu Kuna nchi zina watu wenye akili ndogo sana wanaobuni na kufanya mambo ambayo hata kondoo hawezi Fanya Je,ni sababu...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kuna wadada wengine sijui wakoje! Huyu nimeshindwa kuelewa nimfanye nini

    Huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there...
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania Lema: Mshahara wa Mbunge ni Mdogo sana, 4000$ Kwa mwezi anazidiwa na vijana wanaofanya cryptocurrency

    Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema, katika Mazungumzo huko space twitter alisikika akikwambia Kitila Mkumbo kwamba mshahara wa mbunge ni Mdogo mno yaani ni 4000$ Kwa Mwezi hivyo aache Ubunge amfundishe cryptocurrency apate zaidi ya hiyo maana anazidiwa na vijana wanaoifanya...
  19. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Tunaishi Katika Zama Ambazo Ulinzi wa Kidigitali ni Hitaji Muhimu Sana kwa Kila Taasisi

    Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la matumizi ya simu janja, mitandao ya kijamii na biashara ya mtandaoni. Kupitia njia hizi na nyinginezo, sote tunaweka taarifa zetu binafsi kwenye mtandao zaidi na zaidi. Kila siku mamilioni ya watu huwasha kompyuta na vifaa vyao vya kidigitali...
  20. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Sasa tunataka Tuone Maendeleo Fungate limeisha. Rais umeshaongea sana anza kutenda. Haya tumeshayasikia sana

    Magufuli alishafariki na mabaya yake na mazuri yake. Sasa tupige kazi. Kazi ipi hiyo? Kazi iendelee ipi? Ya kuibia wananchi? Ipi? Ya kupeana vyeo kwa kujuana?ipi? Mi sijui. Ila kazi iendelee vijembe havitatusaidia kitu. Marehemu hayupo tena nasi. Hana la kujitetea. Na hatuwezi pata umaarufu kwa...
Back
Top Bottom