sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nikija kuwa millionaire, nitafanya mambo ya ajabu sana

    Kabla nife lazima niwe millionaire iyo nimejihakikishia iwe kwa dhulma, wizi, kuroga, fitna, kudanganya,kughushi, kuroga na kufisidi. Ispokuwa tu kuua na kudhulumu nafsi. Nikizikamata kwaanzia dollars million moja kuendelea natafuta jopo la madem wakali wakiafrika kazi yao ni kunilisha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali yule JamiiForums Member maarufu aliyesema mapema kwa Kujiamini kuwa Simba SC anatolewa leo na akatukanwa sana aombwe Radhi upesi

    ID yake nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja hapa au wale wanaoijua wataitaja muda si mrefu kwani ni Maarufu mno. Nakumbuka alianza kwa kusema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kama ilivyo kawaida yake kuwa Yanga SC ndiyo watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League huku akitoa sababu zake za Kiufundi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

    Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana. Ok kiufupi, nimezunguka mikoa...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ni namna njema sana kuikosoa Serikali na viongozi. Cha ajabu eti wanachukia kana kwamba yanayokosolewa hayakusemwa wao hadharani...!!

    Hii video inatrend sana kwenye magrupu ya FB, telegram, TikTok, WhatsApp nk Cha ajabu, the so called "CHAWA" wameshatinga huko kutishia ma - admin kuzuia kusambaa kwa video hii eti "inaidhalilisha serikali na Rais Samia Suluhu kama kwamba haya hayakusemwa na wao wenyewe viongozi..!!! Tazama na...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia za kuabudu mataifa wanayoishi hawa Diaspora, ni vyema Serikali isiruhusu uraia wa nchi mbili, ni rahisi sana kusaliti nchi

    Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi. Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule. Tabia ya ulafi. Juzi wamejionyesha wako upande gani, wako upande wa maadui wa taifa, mabeberu
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Upepo wa balcony unashawishi sana kujenga ghorofa, kumbe unaweza kuupata pasi ghorofa

    Jioni unakaa na birika yako ya chai ukipunga upepo. Tatizo ni safari za chooni kama unakunywa bia.
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

    Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini? Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania? Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi? Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa? 👇...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kichekesho hichi kifupi kimebeba ujumbe mkubwa sana juu ya Afrika.

    Ni dhahiri shahiri Waaafrika wengi hatuwazi ujenzi wa Mataifa yetu bali tunawaza ujenzi wa familia zetu . Tubadilike, kila mmoja abadilike kwa nafasi yake. Asanteni
  9. Perry

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakurya na Wachaga wanaheshimiana na kuelewana sana kwenye mambo mengi?

    Hivi kwanini siku hizi imekua kama utamaduni alipo mkurya humkosi mchaga na alipo mchaga humkosi mkurya? Mkurya hayuko tayari kushirikiana kwenye mambo mbalimbali na makabila mengine kama wasukuma au wahaya kutoka kanda ya ziwa lakini anashirikiana na wachaga kutoka kanda ya kaskazini, same to...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kuwa na jirani wa hivi,maskini wa fikra, a dunderhead asiye na malengo

    Unatarajia nini ukiwa na jirani maskini mvivu na asiye na malengo? Ndiyo maana wenye hela hupenda kuishi jirani na matajiri wenzao, sasa umeenda uswahilini huko pembeni yako kuna kigagula kimaskini utasikia EHEEE MALI HIZO WATAKUFA WATAZIACHA...EHEEEE WAKIITWA WENYE MAGARI NA WEWE...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa anaheshimu sana takwimu

    Moja ya takwa la mtu kuwa kiongozi mzuri ni kufahamu takwimu na kuziheshimu. Kama hili eneo upo mtupu huwezi kuongoza vizuri. Kwa mfano, Tanzania ni nchi ambayo raia wake wengi hawana umeme. Magufuli alilijua hili. Kwa Africa nchi za kiarabu, karibu asilimia 100 ya wananchi wao wanapata umeme...
  12. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Kufunga Ramdahan ni nguzo nzito sana kwa Waislamu walio wengi

    Kwa utafiti niliuoufanya Waislam walio wengi hawafungi ramadhani, wengi wana pretend ili kuondoa aibu kwa wenza, majirani, marafiki, wazazi n.k Yani ile kwamba watanionaje? Ila ukweli wa dhati ni kwamba watu wanabonyea kama kawaida ila kwa kujificha saana. Mungu hachezewi ipo siku tutajutia...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa mzuri sana huwa ana mringia hadi baba yake mzazi

    Au wana kuwaga na mapepo nini ? maana mwanamke akiwa mzuri kupita kiasi hadi mapepo huwa yanawapenda ( Gen 6:1–4 ) Kama una mwanamke mzuri kupita kiasi usizae nae mpaka baada ya miaka mitano ya ndoa/mahusiano kwa sababu uzoefu unaonyesha kwamba mwanamke mzuri...
  14. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhojiwa sana huko Marekani inashusha hadhi yake kama Rais na hadhi yake kama Taifa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa kila mara tena nje ya nchi hali ana crew kubwa tu ambayo anaweza kuitumia kufanya yote hayo. Au...
  15. goroko77

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde amshambulia Zitto Kabwe dhidi ya kauli yake ya wanaompenda Hayati Magufuli wakazikwe naye Chato

    Hbr za muda huu Niko Hapa natazama Bunge la 12 mkutano wa saba , kikao Cha la kumi na moja , mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chini ya Waziri Jenister Muhaghama Alipewa nafasi bwana Lusinde kuchangia katika mjadala unaoendelea badala ya kujikita...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Aibu: Picha za Mameya wa jiji la Dar tokea Uhuru zimebandikwa ukumbi wa Karimjee isipokuwa ya Isaya Mwita

    Nashindwa kuamini kabisa kuwa hii ndio chuki iliyopo katika siasa zetu. Hapa ni Ofisi za Meya wa Jiji Karimujee hall Wamewaka Picha za Mameya wote Kabla ya Tanganyika Kupata Uhuru na baada ya Uhuru, Mpaka Meya huyu wa Sasa. Wanatambua Mameya wa Kizungu na Kihindi ila Wamegoma Kutambua Meya wa...
  17. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba tuna tatizo kubwa sana la uongozi wenye uwezo

    Duniani kote hatua kubwa za kimaendeleo zinaathiriwa kwa kiasi kikubwa na viongozi wa kisiasa. Hawa ndio hutoa maamuzi ya mwisho kuhusu mstakabali wa Taifa. Hivyo tutake tustake lazima viongozi wetu wakuu wa kisiasa wawe akili kubwa, na wawe weledi. Anzia Marekani, njoo Uingereza, pita hapo...
  18. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa masuala ya fix matangazo ya kazi mitandaoni. Hii inanisunbua sana

    Kwenye picha ni mfano tu, nashawishikaga kuapply nasema au bas... Nisaidien jamani haya matangazo ya kazi nje ya tz si mara Moja au mbili nakutana nayo yanaukweli gani
  19. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Poleni Sana Ukraine, siku zenu zinahesabika...

    Marekani na Nato wamemponza mwenzao, utampelekeaje Zelensky silaha na mindege! Ona sasa kilichomkuta huyu Comedian....hapa BlackPanther anahesabu siku za kuimega ukraine, Nawasubiri pro Americans a.k.a wazee wa kukaririshwa na kuaminishwa Propaganda za westerns... 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo Hayati Magufuli Ruby ya bilioni 240+ isingetoroshwa. Taifa litaibiwa sana rasilimali zake

    Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana. Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi. Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania...
Back
Top Bottom