sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini USA na EUROPE wamelitawala sana anga la ndege za abiria ulimwenguni?

    Mashirika mengi ya usafiri wa anga ulimwenguni yanatumia sana ndege zinazotengenezwa na either Boeing ya Marekani au Airbus ya Europe. Ni kwanini? Ina maana nchi nyingine kama china, Russia, south Korea wameshindwa kuunda haya madude? Hata mashirika yaliyoko china ndege zao ni either Boeing au...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania mnadanganywa na kuridhika kwa vitu vidogo sana

    Mnakomalia vyakula kama vile huwa hamli makwenu
  3. JamiiForums Tanzania Hizi protokali za kila mtu kutaja wageni eti ni protokali nu ujinga na inachosha sana.

    Kila mtu anayeingia anatambua wageni. Mgeni mmoja anatambuliwa hata na wazungumzaji watano. Huu ni ujinga
  4. JamiiForums Tanzania Watu wa Ikulu mnalala sana

    Nimeingia kwenye kitu kinaitwa tovuti rasmi ya Rais ukifungua kule unakutana na Magufuli! Maana yake hii tovuti haijamtambua samia?
  5. JamiiForums Tanzania Inashangaza sana! Rasilimali za taifa zimetoroshwa, ruby ya bil 276 imetoroshewa Dubai Mkuu wa nchi yupo kimya kama vile ni jambo dogo

    Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum. Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo. Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu. Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimtongoza anajiona tayari hiyo ni ajira, kutwa kuombaomba hadi kiberiti

    Why women fail to fight until they get Life and end up giving up naked to live with every Man who seduces them turns him into a source of money But we galla Love for them most of women are shit
  7. JamiiForums Tanzania Ila Dr Dre ni hatari sana

    Kuna hii ngoma ya miaka kama 12 iliyopita ya Chris Brown ft Dr Dre, haikuwika sana ila bonge la ngoma beat yake naielewa kinoma kama nnavyoelewa I need doctor. Muziki wa sasa hata siuelewi nyimbo sinazomiburudisha ni zile za miaka ya nyuma. Huenda nashazeeka
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Watanzania mnakula sana mbwa bila kujua. Usijitapishe ukiona hii picha

  9. JamiiForums Tanzania Usipambane sana

    KILA MTU AMEUMBIWA KUFANIKIWA KWA NAMNA YAKE, KUFANIKIWA SIYO KUSHINDANA. "Success is not competition" Jamii yetu leo ni kama tumeaminishwa ili kufanikiwa sharti tushindane lakini Kanuni za uumbaji za asili hazioneshi umuhimu huo. Ni kama tumelipokea jambo ambalo tumelichukua kama imani katika...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini James Ward Prowse nahodha wa Southampton haimbwi sana kwenye mipira iliyokufa?

    Nimetokea kumkubali sana huyu mwamba nahodha wa Southampton Fc ya kusini mwa Uingereza. Kwanza jinsi anavyojikunja wakati anapiga mipira iliyokufa ni 🔥🔥 Anaitwa James Ward-Prowse yaani fundi kamili sana linapokuja swala la mipira iliyokufa. Amehusika kwenye magoli mengi sana yanayotokana na...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Utalii, una kazi kubwa sana

    Waziri wa Utalii (simfahamu kwa jina) una kazi kubwa kukuza utalii nchini. Njoo na strategy na products za nyongeza kwenye utalii (eg. Sports, conference, medical, religious tourism) kujazia zilizopo hizi za wildlife, beach na mountain climbing/view. #Royal tour imekusogeza kwenye kutumbuliwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Panya Road wamewashinda? Wamerudi kwa kasi ya kutisha sana

    Jamaa yangu anaishi Makubuli anasema hawa watu wamerudi kwa kasi kubwa,ari na guvu kubwa sana. Wanaweza pora nyumba mpaka 20 kwa usiku mmoja. Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi. Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam. Nadhani kwa hiki...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miguna Miguna awe makini sana

    Unaweza ukalala Dubai ukashangaa asubuhi unaamkia Kanombe.
  14. JamiiForums Tanzania Kuna wakati watu huwa sahihi sana katika kuwashauri watu

    WEKA UTAYARI KWA KILA MTU, SIKILIZA MAWAZO NA USHAURI WAO KWAKO LAKINI KUFANYIA KAZI NI UAMUZI WAKO. Kwa nini ni vizuri kumsikiliza kila mtu? Zipo sababu nyingi mno za ni kwa nini ni vizuri kumsikiliza kila mtu lakini sababu kubwa ni ukweli kuwa kila mtu kuna wakati anakuwa sahihi katika mawazo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi wailalamikia sana Urusi! Wanadai inatumia gesi kama silaha . Hivi walipoiwekea vikwazo zaidi ya 6,000 walidhani itatulia tu?

    Nchi za magharibi zinadhani zenyewe ndio zina haki ya kuadhibu nchi zinmgine, na hazitegemei nchi zingine kujitetea kwa namna yoyote ile! Nchi za magharibi na washirika wao waliiwekea vikwazo lukuki urusi ikiwemo kutokuruhusiwa kufanya miamala kwa kutumia Euro na dola. .Kwao hiyo ni sawa...
  16. JamiiForums Tanzania Movie za Kichina na Kikorea zenye kuonesha historia (hasa za kivita) ni nzuri sana

    Wakuu, nimetoka. Kuangalia movie za nchi tajwa hapo juu za kihistoria ambazo zina akisi yaliyotokea. Into fiction movie , movie hizo ni: 1. SACRIFICE. 2. The BRIGDE AT toko -Ri 3. The steel helmet 4. My way Zote hizo hapo juu zina potray. Historical true war periods that happened...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

    Habari za wakati huu ndugu zangu,naombeni hints za mbinu za kuweza kwanza kupata hamu ya kujisomea,pia kujisomea sana na kwa muda mrefu mno, natamani nisome hata 24hrs/7 ila tatizo kubwa ni usingizi na najikuta nakosa kabisa hamu ya kujisomea baada ya kutoka vipindi. Mimi ni mwanafunzi wa...
  18. JamiiForums Tanzania INAUMA SANA HUU UTARATIBU MBOVU.

    Huu utaratibu wa kuwakata hela yao wapangaji wanaponunuwa umeme unawatesa wapangaji,kwakuwa wananchi wapole na wanalia na machozi yanaishia ndani ndiyo mana hamjali?Juzi nilikuwa wananunuwa umeme wa5000ukagoma,nikaongeza wa 1000 ukagoma.Nikaweka 12000ndipo wakakubali tena umeme wa2000tu ile...
  19. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuwakata Wapangaji hela kila wanaponunua umeme, unauma sana

    Huu utaratibu wa kuwakata hela yao wapangaji wanaponunua umeme unawatesa wapangaji, kwa kuwa wananchi wapole na wanalia na machozi yanaishia ndani ndiyo mana hamjali? Juzi nilikuwa nanunua umeme wa Tsh. 5,000 ukagoma, nikaongeza wa 1,000 ukagoma. Nikaweka 12,000 ndipo wakakubali tena umeme wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nini naona Watanzania Bara tumenufaika sana na Muungano zaidi sana wa Wazanzibar - wametuokoa mara mbili kutoka shimo lenye giza nene!

    Mimi ni Mtanzania bara. Nimetafakari sana juu ya kile watu wa Tanzania bara wanaita kero za Muunganom au kupendelewa kwa Wazanzibar katika muungano. Utaona kwamba ni mambo madogodogo sana, vitu kama fedha za misaada sijui, Wazanzibar kuwekeza bara na kununua ardhi tofauti na watu wa bara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…