sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Aibu kuu: Uongozi wa Hersi/Arafat ni lainilaini sana, mnakosea

    Hii siyo yanga ninayoijua, kuwa upande wa mwenye mapesa siyo kigezo cha kuweza uongozi, yanga ni ngangari tangu enzi hizo siyo watu wa mchezomchezo muulize Iman madega na wenzake waliowahi kuvamiwa nyumbani kwao, watu shakula bakora sanaa pale jangwani Sasa jana afisa mkubwa wa klabu...
  2. JamiiForums Tanzania Hisia za Wanawake za kupenda ziko karibu sana, watu wengine hatuhitaji kupendwa

    Binafsi niseme, kitu nisichohitaji ni mwanamke anipende, sitaki kupendwa na mwanamke kabisa (labda mke wangu nitakapokuja kuamua kuoa). Lakini ajabu ni kwamba nimekua napendwa tu hovyo hovyo na wanawake. Wanawake ni watu wanao-catch up feelings mapema sana. Mwanamke unaweza kumfanyia kakitu ka...
  3. JamiiForums Tanzania Safi sana Rais Kagame; kama kawaida yako Umenusa 'Tego' la 'Geneva ya Afrika' na 'Ukachomoa' kwenda, hivyo imekula kwao

    Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako Kigali. Wamesahau kuwa Wewe ni zao tukuka la Marekani na Israel (Kiujasusi/ Kinjagu) na kwamba una...
  4. JamiiForums Tanzania Kimya ni jibu sahihi sana

    Tena utajiepusha na mengi Kwa kukaa kimya,haijalishi yanaumiza kias gani but ukikaa kimya umejinusuru na mengi mabaya🙏 Ndiyo hivyo🤜
  5. JamiiForums Tanzania Unafikiri Wazungu na jamii za Asia zinaichukuliaje ndoa?

    Kwema Wakuu! Kuna watu humu sijui ni ushamba, sijui ni ulimbukeni, sijui na kukosa elimu ya Dini, sijui ni kukosa elimu ya Kadi(jando na unyago) sijui ni kukosa elimu ya Sheria, basi tuu wanajifanya wanausasa lakini kimsingi ni kuwa wamechanganyikiwa na hawajui wamechanganyikiwa. Utasikia Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana

    Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana ama wakati mwingine biashara za Tanzania zinazuiwa kabisa Kenya, ni kwa nini? Kwa anaejua sababu tafadhali
  7. JamiiForums Tanzania Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

    Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara! Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini? Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa? Hili li taasisi...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wa 'Kipyenga Extra' East Africa Radio wameumia sana na 'Nyundo' aliyopewa Haji Manara?

    Wanatumia muda mwingi Kumtetea huku pia wakiwatafuta Mawakili wenye Uyanga kutoa Ufafanuzi wa Hukumu iliyotolewa na Poti ( Mkurya ) kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) Watangazaji wa Kipyenga Extra East Africa Radio na wale wa Kipindi cha Michezo cha Usiku cha East Africa Radio nawaonyeni...
  9. JamiiForums Tanzania Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

    Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha. Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi. Yaani hadi...
  10. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Tunampenda sana msaidizi wetu wa kazi za ndani, anatulipa wema

    Mimi na wife ni watumishi, wife ni mwalimu na mimi ni afisa manunuzi wa taasisi fulani, tulipoanza maisha hatukuwa na msaidizi wa kazi, ila tulipo barikiwa kupata mtoto wakwanza tuliona kuna haja ya kuwa na binti wa kutusaidia kazi za nyumbani. Basi katika kutafuta tafuta siku moja nikaenda...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mama yangu angeni-abort wakati bado niko tumboni mwake, angekuwa amenifanyia wema mkubwa sana

    Mama yangu angenitoa na kunitupilia mbali kipindi bado niko kwenye tumbo lake la uzazi, ingekuwa ni faida kubwa sana kwangu, ningejihesabia mwenye bahati sana, sababu nisingekuwa na haja ya kuja Duniani na kupitia mateso, usaliti, hofu, Karaha za kila namna, magonjwa, e.t.c kisha mwisho wa siku...
  12. JamiiForums Tanzania Kafa mara mbili. Huko aliko atakuwa bado anateseka sana

    Karibia mwezi mzima....nmeteseka sana mimi. Sikuwa nikilala...hata mchana tu nmekuwa nakaa room kwa mashaka. Documents zangu zimeharibiwa na pesa zangu zaidi ya mamilioni ya shilling. Ni kama billion 2 hivi. Maana nlikuwa nmeandaa project moja yaani min ningepata bil 2. Ikaharibiwa vibaya sana...
  13. JamiiForums Tanzania Mchakato wa Kuomba Ajira za Sensa Umetuonyesha kuwa bado Mifumo yetu ya ajira nchini ina changamoto kubwa sana

    Mifumo yetu ya ajira bado ina changamoto kubwa sana. Mchakato wa kuomba ajira za uandikishaji wa sensa 2022 umedhihirisha hivyo. Kwanza lazima Serikali ipongezwe kwa kuajiri vijana wengi ambao hawana ajira, lakini mfumo mzima wa ajira umeonyesha mapungufu kadhaa kama vile: (1) Kusahaulika kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanasema Tanzania rushwa imepungua Sana wakati wa Rais Samia kuliko ule wa Magufuli. Watanzania wanasema rushwa inaongezeka. Je, ipi ni ipi?

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana na rushwa inaonesha Tanzania tumetoka nafasi ya 94 mpaka 87 sawa na vietnam & Moroco kati ya nchi 180...
  15. JamiiForums Tanzania Msemaji Kasema: ''Uongo Ukisemwa Sana Hugeuka Kuwa Kweli''

    Waswahili tuna msemo, ''Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atatambua.'' Mimi nimelitambua fumbo na wapi limeelekezwa. Tatizo ni historia ya uhuru wa Tanganyika. Msemaji kaandika anasema: UONGO UKISEMWA SANA HUGEUKA KUWA UKWELI SEHEMU YA KWANZA Mtanange wa leo hii ni kuhusu Harakati za Uhuru wetu...
  16. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekuja kubaini Tanzania ni nchi ngumu sana ya kiume. Ukiwa legelege hauli

    Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani. Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu. Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu. Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CCM unakula shavu. Kama upo CCM na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaosifia sana Serikali mitandaoni wanatoka wapi?

    Habari wana JF, Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita. Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado inahitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania Tusali sana hali inazidi kuwa mbaya

    Wasalaam JF..!!! Ni weekend moja baada ya kushinda kutwa nzima nikiwa nyumbani huku muda mwingi nikiutumia kulala baada ya shuhguli ndogo ndogo za home kama mjuavyo weekend. Imefika mida ya jioni kuanzia saa moja hivi kila nishikacho nakuwa bored. Nikasema ngoja nisogee mahali nipate mbili...
  19. JamiiForums Tanzania Siku niliyomuona Nyerere live nilisikitika sana

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze katika mada husika. Nakumbuka siku 1 mimi na mjomba wangu tulikuwa tunatoka feri kula samaki, tukijielekeza mnazi mmoja kupanda basi turudi nyumbani. Hii ilikuwa mwanzoni mwa mwaka 1995, kabla ya uchaguzi mkuu. Basi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ukiona unawachukia wanasiasa hawa, inabidi ujitathmini sana

    Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine . Mfano wao ni kama wafuatao :- 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…