sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mapenzi matamu sana

    Hivi wadau umewahi kuonja penzi la Mzee. Sio Mzee 50 nope 45 kurudi chini. Like 42 halafu anayejiweka vizuri Kwa mlo ,mazoezi na muonekano. Haloo kwanza Kwa harufu nzuri tu unadata ,bado mengineyo wazee wakikupa fulsa ya kuenjoy unaenjoy aisee sio nyie mnachezea kitu hadi mtu anaugua hii sio...
  2. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Ma-MC mnatusababishia shida sana kwenye familia zetu, Tabia hii ni mbaya mno

    Habari za Asubuhi wana-Jukwaa. Kabla ya yote nawapongeza ma-Mc kwa juhudi zao wakipambania chakula kiende kinywani... Nimesikitishwa sana baada ya kuonekana kwenye video fupi iliyopostiwa na MC fulani bila idhini yangu, tulikuwa tunacheza na watu wengine tuliokutana ukumbini... SIJAPENDEZWA...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa nchini nani kufaidika zaidi kati ya CCM na vyama vya upinzani?

    Kumekuwa na mijadala mirefu inayoendelea nchini, Kwa wananchi kujiuliza, hivi kuruhusiwa Kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa, ni nani watakaofaidika zaidi, je ni CCM au vyama vya upinzani? Kwanza, kabla ya kutafakari ni nani atafaidika zaidi, tujiulize kwanza, nini chimbuko la kufungiwa Kwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais anakazana kupata mikopo na misaada lakini mifumo ya ukusanyaji kodi, tozo na mapato mengine imetoboka sana

    Unaweza kujenga Imani Kwa wageni kuja kuwekeza nchini Kwa wingi; wageni wakafika Kwa wingi na kutumia fursa Ila usinufaike na kuwepo Kwa wageni hao. Juhudi za Mhe. Rais zinaweza zisizaie matunda Kwa Sababu aliowaamini kwamba wanaweza kukusanya na kuhifadhi mapato yatokanayo na uwekezaji wa...
  5. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi ya Ualimu ni hatari sana kwa maisha yako

    Wanaosimamia maisha ya watu wameidharau Sana. Wanatarajia watoto watendewe nini Kwa kutekeleza watendaji wake, hasa walimu. Fikiria Walimu Wakuu wanapata posho kwa kazi anazozifanya mwalimu wa kawaida. Ni kama utumwa. Mratibu Elimu kata anapata posho ya kazi ipi wkat anayeteseka na Kaz ni...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nisiwe mnafiki wanawake wenye chuchu Mungu awazidishie zaidi

    Wasalaam Sina mengi nimetafakari sana kwenye rejea mimi ni Mr chuchuz ujumbe wapenda trakooz mimi siko huko, hakika wanawake wenye chuchu Mungu awabariki sana aongeze idadi yenu kuna haja tuendelee na tafakuri ya kuoa au kuenzi vyombo. Sina mengi mnanibariki sana I feel it uwepo wa mwanamke...
  7. Unavoidable Servant

    JamiiForums Tanzania Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Wadau nilikuwa na smart TV 4 K nchi 50 wale wajaa laana wakasepa nayo. Nina Samsung Hd nchi 32 ilikuwa chumbani ndio nimeileta sebuleni yani tofauti ni kubwa sana. Sasa nimeokota pochi la mzungu nataka ninunue TV ya kweli nirudi kwenye modern life. Karibuni kwa ushauri.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mti wa ajabu huku Kigoma umenishangaza sana, jina lake unaitwaje?

    Nilikuwa pande za Kigoma vijijini huko, kwenye kutembea nikakutana na huu mti, sema wenyeji hawaujui jina kwa kiswahili. Anyejua jina lake atuambie.
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanaume tumekuwa Madini Ghali sana. Tumeanza kugombaniwa na Mademu. Natunza tu Nguvu zangu...Nitawala....

    Nikitizama huku naona mashoga wanaongezeka.... Nikigeuka kule wasio na nguvu za kiume nao wanaongezeka.... Naamka napiga pushups.. Nikicheck tena kwa mbali kule wacheza pool au wazee wakujichukulia sheria mkononi wanaongezeka....natabasamu.. Yaani unakuta kakijana kanalamba lamba lips tu kama...
  10. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Magauni ni nguo ya kike ina heshima sana. Turejee utamaduni wetu

    Jamani turejee. Kama utafatilia Sana hata queen family wanavaa magauni. Tuachane na vijinz.
  11. aka2030

    JamiiForums Tanzania Karibu sana Yanga SC Diamond platnumz

  12. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa mkoa wenye roho mbaya sana

    Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani. Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara...
  13. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

    Ommy unatuangusha
  14. K

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: Utamaduni wa wizi na kukosa uaminifu kunazuia maendeleo yetu sana!

    Mimi ni dispora lakini matatizo yangu ni matatizo ya wengi hata kaka yangu ambaye yuko Tanzania anapata matatizo hayo hayo. Naomba niweke utangulizi kwamba nayoyasema hapa sio kwa 100% ya Watanzania lakini ni utamaduni ambao unaturudisha nyuma Najua kama jamii tuna mikasa mingi sana na mimi...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Tarimo Nemes Raymond, afariki akiwapigania Wagner wa Urusi, kule Ukraine

    Jameni Urusi watatumalizia vijana wa Afrika walioko huko, wameishiwa wanajeshi sasa wanalazimisha watu kwenda kupigana na kufia huko... Ukraine wanafyeka hawajali nani wala nani. Federal news agency The funeral of Tarimo Nemes Raymond, a citizen of Tanzania, who fought near Bakhmut as part of...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli mnaombea mabaya nchi hii? Tuwatangaze maadui wa Taifa?

    Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie. Nitatoa mifano 5 1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao wa maji, watu hawa walikuwa wakifurahia sana, walipata sababu ya kuanzisha nyuzi kila dakika hapa JF...
  17. President of China

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

    Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana. Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang. Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka...
  18. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kapuya Sekondari ipunguze viboko hali ni mbaya

    Wizara iangalie upya mtindo wa viboko mashuleni, waalimu wamekuwa wanapiga viboko mashuleni mpaka basi. Kuna shule moja ipo Kaliua inaitwa Kapuya Sekondari, ina piga viboko balaaa. Mwanangu jana kaja kapigwa viboko 48 yuko hoi tena ni form one, anajengewa mazingira ya hofu ili aache shule...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule nyingine

    Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini; 1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari...
  20. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nimesali sana, nimeroga na nimejiendeleza kitaaluma lakini mwaka wa tatu sina ajira. Je, nimebakiza nini?

    Wakuu maisha ni safari ndefu na kuna mapito ila usiombe yakukute. Hapa nilipo nimefanya kila kitu kwa kutumia akili yangu na ujanja kama mwanadamu lakini mpaka leo sina ajira. Nilipopoteza kazi yangu wakati wa covid 2020 sikuwa najua kama nitafika 2023 sina ajira na nitafirisika. Nilikuwa...
Back
Top Bottom