The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Kama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, Makamu Mwenyekiti, amewahi kugombea Urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk, amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje?
Nashauri kamati ya mapokezi ijaribu kutumia njia nyingine kutuepusha na aibu sisi BAVICHA iliyoko mbele yetu. Msigwa na...
Dini mda mwengine ni uchizi na ujinga ukifata sana. mtu imani imemkaa mpaka mambo mengine kuendeshwa na mtu wa imani mwenzake.
SITASAHAU:
Mama mmoja kasababisha mtoto kufariki akishinda kumuombea kwa kudai mapepo wakati ni maralia.
kisa chengine kuna ostadh ana wadanganya wasichana kwa...
"Bora mtu baki kuliko ndugu"
Hii ni kauli maarufu sana nyakati hizi kwasbabu ya upendo wa wanafamilia wengi kupungua baina yao. Wanafamilia wamekuwa hawapendani na kupelekea umaskini kuzidi kushamiri. Kwanza tujue kuwa bila familia imara hakuwezi kuwa na taifa imara. Mafanikio ya taifa yanaanza...
Katika wakuu wa wilaya waliokua wabishi majeuri hawataki kuambilika ni pamoja na DC Mstaafu halmashauri ya wilaya ya Ikungi ndg Jerry Muro. Huyu kila alipoambiwa amezungukwa na mchwa waliokua wanatafuna pesa za umma alijifanya mkali akidai anachafuliwa kisiasa. Sasa ajifunze.
Twende hatua kwa...
Nisiseme mengi, kuna clip inazagaa mwanamke mmoja anajisifia kalea mtoto kwa kutumia baba watatu na hawajuani. Yaan anamaanisha mababa watatu wamelea na kuhudumia mtoto kila mmoja akijua huyo mtoto ni wake, mchezo mzima kacheza huyo mwanamke.
Najua hapo alikua anaigiza tu ila hio clip...
Baada ya ziara ya Rais Samia nchini China, 98% ya bidhaa kutoka Tanzania kwenda China zitaingia bila kutozwa ushuru. Hii itatoa fursa kubwa kibiashara kwa wakulima, wafugaji na wafanya biashara wetu kulisha soko jipya la China.
China inaidadi kubwa ya watu kuliko nchi zote duniani hivyo hii ni...
Bado naona Sera ya sasa ya Chadema ni suala la Awamu ya 5. Ndo imekuwa issue kubwa. Unawasoma hata wengine wanamuda sana chadema but wakizungumzia ujio wa Lissu na kuanza na mikutano wanarudi kumzungumzia marehemu Magufuli.
Je hakuna jambo jipya?hoja mpya?sera zao zikoje ukilinganisha na...
Hiki chama aisee ni cha kipekee.
Tangu hapo zamani kikifanya mikutano na shughuli zingine za mikusanyiko huwa wanatoma kwa amani na furaha tele kwa wananchi. Mikutano yao isipoingiliwa na dola huwezi kusikia hata Mwananchi mmoja akilalamika kukanyagiwa fungu la nyanya wala dagaa.
Ngoja sasa...
Jana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu askari wanyama pori aliyepigwa mshale wa sumu akitetea wahalifu wasikamatwae na kufundisha polisi namna ya kufanya kazi. Ameshaanza uchochezi. Lugha zao ni mbaya...
Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....
Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....
1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,
2. Hawataki makuu wao...
Unajua sisi binaadamu shukran zero kabisa kwa anae tufanyia wema. Wengi wetu umaskini unafanya kupunguza imani, sasa unajiona upo kwenye shida tokea mtoto mpaka mtu mzima shida inazidi unaomba mpaka koo inaota fangasi. Hakuna nafuu unamuona Ally Mpemba anakula batwaa na ka Range aahh mamaee🥲...
Simba walikuwa na mapungufu muhimu ya kiufundi ambayo kwa hatua wanayotaka kupiga hasa huko CAF ilihitaji kuyarekebisha.
Pungufu la kwanza lilikuwa ukosefu wa ubunifu katika kupenyeza mipira katika ngome ya timu pinzani. Hii ilisababisha timu kulazimika mara kwa mara kurudisha mipira nyuma...
Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
Yaani huduma za Airtel money ni shida Ukipiga huduma kwa wateja network haipatikani Ikipatikana simu haipokelewi. Ingekuwa nchi nyingine hawa jamaa wangepigwa failing kubwa sana. Lakini tunamshukuru mkurugenzi Mkuu wa airtel kwa kutukomesha siku ya leo.
Wasalaam.
Leo ilikuwa ni Ufunguzi wa Mikutano ya Hadhara kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), iliyofanyika uwanja wa Furahisha mkoani Mwanza.
Pamoja na mengine mengi, hotuba ya Mwenyekiti wa Chama, Mh Freeman Aikaeli Mbowe imebeba dira na mwelekeo wa Chama hicho.
Katika hotuba...
Wakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno.
Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee.
Damu yangu ikawa ya moto mno ukizingatia...
Mondi akiwa anaimba nyimbo za aina hii ya bongofleva anatisha sana.Nimependa Sana hii ngoma kuanzia uandishi mpaka melody yake ni Kali.Ujumbe wa hii ngoma unagusa watu wengi
Wakuu sana pokeeni salamu zangu.
Naomba leo nisimulie visa viwili vya kusikitisha ambavyo niliwahi kushirikishwa na rafiki zangu kwa nyakati tofauti.
KISA CHA KWANZA:
Huyu ni rafiki yangu kipenzi sana, na naomba nimpe jina Tonia (jina sio halisi)
Tonia nilikutana naye katika mazingira yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.