sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nyie watu wa Mikoani Mkija Dar mnatuchosha sisi Tupo Busy sana

    Mtu anakuja na list ya maeneo yote ambayo ameyasikia sikia. Ameandika anataka akifika ukamtembeze list yake unakuta 1. Beach Kidimbwi 2. The Great 3. Daraja la Ubungo 4. Daraja la Kigamboni 5. Daraja la Manzese 6. Daraja la Coco/Tanzanite 7. Beaches zote za Kigamboni Etc. Halafu shida akienda...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo sie chadema tunafurahia sana kuwasagia wenzetu kunguni?

    Kuhusu hili tukio la wale watumishi wa Afya ya zahanati moja huko Tabora nimeona media zote za chadema wanamsagia kunguni aisee kwahiyo sie chadema tunaona raha kuharibu vitumbua vya wenzentu? Chadema kulikuwa na haja gani ya kupost vile bila kufatilia chanzo chake? Na kwanini imetokea vile...
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hawa waumini wana imani kali sana

    Mambo ya upako hayo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tusiwahukuhu sana wanawake wasomi na ambao wapo vizuri kiuchumi

    Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu. Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dah, Maisha ya kuridhika ni mazuri sana!

    Nimeamka sina kifungua kinywa, ilipofika saa 5 hivi nikakoroga uji kwa kutumia maziwa yaliyokuwepo kama nusu lita hivi!! Nilikunywa huo uji mtamu na moyo ukaridhika kuwa hayo ndiyo maisha mazuri. Nikiwa mitaani hakuna anayeweza kuhisi kuwa nimeshindia uji. Kwa kweli kuridhika ni faida kubwa...
  6. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally unafeli sana

    Habari wakuu. Leo nimpe somo Ahmed Ally. Mkuu / MKURUGENZI wa kitengo Cha Habari na Mawasiliano simba. Nina mengi ya KUKUELEZA lakini si kwa Leo. Afya yangu haipo poa kabisa. Nimejaribu kutafuta orodha ya Wachezaji wa Simba waliosafiri na timu kwenda Dubai sijapata. Nimejaribu kutafuta...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni mchambuzi yupi wa mpira (pundit) unamkubali sana? Mimi namuelewa sana Amri Kiyemba

    Kama kicha cha habari kinavyojieleza ...haya twende kazi
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa yale ambayo ameyafanya Rais mpaka sasa anafaa kupongezwa sana

    Tufikie hatua tuweke pembeni tofauti zetu. Naona kuna mwanga mkubwa mbeleni kwa mwenendo ambao unaonekana kwa matendo ya Rais. Ni Rais mchapa kazi na ana nia ya dhati ya kufanya kazi na watanzania wote. Naamini akiendelea hivi kuna siku tutakuwa na nchi nzuri huko mbeleni. Hili la kuruhusu...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Jamaa kutoka kahama katisha Sana na huu wimbo

    Jamaa ana ujumbe mzuri sana, Japo kachanganya na kilugha huu wimbo ni elimu tosha. Sema tu binadamu wagumu. Kuelewa.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya umetukosea sana sisi Wanachadema

    Kwahiyo mkuu Masoud Kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii? Mungu wangu wangu masudi kwahiyo Mwenyekiti Mbowe na jopo lake wanatufanya nyie wanachadema tumeondolewa vichwaa 😃 😀 😄 😁 🤣! Masoud Kipanya umetukosea sana ila hongera sana kwa kututoa akili...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Freeman Mbowe kwa kuifikisha Tanzania hapa!

    Freeman Mbowe ni matunda ya harakati za mapambano dhidi ya dhuluma, uonevu na ukoloni. Amerithi hulka ya mapambano ya kudai haki za wananchi wenzake kwa baba yake Aikaeli Mbowe aliyekuwa mwana Afrika shupavu na mpigania uhuru hodari. Freeman (Uhuru) alizaliwa katika miaka ile ambapo watanganyika...
  12. Jay One

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunakuomba utupie jicho kali Utumishi

    Rais wetu, Mama Samia, kwanza tukupe hongera sana kwa kazi kubwa na inayoonekana kwa Taifa letu, hakika kazi unaimudu na unaiweza kisawa sawa. Rais tunakuomba pamoja na juhudi zako kubwa za kujenga nchi na kuwa hudumia wananchi wote ikiwemo wafanya kazi wa umma, nikupe siri, tupia jicho kali...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mapadri na mashehe wanavuta sana sigara. Je, hawajui kuwa hiyo ni dhambi mpya iliyosahaulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu?

    Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya. Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye subra na asiye na papara ya kunichuna pesa atanifaidi sana

    Wasalaam JF Katika harakati zangu za ubatizo wa kimahusiano, utamaduni wangu hua navaa low profile yaani mithili ya mtu asiejiweza kipesa, kupitia hili mahusiano yangu mengi yanakufa chap kwa haraka, leo yanaanza Leo Leo au kesho yanakufa. Situmii pesa kwa kiasi kikubwa kushawishi mahusiano...
  15. gimmy's

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Aweso nakujulisha kuwa rushwa imetamalaki sana DAWASA pindi wananchi tunapohitaji kuunganishiwa huduma ya maji

    Salaam, Kwanza nianze kwa kumpongeza Aweso kwa namna anavyopambana kuhakikisha maji yanafika kwa wananchi ili kuyafikia malengo ambayo chama na serikali wamejiwekea. Licha ya haya mapambano ambayo wazari anapambana kuhakikisha maji yanasambaa kwa wananchi, yanayoendelea huku kwa watendaji wako...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimewashangaza sana ukweni kwa dada. Hawakutegemea haya kwa kweli

    Nashukuru sana nyumbani kwao Shemeji yangu wamenikubali wanasema mimi Jembe. Ile tarehe 22 usiku niliona home wana heka heka sana. Wanapanga nguo, wakawa wananituma vitu kununua n.k Kumbe asubuhi wananifanyia sapraiz. Wakaniamsha saa 10 alfajili na kuniambia nijiandae tunaenda...
  17. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kilimo Mbeya watu wachache sana wanahitajika

    Wakuu salamu, Ninakifahamu kijiji kipo mbeya. Eneo linajoto maana ni karibu na kyela. Ardhi nzuri Kwa kila zao unalo lijua kama ufuta, Karanga, mpunga , mahindi, ndizi na kila zao unalo lijua. Changamoto: Kijiji kinabarabara mbovu ajabu! Kiasi kwamba kimeachwa kama kisiwa na kina changamoto...
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu imetengenezwa mbinguni, nafurahia sana

    Me and her we were made for eachother, we laugh at the same joke, she is gorgeous, smart and more importantly, ananiheshimu sana, mwaka wa sita huu lakini kama vile tumekutana jana. Usikatae ndoa, kataa wahuni wanaotaka ndoa. Na wish watoto wangu wa kiume wapate wake wenye sifa za mama yao, na...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ninatamani sana niwepo kwenye kikosi kazi cha CCM cha kuhakikisha na kufanikisha ushindi wa Dkt. Samia 2025

    Nimejitoa kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa moyo na nguvu zangu zote. Ni muumini wa siasa za CCM na ninaamini bila CCM hakuna siasa safi wala viongozi bora na kwa mantiki hii nitajitoa kuhakikisha kinasalia madarakani. Baada ya siku ya leo kutenguliwa kwa zuio la kutofanya mikutano ya...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kuna foleni kali sana Ubungo flyover mida huu, saa nzima gari hazitembei

    Mimi nipo nyuma sana kwenye foleni, mliopo mbele huko kuna nini jamani?
Back
Top Bottom