sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa at the lowest point of your life ukahisi kabisa hapo ndio mwisho lakini ukaja kufanya au ikafanyika comeback ya kibabe sana? Tueleze

    Uzi tayari, karibuni kwa michango na wengine tujifunze kuhusu maisha
  2. JamiiForums Tanzania Ila wanangu baadhi mnatoa boko sana!

    Natambua kuna majukwaa mbalimbali ya kuandika chochote kulingana na maudhui ya jukwaa husika Chitchat ndio jukwaa halisi la ku chill kwa kuandika mada za utani, vituko na kupunguza stress za maisha na sometimes Kuipumzisha akili baada ya mitifuano ya hoja kwenye majukwaa ya wajuvi na wajuaji...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Tumesikitishwa sana na Jaji Mwanga amefanya mambo mabaya dhidi ya chama chetu na demokrasia ya nchi yetu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 15, 2026 baada ya Mahakama ya rufaa kanda ya Dodoma kutengua zuio dhidi ya chama hicho kutofanya shughuli za siasa, Heche ameeleza walivyosikitishwa na namna Jaji Hamidu...
  4. JamiiForums Tanzania Nimewaza sana, hivi kweli unaweza ukajitabiria Jambo ambalo linaloenda kukutokea Mbele bila Wewe kujua?

    Wakuu, Nimewaza sana, hapa kuna kitu nilikua nakitafakari nikajikuta nimeingia deep sana nikachukua remote control nikaweka mziki fulani wakati naendelea kusikiliza nikahamisha mawazo nikaingia kwenye nyimbo ya G Nako ft. CHIN Bees & Nikki Wa II - AROSTO Sasa nikaruka moja kwa moja kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Shule ya Pugu mmefeli sana kumuweka Mpoki kuwa mgeni rasmi wa mahafali yenu

    Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko inavyodhaniwa, kuna wakati viongozi waandamizi haswa mkuu wa shule pamoja na wasaidizi wake huzungusha...
  6. JamiiForums Tanzania Pambana sana ujenge kabla hujaanza kusomesha

    Wazee sina cha kuwaelezea Sana Ila ukweli ni huo ukianza kusomesha haujajenga your complete and totally fucked =========== Kujenga wakati unasomesha ni ngumu na kiuchumi zaidi ni vyema kijana aanze kujenga kwanza alafu ndio aanze kusomesha
  7. JamiiForums Tanzania Muhudumu wa bar ananivuruga sana

    Wakuu poleni sana na vita vya Iran na Israel via Marekani Siyo poa wakuu wangu hii vita imeniathiri sana pakubwa ukizingatia mimi ni middle business man ambae kwa kiasi kikubwa nategemea mizigo kutoka China kisha na niuze kwa mlaji wa mwisho so hali siyo nzuri sana. Ila hivyo hivyo tunapambana...
  8. JamiiForums Tanzania Kiwango cha uelewa kwa viongozi wetu kiko chini sana

    Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni. Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida. Watu kama Mwalimu Nyerere, watu wenye uwezo wa kufikiria mifumo kama ya kijamaa kwa ajili ya umma...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama siyo huruma ya Rais Samia, Lissu atakaa sana mahabusu

    Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal. Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump. Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa chadema wakae na Rais katika ufumbuzi wa Tundu lissu

    Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal. Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump. Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waislam tunatakiwa tuiombee dua sana Iran kipindi hichi

    Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende. Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea. Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao...
  12. JamiiForums Tanzania Hii jambo linaumiza sana na upi ni Mwarobaini wake..?

    Yaan kuna Taasisi umeipenda sana na mzuka wa kufanya kazi upo huko, unaomba uhamisho halafu unakutana na hii kitu. Nini mwarobaini wa hii kitu...? Hapa nilikuwa naomba Vacancy Transfer kuhama Taasisi Moja kwenda nyingine zilizopo ndani ya Wizara Moja
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nyumba 2,450 zilibomolewa Mitamba-Kibaha, CAG kaibua upigaji wa Halmashauri eneo hilohilo, je, hatukutendewa haki?

    Mimi ni Mwananchi kutokea Pwani, Wilaya Kibaha kero yangu ni kuwa ninachukizwa na ukiukwaji na ukatili tuliofanyiwa na Serikali kuvunja nyumba takribani 2,450 wakidai ni wavamizi waliovamia pori maeneo Mitamba Kata ya Pangani kisha wakapima maeneo na kuuzia watu wengine. Juzi tunasikia Ripori...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu afande amenisikitisha sana kwa kweli kama ndio hivyo tumekwisha

    Hbr za muda wakuu wangu ! ...ni kweli nimeadimika sana humu ndani ila tupo pamoja ni majukumu ya kitaifa na shughuli zangu binafsi vinanibana sana hadi kukosa muda wa kuja kuwatembelea na kuwa tia moyo kwa yale mnayo yapitia us individual au groups poleni san wanangu ama hakika Mungu yupo...
  15. JamiiForums Tanzania Inaonekana Tokea Jf niache kumwaga madini yangu kumepoa sana, subirini niendelee kuzoa madini huku nilipo nitarudi

    Vp wazee Aisee huku nilipo nikirud tena Jf itabidi nilipwe sasa, maana siku hizi huku kitaa hata maongezi yangu tu watu wananirekodi wengine wanaandika wanadai ni madini matupu Nikirud mutafurahi, ila itabidi munipambanie nilipwe
  16. M

    JamiiForums Tanzania Inashangaza sana Mtumishi wa umma kulawiti watu watatu Igunga

    Hata kama ni kweli zaidi ya miezi mitatu anawalawiti alafu anakuja kukamatwa mwezi huu! ======= Watu Watatu wakazi wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wanadaiwa kulawitiwa na mtumishi wa halmashauri ya wilayani humo kwa nyakati tofauti. Akizungumza na Mwananchi leo Aprili 12, 2026 Kamanda wa...
  17. JamiiForums Tanzania Haran Sanga: Nauli ya Kivuko ya Tsh. 200 ni kubwa sana kwa mwananchi

    Haran Sanga, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni akihojiwa kupitia Clouds TV Aprili 13, 2026 amesema; "Changamoto kubwa Kigamboni ni tozo pale darajani kama hauna Tsh. mia Mbili huwezi kufika Kigamboni. Aidha upande boti au Tsh. 1,500 upite na gari darajani. Maisha ya wananchi wa Kigamboni ni kama...
  18. JamiiForums Tanzania Natamani sana hawa guest wote 43k wangekuwa registered members hapa JF

  19. JamiiForums Tanzania Iani Dialo from kenya Radio presenter wangu Bora wa muda wote huyu jamaa ana IQ kubwa sana.

    Aliwahi kufanya kazi EA redio katika kipindi cha EAST AFRICA DRIVE ndinga mpya town akiwa na David rwenyagira. Jamaa ana madini sana.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanatukana ili kuhalalisha mikataba yao ya kufugwa, walimtukana sana Rais wa awamu ya 5 alipokufa wakahamia kwa Rais Samia

    'Ndio maana wao huwa wanahama tu na awamu. Awamu ya nne walikuwa wanatukana Rais wa awamu ya nne. Alikuwa hawajibu, anaendelea na kazi yake. Alivyomaliza tu, wakahama, wakahamia kwa Rais wa awamu ya tano. Bahati nzuri teknolojia inatunza: hakuna Rais katika rekodi ya nchi yetu aliyetukanwa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…