sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nikikumbuka naumia sana najuta

    Hellow africa Ilikuwa siku ya juma tatu nipo zangu job siku hiyo walikuja wadada wawili wamevalia nikabu, walikuja wakaongea na mtoa huduma mwingine akawapa maelekezo lakin wakaona hawamuelewi,wakati wanapewa maelekezo mimi pia nilikuwa na client mwingine am cool person hasa napo mwelekeza...
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ambao Hatujafunga mfungo wa Ramadhan/Kwaresma tunapaswa kuishi kwa Tahadhari kubwa sana

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha kijana Hassan kumchoma kisu mwenzake kisa kamuomba maji ya Kunywa. Ndugu zetu mlioko katika mifungo, mbona mna makasiriko sana kipindi hiki cha mwezi wa toba? Nashangaa sana kuona mtu akasirika kisa mwenzie anakula.. mnahukumu vipi wakati nyie si Waumbaji...
  3. JamiiForums Tanzania Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika. Niko mahali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC inachezea sana hela kwa kuwafidia makocha inayowafukuza ovyo ovyo

    Huyu kocha Graham Potter aliyefukuzwa majuzi amekuwa millionaire ghafla. Tangu Chelsea inunuliwe kutoka kwa billionare Roman Abrahamovich chini ya mwaka imeshafukuza makocha watatu Frank Lampard, Thomas Tuchel na sasa Graham Potter kabla ya mikataba yao kuisha na kuwalipa fidia ya mamilion ya...
  5. JamiiForums Tanzania Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

    Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki. Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu...
  6. JamiiForums Tanzania Vodacom kuna muda mnakua na ujinga sana

    Hivi mnajiona nyie ni wajanja sana au si wateja wenu ndo mnatukuta malofa sana? Hivi kwanini mtu kama ana dakika bado zimebaki kwenye kifurushi chake let's say Cha mwezi halafu akiunga kingine kabla Kile hakijaisha msifanye tu kutop up hilo bando, au basi akiendelea kutumia mkate zile dakika...
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Lema yanasikika sana, utakuwa mpumbavu usipoweza yapembua

    Wana janvi sina mengi ,najua mpo vizuri tu, na neema ya Bwana ipo juu yenu Husika na mada tajwa hapo juu, Yupo ndugu Lema ambaye kwa wakati flani alikua mbunge Arusha mjini na sio mda mrefu ametoka nje ya nchi Canada alipokua kama mkimbizi wa kisiasa Uyu mwamba moja ya kauli alizotoa akiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Polepole wana upeo mdogo sana wa kifikra, muda si mrefu atawashangaza watu

    Ndugu Humphrey Polepole, Tarehe 28/11/2020 Ndugu Hamphrey Polepole aliteuliwa na Hayati Rais Magufuli kuwa Mbunge, hapo awali alikua ni Katibu Mwenezi wa CCM Taifa. Baada ya kifo cha Rais Magufuli mambo yakabadilika.Tarehe 14/3/2022 Rais Samia akamteua Ndugu Polepole kuwa Balozi nchini Malawi...
  9. JamiiForums Tanzania Nilikuwa mdau mkubwa wa Vpn za free internet ila nikasanda, nililazimika nizihame moja kwa moja, kutumia vpn hapa bongo yahitaji moyo

    Off course vpn za kutumia internet bure zina faida zake ikiwemo kuokoa gharama na nikiri niliwahi kuwa mdau lakini kuna kipindi nilichoka aisee, ilibidi nizihame moja kwa moja. -siku yoyote inafungiwa hakuna uhakika itadumu -Hapa bongo hatuna wabunifu wa kubuni mbinu zao kwa vpn ili hata...
  10. JamiiForums Tanzania Walimu na Askari Polisi mnajidharirisha sana

    Zamani nilikuwa najua kuwa walimu ni kioo Cha jamii,kumbe nilikuwa najidanganya huenda ni kwasababu nilikuwa mtoto kipindi hicho au kwasababu walikuwa watu wa karibu yangu kwasababu nilikuwa mwanafunzi na niliwachukulia kama watu waliofanikiwa zaidi katika jamii. Leo nashuhudia mengi kutoka...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma: Walioambiwa wale kwa urefu wa kamba zao hawanunui kamba za katani wanatumia manati, likijaa linatanuka

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku 'Musukuma' Vikao vya bunge vimefunguliwa rasmi leo tarehe 4/4/2023. Katika kikao cha leo, shughuli za Bunge zilisimamishwa kwa ajili ya Azimio la kumpogeza Rais, ambapo Wabunge walipata nafasi ya kutoa pongezi zao. Kwa upande wa Mbunge wa Geita Vijijini...
  12. JamiiForums Tanzania NMB Sinza Mori mna huduma mbovu sana

    Hili tawi nimekuwa nalitumia kutokana na urahisi wa shughuli zangu ila kwa kweli lina huduma mbovu Kuna madirisha ya teller zaidi ya 6 ila kila siku unakuta yupo mmoja wakizidi wawili wakati Upande wa customer care unakuta wamejaa wakutosha Huduma za tawi hili kama za wakala tu
  13. JamiiForums Tanzania Mabinti wa mjini wanamaadili kuliko wa kijijini, kijijini hupoteza bikra zao wangali wadogo sana

    Kibao kimegeuka,kama ulitaka kuoa kijijini think twice. Maisha ya vijiji vingi ni magumu sana,mabadiliko ya tabia ya nchi yamefanya mavuno shambani kutoeleweka , milo mitatu vijiji vingi ni ndoto,chai hawaijui,njaa haina ubaunsa matokeo yake mabinti wa vjijini wameuza bikra zao kwa gharama...
  14. JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa mmeathiriwa na utumwa - mtatumika sana

    Nazungumza na Wana wa CDM, ACT, NCCR, CUF nk pamoja na kwamba mmesajili vyama vyenu ili kuja kukiangusha chama tawala cha CCM lkn uhalisia unaonesha mmeathiliwa sana mifumo ya kikoloni na utumwa. (a). Kwa nini vyama hamuanzishi miradi mipya ya vitegeuchumi ili pasipo kutegemea ruzuku fedha...
  15. JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni siku mbaya sana kwa Dkt. Slaa na Prof. Safari baada ya kupigwa kibabe na CHADEMA mwenzao

    Kila mahala watu wanalizwa lakini hili la kulizwa kibabe na mtu kukunja mkwanja iliwaumiza sana wanaChadema
  16. JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu tunafurahia sana ndoa yetu, ijue maana ya kumuita mwanadani wako "Baby"

    Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako baby basi utafurahia maisha ya mahusiano yako, hasa wote mkiwa mnafahamu hilo Sasa je nini maana ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ndege ya gharama sana ya Urusi yapigwa chini Bakhmut

    Ndege aina ya Su-24M bomber imepigwa chini na jeshi la Ukraine kwenye mji ambao Putin ameamua uwe kichinjio cha wanajeshi wake, yaani ameamua kuuteka hata kama atapoteza kila kitu..... Here's everything we know Ukrainian anti-aircraft crews operating near Bakhmut just shot down an expensive...
  18. JamiiForums Tanzania Nimecheka sana tafsiri ya huu wimbo

  19. W

    JamiiForums Tanzania 'Toa hela' na 'Niko bize' zinavyogusa maisha yangu! Ahsante sana Jaffarai

    Sijui yuko wapi sasa huyu mwamba? Kila alichokisema katika nyimbo zake hizo mbili ninakabiliana navyo kila siku na kuvishuhudia; -masjala file lako litaonekana tu kama utawapoza kidogo wale ps, la sivyo utaona linatafutwa kila siku. -mpe mwalimu pesa uone mtoto anavyofuatiliwa na matokeo yote...
  20. JamiiForums Tanzania Siwahitaji watoto wa kiume kwenye familia yangu

    Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu. Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…