Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Hellow africa
Ilikuwa siku ya juma tatu nipo zangu job siku hiyo walikuja wadada wawili wamevalia nikabu, walikuja wakaongea na mtoa huduma mwingine akawapa maelekezo lakin wakaona hawamuelewi,wakati wanapewa maelekezo mimi pia nilikuwa na client mwingine am cool person hasa napo mwelekeza mtub
Baada ya kumaliza huduma kumpa yule client wangu nikawa natoka naenda juu ofisi ya mapato kuna mgonjwa alikuwa kazuiwa kupewa matibabu kutokana na deni lake la nyuma, ndipo nikakutana na wale wadada wa nikabu wakiomba niwasaidie mama yao ni mgonjwa na hawana mtu wa kuwasaidia tena kwa muda ule mgonjwa alikuwa anatakiwa apewe damu lakini kama mnavyo jua lazima awepo mtu wakuchangia damu
Nikawasikiliza pale njee nikachukua memo nikaandika nikawapa wapeleke wodini kwa incharge kuwa mgonjwa apewe damu wakati uho ndugu wakitafuta mtu wakuchangia
Basi mazoea ndipo yalipo anzia hapo simu nyingi kila siku wakilalamika siku mmoja mama yao alikuwa anapelekwa dialysis ila mama yao alikuwa anasikia maumivu sana sasa aliwapigia simu Watoto wake akiomba apelekewe dawa na mtu kabla ya kufanya dialysis n hatakiw kunywa dawa ya aina yoyote
Wakapiga tena simu kwangu wakiomba msaada bila kujua nikaenda kwa mphamasia nikaomba peniv nikaenda wodini nikampa dawa yule mama nikasepa duh nilivyo rudi nikiwa naanda mpango kazi simu ikapigwa kutoka kwa wod incharge kuwa client wako wame mletea mama huyu dawa kwahiyo wameharibu mgonjwa hatakiwi tena kwenda dialysis mpaka masaa nane au lah apew maziwa ongeao na watoto wa huyu mama haraka sana waje alikuwa anaongea kwa ukali
Na mimi nikaamisha majesh yangu kwa watoto wa yule mgonjw nilifoka sana nikawauliza mnataka mama yenu afe mje mseme nimemuua mimi na maagizo mlipewa nikaingia mfukon nikanunua maziwa nikampelekea yule mama anywe ikawa ndio mwazo na mwisho kuamin client najutaga mpaka leo