sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Rais Samia kuingia katika soka la Bongo kwa kununua magoli ana akili nzuri sana!

    Mchezo wa soka (mpira wa miguu) ni mchezo unaopendwa na watu wengi sana Duniani. Kwa hapa Bongo ni kama ndo epicenter ya soka! Soka linapendwa hapa Bongo balaa! Kuna wakati niliwahi kumwambia rafiki yangu mmoja kwamba kwa "uwazimu" huu wa upenzi wa soka hapa Tanzania hasa katika mechi za Simba...
  2. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

    Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake. Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii Timu Imechaguliwa kwa Ubaguzi sana, Alafu kuna Mzungu Mtanzania!

    Naichungulia timu ya Taifa inayokipiga muda huu, siwaoni wachezaji wa timu unayosema ni bora humo, lakini naona kuna mchezaji wa kizungu huyu au ni macho yangu mabovu!. ☝🏾Picha zingekuwa zinafunga magori nadhani Uganda ingeona cha mtema kuni.
  4. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Rais Putin anaongea sana bila vitendo

    Mwanzo aliwatisha wale watakaoisaidia Ukraine kwenye vita kua watakiona cha mtema kuni na atawageuza kuni, ila mpaka leo yupo kimya na Ukraine inasaidiwa mpaka na majirani zake kama Poland, Lithuania, Germany and ect. Juzi anasema ataipiga mahakama ya ICC pale the hague kwa hypersonic...
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya huyu jamaa, kweli tutafute pesa sana na usimwache Mungu

    Amani kwako. Ramadan Mubarak. Hakuna haja ya maneno mengi, huyu ni raia wa nchini Nigeria, aliamua kubadilisha mfumo mzima wa maisha ya kijijini kwao na kujenga (satellite city) kwa fedha zake bila kumdai mwanakijiji apeleke yai au kilo ya mahindi. Kijiji hiki cha Nigeria kiligeuzwa kuwa mji...
  6. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Nina kinyongo na chuki kali sana. Je, hili ni tatizo?

    Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi. Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Janeth Magufuli akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato Machi 18, 2023

    Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato leo Machi 18, 2023. Mama Janeth amewaasa wanafunzi wasichana katika Shule za Msingi na sekondari nchini kote...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Niyonzima wa Yanga Vs Niyonzima wa Simba Yupi alikiwasha sana?

    Haruna Niyonzima “Fabrigas” moja ya mchezaji aliyekuwa ananivutia kwa aina ya uchezaji wake. Je akiwa Simba au Yanga Niyonzima yupi alikiwasha haswa? 1. Yanga 2. Simba Twende kazi______!
  9. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika Nape alipotamba wamefumua hatua mbalimbali kuhusu uchumi alizochukua Magufuli

    Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano. Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, taasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vita yetu dhidi ya ushoga ni dhaifu sana

    Wazungu wanao msemo wao maarufu usemao "nionyeshe rafiki zako ili nikwambie tabia yako", wakimaanisha kuwa kama ukiwa na marafiki shoga na wewe upo uwezekano mkubwa ni shoga vilevile au huuchukii ushoga hata kama wewe sio shoga. Baba yangu alikuwa sheikh mkubwa lakini alikuwa na marafiki zake...
  11. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Wanadiaspora wenzangu na Watanzania maisha ya majuu yana upweke sana. Tunaomba tutoe ushirikiano, mwenzetu ametutoka

    Mtanzania Vivian Larsen aliyekuwa akiishi Nchini Denmark ameripotiwa kukutwa akiwa amefariki nyumbani kwake Nchini humo akiwa peke yake nyumbani huku ikiwa haijulikani ni lini umauti umemkuta wakati mume wake yupo safarini kikazi. Juhudi za kuwasiliana na Polisi nchini kupata taarifa zaidi...
  12. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kiarabu, kizungu au shombe anahitajika haraka sana

    Wana JF Nina rafiki yangu ni mchanganyiko wa kihindi na mwafrka yupo Dar ameajiriwa na kampuni flan kubwa sana ameniomba nimsaidie kupata mke wa kiarabu au mwenye asili ya kiarabu au kizungu au mzungu ili aoe. Yeye umri wake 46, anao watoto 2. Wataongea wafahamiane wakikubaliana tabia basi...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli nikikuangalia naona upendo, nikikusikiliza nasikia upendo; Mungu akubariki sana!

    Kupitia TBC jana, katika kipindi kinachozungumzia yaliyojiri wiki hiyo, nimekuona ukiwa katika ibada/misa ya kumuombea marehemu mume wako ambaye pia alikuwa raisi wa JMT. Ulipokaribishwa mbele kwa ajili ya kutoa neno, kinywa chako kilinena vema kabisa. Katika mengi uliyoongea, kamwe hukusahau...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Wagner waanza kutafuta wapiganaji kwenye shule za sekondari, wamefyekwa sana

    Na wataendelea kufagiwa na kufyekwa.... The Wagner Group is now resorting to hiring its fighters through recruitment hubs set up at sports centers across Russia, while representatives are targeting high school students, the British Ministry of Defense said Monday. In its latest assessment of...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana timu za Yanga na Simba

    Ninawapa hongera kubwa sana kwa kutufurahisha sisi Watanzania kwa ushindi mlioupata katika mzunguko wa kufuzu Robo Fainali. Juhudi zenu zisikome hapo mlipofikia, ila tunaomba safari hii mfike mpaka Fainali. Narudia tena hongereni sana Wanalunyasi na timu ya Wananchi.
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ya 2023 inafanana sana na Cameroon ya 1990

    Mimi kwa kuwa ni mpenzi wa dhati wa soka, nimewahi kukaa na kuangalia mechi na wachezaji wa zamani na kujua kwa kina historia mbalimbali za soka maana bila kujua ulipotoka hauwezi kujua unapokwenda. Leo nimewaza timu ya Simba inayoonekana kuwa na wakongwe wengi ambao wanaelekea ukingoni mwa...
  17. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Niliikubali sana hii hustle ya mjini

    Siku moja milimtembelea jamaa yangu kwenye ofisi yake ya kuuza tisheti za mtumba. Yeye huwa anafungua mabelo. Sasa anachofanya, anatoa nguo nzuri anatundika pale ofisini. Zingine zinazobaki anaweka mezani watu wachague kwa bei moja. Labda bukubuku au buku mbilimbili. Ni nguo nzuri nazo, nilikuwa...
  18. Slowly

    JamiiForums Tanzania Watu wanene (vibonge) ni waungwana sana ila wengi ni matapeli

    Ukifatilia hata hapa mjini hawa jamaa ndo wanaongoza kwa black market , kuwa makini sana unapoanza kufanya dili na mtu kibonge , ni wacheshi wazee wa mastory ya kusisimua ila kukuingiza kwenye smuggling ni kugusa tu. Ongeza umakini unapokutana na dalali bonge.
  19. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi nchini ni bendera fuata upepo, hawana maarifa ya kutosha

    Acha kuwa bendera fuata upepo. Lema anadai Bodaboda ni sio ajira/ nia laana yeye ameleta nini ili kiwe ajira kwako kijana? Lema anajenga hoja ambazo hazina mashiko, unasema Bodaboda ni laana we unataka vijana wafanye nini au ndo wakusubiri uwe kiongozi mkuu wa nchi ndo kila kijana umpatie...
  20. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa mpo wapi? Watu wanauawa sana. Mmenyamaza kabisa hamyasikii na kuyaona haya?

    Week hii aliuawa dada mmoja huko Kibaha, Week hii hii tena kuna dada kauawa huko Musoma. Ukirudi nyuma weeks mbili ago kuna mtu aliuawa na mwingine alipatikana baada ya kupotea kwa muda fulani. Kuna watu kadhaa wamepotea na kuuawa lakini sisikii Waziri, Naibu , Wabunge wala wapinzani wakikemea...
Back
Top Bottom