sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Hii picha nilivyoiona nimecheka sana. The tripple integral 😆

    Picha imefutwa
  2. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Zuku wanajimwambafai sana? Au wameelemewa na wateja? Au ni dharau?Au jeuri?

    Yalianza jana kupitia airtel, muamala wa malipo haukufanyika Sasa leo nawapigia simu zuku ili angalau niwafahamishe kuwa nimeshalipa ni airtel ndio wanachelewesha hela yao weeeee dakika 140 zimeisha Dakika 140 zimeisha bila simu kujibiwa Na sasa hivi nipo raundi ya pili dakika 70 zimekata ni...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Akumbukwe Diego Maradona. Mwanzilishi wa kujichukulia sheria Mkononi. Mahusiano yanatesa sana

    Wanaume wengi miaka hii wameamua kuwa tu wanajichukulia sheria mkononi. Wanafunga goal la mkono. Unakumbuka mwaka 1984 kama sikosei.. unakumbuka? Diego Armandos Maradonna alipiga bao la Mkono na kuchukua ushindi kwa team yake ya Argentina. Bao la Mkono unapata ushindi mzuri tu. Unachukua...
  4. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu za Mmarekani kuhamasisha kwa nguvu sana ushoga Afrika na siyo mabara mengine

    Ni muda sasa suala la ushoga na habari zake zimeendelea kuchoma na kuumiza masikio na macho ya waafrika na wengi wetu kukerwa na wengine kuhuzunishwa. "kwanini Afrika kwa sana"?. "Kwanini Mmarekani ndiye anaongoza kwa kuhamasisha na je una manufaa gani kwake kama siyo udhalimu tu dhidi ya...
  5. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Unamkuta mdada kajikoboa, make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake

    Unamkuta mdada kajikoboa ,make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake ila ananuka kwapa, jasho mpaka unahisi kichefuchefu. Mbaya upande naye kwenye daladala yaani una suffocate hardly,,eti ninyi wa dada mnafeli wapi,wakati deodorant buku 5 tu,spray mpaka za buku 2 zipo,,mnafeli...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana kitu cha ziada atafika mbali Sana

    Mwanzo mimi ni moja ya watu ambao sikuamini kwamba Rais wetu mpendwa atatuvusha katika utawala wake. Lakini baada ya kuzitazama tawala zote 6 toka tupate uhuru pengine Rais Samia kwa mtazamo wangu ni Rais mwadilifu baada ya Hayati julius Nyerere. Ndiye rais ambaye hana makelele na hotuba za...
  7. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Chest Freezer nzuri sana linauzwa

    Aina: Boss Hali yake: Nzuri sana Bei: 550,000 Lilipo: Dar es Salaam Mawasiliano:- 0675341515 NB: FREEZER HAINA SHIDA YOYOTE NA WALA HAIMJUI FUNDI. NAIUZA KWASABABU SINA Matumizi nayo kwa sasa
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Kumjua huyu 'Mwamba' aliyebuni hizi Mbinu Mpya za 'Kuua' Vibaka / Wezi Wasumbufu Uswahilini

    Ya Kwanza ( #1 ) Kibaka / Mwizi anabebwa na Watu Wawili tu kama Maiti inavyoingizwa katika Jeneza kisha ANATIKISWA ( ANACHEKECHWA ) mara Saba ( 7 ) kisha anaachiwa na baada ya dakika 15 tu anawahishwa Mochwari iliyoko Jirani nae Kusubiri Kuzikwa. Ya Pili ( #2 ) Kibaka / Mwizi akikamatwa tu...
  9. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ukimeza kidonge kwa maji ya baridi sana, kidonge hakifanyi kazi

    Hivi ni kweli kuwa mtu anapomeza vidonge kwa maji ya baridi sana ya friji, vidonge hivyo haviwezi kufanya kazi?
  10. sanalii

    JamiiForums Tanzania Huwa napata hisia kali kama vile nilishawahi kuishi huko zamani sana

    Yani kiona picha za zaman, magofu/abandoned places, au documentaries, huwa kunahisia zinanijia kama vile nilikua part of the stories, ni ipi saikolojia nyuma ya hili?
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana. Sikutegemea ingefikia hatua hii

    Nilikata miaka kama kadhaa hivi bila kuchovya (kuosha mpini) si sababu sina pesa. Laaah ... Pesa mademu wananilia sana na vile mimi ni mpole na mwaminifu so huwa nakuwa na demu ila akiniambia kuparamiana mpaka tukioana bas namkubalia tu. Jana demu mmoja akanionea huruma akanipa. Daaaaah...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ewe dada ulijifanya mtakatifu sana ulipoanza funga yako sasa funga inakaribia kuisha unaanza usumbufu sasa ukae kwa kutulia malipo ni hapa hapa

    Nasema ivi hata salamu simlikuwa hamtaki eti kisa mpo kwenye funga, mtajua hamjui na sisi mabaharia tumeanza funga yetu kivyetu. Tunaenda na wale tuliokuwa nao pamoja katika kipindi hiki kigumu.
  13. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

    Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue. Kiwango cha pesa sitokitaja 😂, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi...
  14. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Ugumba kwa wanaume unakua kwa kasi sana

    Imegundulika kua katika kipindi cha takribani miaka 50 nyuma kufikia sasa, kumekua na upungufu wa zaidi ya 50% ya manii(sperm) kwa wanaume wote duniani, na kusababisha kukua kwa kasi, kwa tatizo la ugumba kwa wanaume. mbaya zaidi, upungufu huu umeonekana kua mkubwa zaidi kwa wanaume wakiafrika...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Mkurugenzi Mkuu na Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando

    Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center. Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi. Mimi binafsi...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Bunge lingekuwa na akina Luhaga Mpina japo 50 tu, nchi ingepiga hatua kubwa sana

    Kinachotuponza sisi watanzania wengi ni unafiki na ukigeugeu Nashukuru Mpina toka awe mbunge ana msimamo usiobadilika. Huyu bwana anatimiza wajibu wa bunge kusimamia serikali. kwelikweli Sijaanza kumsikia leo toka Enzo Za JK huyu bwana Yupo straight hamung'unyi maneno. .Pamoja na Chuki na...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Makundi 7 ya watu wanaoheshimiana sana Tanzania. Nini siri yake?

    Kuna makundi ya watu wakikutana mahali wanaheshimiana sana. Mimi nimeona makundi yafuatayo, je kuna siri gani? 1. Wachawi 2. Washirikina 3. Wanasiasa 4. Wanajeshi 5. Polisi 6. Wafanyabiashara wakubwa 7. Viongozi wa dini 8. Mateja 9. Madalali 10. Matapeli 11. Mafundi 12. Walevi
  18. J

    JamiiForums Tanzania WanaSimba wenzangu kuringia sana kiwango cha Jean Baleke, ni kama mtu kuringia gari la mkopo

    Ni kweli isiyokuwa na shaka Jean Baleke ni moto wa kutisha, wanaobisha ni wivu tu Lakini pia tusisahau Jean Baleke sio mchezaji wetu, ni mchezaji wa TP Mazembe na yupo Simba kwa mkopo Kuringa sana ni kama mtu anateringia gari la mkopo kama vile ni lake Huku tukijisahaulisha ukweli mchungu...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tumechoka kumuona Baleke akifunga sana tunamwomba na Musonda nae afunge mara kwa mara

    Haiwezekani Mchezaji wetu Yanga SC Kennedy Musonda tuliyemsajili kwa Mbwembwe zote huku tukiwacheka Simba SC kwa Kumsajili Mchezaji tuliyeona ni Garasa (Kapi) Jean Baleke hafungi na anakimbiakimbia tu Uwanjani kama Mlevi wa Togwa huku yule tuliyemdharau (Baleke) akiwa anafunga tu Magoli na...
  20. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana watu, lakini karma is real

    Nianze kwa salam. Ninamsomesha mtoto wa dada shule moja ya gharama mjini. Day Ada ni ndefu kwa kweli, term moja 1.2 m hali ya maisha si njema kwa wengi wetu ni kujinyima tu watoto wapate kilicho bora. Iko hivi: Shule zinafungwa Juni huko Mhasibu kuvumilia siku 10 nimalizie laki iliyobaki...
Back
Top Bottom