sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani, ili nipate Mwaliko wa Eid Mubarak? Naona kimya Sana !

    Sijapokea mwaliko hata mmoja kwa siku yetu ya Eid Mubarak
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Afrika na unyonge ni ndugu ? Wanaijeria ndio jamii inayoongoza kwa maendeleo kwetu waafrika lakini katika ngazi ya dunia badowapo nyuma sana.

    Hapa Afrika unapozungumzia jamii ya watu walioendelea zaidi basi ni wanaijeria hata wale wambao wapo Diaspora. Najua utakimbilia kusema kuna Black americans kina Jay Z lakini hao bado ni wachache sana hawawezi kufikia wanaijeria kina Dangote, pia huko Marekani ni jamii inayowakilisha watu weusi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!

    Watu waliojiapiza maisha yao, kufa au kupona, kuuwa ama kuuwawa, ni mafisadi! Ikiwa kweli mnamaanisha kupambana na watu hao hatari, anapotokea mtu mmoja kujitoa mhanga kuwataja hadharani watu hatari kama how, Sisi ambao tuko nyuma ya vita hiyo, jambo moja tu tunapaswa kufanya, Ni kumuunga...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia. Hadi sasa ametoa ajira nyingi sana japo hitaji ni kubwa

    Kwa kweli hatuna budi kumshukuru sana Mungu kwa ajiri ya Rais wetu kuweka mkazo katika kutoa ajira kwa vijana wetu waliomaliza vyuo. Japo hitaji bado ni kubwa sana lakini hatuna budi kumpongeza kwa wingi wa ajira ambazo keshatoa hadi sasa. Si mnakumbuka tangu 2015 ajira zilikata kabisa...
  5. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Huyu kiumbe ananitesa sana usiku

    Yani anakuja anatua karibu na dirishani ninakolala anaanza kulia hovyo. Hapo ni usiku wa manane, anakuja karibu mara 3 kwa wiki. Cha ajabu majirani zangu hawasikii akilia. Namna gani naweza mdhibiti? Maana kiasili huyu si kiumbe mwema
  6. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Una majibu ya kukera sana we baba kama sura yako

    Wakuu, Kwanza nilishtuka, na kisha nikajitafakari kidogo then nikaona nikinyamaza itakuwa njema. Nimuite dada, mama, binti ambae ni mwenyeji wa kitambo mbali hapa kwetu. Ghafla bila hiyana akanambia nimekuwa na majibu (comments) ya/za kukera, lugha mbaya zenye kukwaza. Nimekuwa mzee mkorofi...
  7. aka2030

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema Arusha ndio mkoa unaoongoza kuwa na vijana wavivu sana

    Huu mkoa vijana wavivu wanaongezeka kwa kasi sana, wanakuja wageni wanafanya kazi wanaondoka na mpunga. Mkoa huu kijana wa kiume anawaza kupata mwanamke ama bibi wa kizungu kutwa kufuga rasta akiamini utamtoa. Ukitaka kuamini hilo nenda sehemu za starehe kisha akatishe mzungu, ukienda sehemu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

    Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Msiba wa Mzee Mkono wajae Watani wa Wazanaki na Wasukuma ili Wamchane Mjane na Bintiye Leah

    Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono. Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kina Mama wawafunze mabinti kubalance Elimu, Career, Ndoa, Uzazi. Complications za Uzazi,Ugumba, ndoa migogoro zimekuwa nyingi sana

    Changamoto za ndoa zimekuwa nyingi sana sababu ya kesi za ugumba. Mume analalamika mkewe hashiki mimba kumbe kamuoa binti akiwa above 28 binti kashakula sana p2 huko nyuma. Kina Dr Mwaka wanapiga hela za ujanja ujanja na bado mimba hazipatikani Kutumia Vidonge vya kuzuia mimba muda mrefu...
  11. Nanamucho

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaovujisha wanawake Video za Uchi, Nani Kawaroga?

    Hivi wanaume nyie ni nani kawaroga? Mimi kama mwanamke nimeumizwa sana na nitaendelea kuumizwa kila nikiona wanaume wanavujisha video clip za wanawake wenzangu wakiwa watupu chumbani wamelala. Hivi mwanaume lijali unayepiga paipu papuchi na ikapigika kisawasawa haswa huo muda wa kumrekodi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Imenisikitisha sana watoto kuzomea watoto walio na wazazi wanaofanya baadhi ya kazi

    Juzi ijumaa nilikuwa kwenye shule Fulani nikakuta watoto wadogo chini ya Miaka kumi wakiwa wamekaa wanapiga story zao. Mmoja wao akaanza kuuliza wenzie baba Yako anafanya kazi gani kila mmoja akaanza kujisifu na kazi ya baba yake, ila mojawapo baba yake ni mpishi anauza nyama choma na mwingine...
  13. vibertz

    JamiiForums Tanzania Kumbe CAF super league wanachukua hadi timu mbovu

    Hizi ni timu nane ambazo zimepewa nafasi ya kushiriki super league. 1) Tp Mazembe 2) Es Tunis 3) Petro Luanda 4)Horoya 5)Simba 6) Wydad 7) Mamelod 8) Al Ahly Wakati mashindano haya yanazinduliwa, Simba waliinasibu kuwa ni mashindano ya timu bora tupu ndio zinazoshiriki hayo mashindano, lakini...
  14. Mkanganyiko kukanganya

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

    Maisha ya mahabusu/ mfungwa ni magumu na mabaya ila siyo kwa ubaya ule unaovumishwa mitaani kwamba kule kuna Kupigwa na wababe Kunyang'anywa chakula Kuteswa Kubakwa n.k ni hapana Maisha yanaenda kawaida ikiwa kwa upande wa burudani Television ipo Draft/bao lipo Mpira wa miguu upo "Kwaya kwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Twitter imekuwa ya ovyo sana siku hizi

    Serikali imefungia kurasa za mitandao ya Fabebook 361, Instagram 198, Twitter 12 na vikoa 2,456 ambazo zilikuwa zinajihusisha na matangazo ya ukiukwaji wa maadili ikiwemo mapenzi ya jinsia moja. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Jumatatu Aprili 17, 2023 na Waziri wa Habari Nape Nauye wakati...
  16. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako unamleaje? Nimesikitishwa sana na watoto wa shule hii

    Leo nimetembelea shule anayosoma mwanangu, ni sekondari ya bweni. Nilichogundua ni kwamba wazazi wengi majumbani mwetu hatuwafundishi watoto kuthamini kidogo walicho nacho. Nimekuta watoto wanatupa viatu vizuri kabisa. Wametupa mashuka na yako kwenye hali nzuri sana, wametupa nguo zao...
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Yanga kilichofungwa na Simba ni sawa na kikosi kile kilichokuwa kinafungwa sana na mzee wa Kiminyio Madaraka Suleimani

    SIMBA VS YANGA;KIKOSI CHA YANGA KILICHOFUNGWA NA SIMBA NI SAWA NA KIKOSI KILE KILICHOKUWA KINAFUNGWA SANA NA MZEE WA KIMINYIO MADARAKA SULEIMANI. Leo 10:15hrs 17/04/20223 Mwaka 1994 timu ya Yanga ilikuwa na timu bora sana lakini kikosi hicho bora kililegezwa na mgogoro mkubwa wa Yanga asili na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

    Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla =====...
  19. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

    Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF. Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza. Ila nimesikitika sana...
  20. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

    Hahahah ngoja nianze na kicheko unafiki, hivi wanaonijua huwa naandikaga pumba eti? Anyway sikuumbiwa mapenzi, ninayotamani yote hufa. I hate love, ila sina jinsi, najua napoteza ila sina namna, nahitaji muda sana. Ninahisi pain sana kila wazo la kimahusiano linapo nipitia kichwani, furaha...
Back
Top Bottom