Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

mshamba_hachekwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2023
Posts
22,466
Reaction score
72,617
Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.

Kiwango cha pesa sitokitaja 😂, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi tulikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu.

Nifanyeje?
 
FtMGK2VWAAECHW1.jpeg

Tulia dawa ikuingie mkuu...!
 
Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.

Kiwango cha pesa sitokitaja , aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi tulikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu.

Nifanyeje?
Kwa Saikolojia ya mwanamkr anapopokea kitu toka kwa mwanaume anaamini Amehongwa.
 
😅😅😅 sema nini mwanawane huyo demu kisa chake kinafanana na niliyomkopesha naye alikuwa anahamia nyumba mpya. Na mimi sijalipwa mpaka leo, kama ndio huyo tumeisha tumepigwa 🤔
sitarudia tena aki 😂 mbususu na hela yangu ya jasho wapi na wapi
 
Back
Top Bottom