sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kushindwa kufika kileleni ni uzembe wako

    Natapa orgasm kwenye clito, napata kwenye vigina na kwenye g spot. Siri ni tatu tu:- Nikiwa naenda kwenye show najiandaa kisaikolojia kabisa kwamba naenda kupata raha zote, hata kama yeye ni one minute man nahakikisha lazima nifike climax. Foreplay lazima more than 30 minutes, hapo lazima tu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania NEMC Tanga City wadhibiti Wenyeji na vigodoro vya usiku mitaani, ni kero kubwa sana

    Hii ni kero ya miaka nenda rudi hakuna hatua inayochukuliwa. Tafadhali NEMC Tanga wadhibiti hawa watu. Kama mmeweza kwenye mabaa na kumbi za harusi, basi na hili halitawashinda. NEMC yafungia baa, kumbi za starehe 89
  3. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Wasiokuwa na connection husota sana

    Ndiyo! Nchi ishavurugwa sana hii. Narudia, wasiokuwa na connection wataendelea kusota sana! Kuna kipindi hapo nyuma nilisoma post ya Mbasha akidai kuwa Waziri wa afya alimsaidia akapata matibabu ya uhakika! Kama hiyo haitoshi kuna idadi kubwa ya vijana wanajitokeza hadharani kukiri kuwa bila...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mudathir Yahya ni fundi sana

    Mudathir Yahya is a Baller. At the age of 27 years old. He could have been ina better Club than Azam and Young Africans. He is too good. I hope these CAF competitions highlights his career to a better pay day. Azam FC recruitment board ipo vizuri sana. Hongereni.
  5. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kuna ile furaha unaipata unapomsaidia mzazi/mlezi, ndugu au jamaa hela au chochote, ni special sana

    Sijawahi jihusisha na ulevi wa aina yoyote hivyo siwezi linganisha ila kuna raha unakua unaipata ni kali sana pale unapomsaidia mtu, akatatua tatizo pake, Hua najiuliza wale wabahili wa pesa hua hawajui hilo jambo? Nadhani ni zaidi ya pombe au uraibu mwingine
  6. Hovering

    JamiiForums Tanzania Hili swali lina nitafakarisha sana?

    Wadau salaam. Naamua mpo safii kabisa, kwa wenye changamoto basi ni dua zangu Mungu akufanyie wepesi. Kabla sijaingia katika mahusiano swali langu kichwani lilikua " hivi hawa watu wanaitana wapenzi, nini wanaenjoy na vipi wana feel kufuatana fuatana....!?!?!" Sikupata jawabu zaidi ya...
  7. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wafu walio hai

    Uhai unasiri kubwa sana ambayo kila mwanadamu anatamani kuupata angalau ufunguo wa siri hii ili kuchungulia hata akiba ya pumzi yake japo jambo hili laweza lisimsaidie chochote. ~~~ ###### Ilikuwa ni usiku wa giza totoro sanaa, giza ambalo weusi wake uliyapiga kibao macho yangu na kuyafanya...
  8. Michael Uledi

    JamiiForums Tanzania Taifa la washangilia Misiba na Visasi

    Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na...
  9. Okrap

    JamiiForums Tanzania Wanaume mbarikiwe sana

    Jamani wanaume mnatakiwa kupewa maua yenu mnajitoaga sana baadhi yenu na mkiamua kujitoa mnajitoa mpaka familia zenu amuwasikilizi kisa mapenzi asanteni kwa upendo wenu
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Namuomba Rais Samia amsaidie huyu dada aliyekuwa muigizaji

    Sina hakika kama imeshaletwa huku au laa, ila mimi ndio nimeiona leo. Nikaona niilete hapa ili mwenye kuweza kusaidia matubabu ya mwigizaji Carina asaidie. Pengine hata tukimega pesa kidogo toka kwenye yale magoli ya Mama si mbaya sana, asaidiwe apelekwe hata India tu. Maelezo kamili yapo chini...
  11. Half american

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu huwa vinakera sana na kushangaza kwa baadhi ya wafanyabiashara wanavyofanya biashara zao

    Habari wakuu, Bila shaka umekuwa na siku njema na unatafakari namna mipango ya siku inavyokwenda. Pole sana kwa wenye changamoto ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Mteja ni mtu muhimu sana katika biashara yoyote, lengo la kuanzisha...
  12. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani

    Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani
  13. K

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

    Wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile. Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye...
  14. J

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wanachangia sana kushuka kwa elimu nchini

    Ifike mahali sasa OR-TAMISEMI wapunguziwe majukumu. Kwa kiasi fulani nadhani nao ni sehemu ya kuharibu ubora wa elimu nchini. Najua TAMISEMI wanahusika na TSC, TARURA, DART, Afya, Elimu, etc yani kwa ufupi ni kama wapo kila kona, pamoja na hayo eneo ambalo unaweza kuona wamejikita na wanasikika...
  15. YE67NBE

    JamiiForums Tanzania Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

    Wakuuu za mida, Aseee mimi mwanenu katika vitu ninavyojuta maishani mwangu ni kuchelewa kujiunga humu ndani asee. JF imekuwa zaidi ya kijiwe kwangu. Namshukuru sana Maxence Melo kwa kutengeneza huu mtandao pendwa. Yaani kwanzia 2016 nilikuwa namiliki smartphone ila niliishia FB tu 😭😭😭na IG...
  16. M

    JamiiForums Tanzania FIFA irudishe sheria ya kuchomekea, vijana kwenye mpira wamekuwa wahudi sana

    Kuchomekea shati au tu kochomekea tu ni ishara ya udhanifu na heshima duniani kote. Hilo linafahamika wazi. Ukiangalia wachezaji wa mpira kabla 2005 kurudi chini walikuwa na heshima, dhanifu sana kwasababu walikuwa wanachomekea jezi. Lakini baada ya 2005 FIFA walipoivunja sheria ya...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Madale Mwisho ni mbovu sana

    Tunaomba Serikali itusaidie Barabara ya Madale Mwisho kwenda Mbopo kupitia Mikoroshini, Barabara ni mbovu sana na usafiri wa huko ni Bodaboda tu, wanapandisha bei mara iwe shilingi 2,000 mara shilingi 1,500.
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

    Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima. Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu safi, nikazungusha macho huku na kule nione wapi nitakaa, sehemu ilikuwa imejaa kidogo, ila nikaona...
  19. National Anthem

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana Kwa Upendo na faraja

    .
  20. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mpangaji mwezangu anasema baba Umut unaringa sana

    Katika harakati zangu za hapa na pale za kusaka elimu, kuna mpangaji mmoja ni mke wa mtu kabisa leo kaamua kufunguka eti mimi naringa sana na mke wangu (mama umut) ni wakaida na mimi skutaka kumlazia damu kwasababu hapo awali sikua na mazoea na mpangaji yeye hapa nilipopanga zaidi ya salamu tu...
Back
Top Bottom