National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
.
Habari !
Natoa Shukrani Kwa wote Kwa faraja na ushirikiano ambazo nimeupata kutoka kwenu.
Kilicho fanya furaha yangu kukamilika katika maisha, kuja na kuondoka ( G & G ), imenitesa ila nimeikubali pia ili maisha mengine yaendelee.
Asanteni sana, siwezi taja majina ya mmoja mmoja ila nita mtaja huyu member Glenn kwasababu neno lake ambalo alinipatia leo mchana lilinitafakarisha (baada ya yeye kulitafakari pia Jana usiku) lime nifundisha kitu ambacho nilikuwa nimesahahu.
Usiku mwema na asanteni Kwa UPENDO
[/QUOTEPole ol]
Pole sana
Mtumishi.Pole sana kaka.
Jitahidi usilaumu, Mungu ni Mungu tu.
Kuna wakati tunaona baraka zinatujia lakini ghafla zinatoweka.
Unaweza kuhisi Mungu ni katili sana hasha.
Katika maumivu yako Mungu bado anakuwazi mema mengi kuliko unavyofikiri.
Mpe shemu pole sana, simama kiume ukawe mfariji wake mkuu na wa karibu sana.
Mtumishi mamaMtumishi.
Mungu awe faraja kwako na familia yakoHabari !
Natoa Shukrani Kwa wote Kwa faraja na ushirikiano ambazo nimeupata kutoka kwenu.
Kilicho fanya furaha yangu kukamilika katika maisha, kuja na kuondoka ( G & G ), imenitesa ila nimeikubali pia ili maisha mengine yaendelee.
Asanteni sana, siwezi taja majina ya mmoja mmoja ila nita mtaja huyu member Glenn kwasababu neno lake ambalo alinipatia leo mchana lilinitafakarisha (baada ya yeye kulitafakari pia Jana usiku) lime nifundisha kitu ambacho nilikuwa nimesahahu.
Usiku mwema na asanteni Kwa UPENDO
Mungu akuvushe salama katika kipindi hiki kigumu sanaHabari !