sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa na huu wimbo (Audio ) naomba auweke hapa, naukubali sana

    Golden tz - Lonely. Kama inavyoonekana hapo juu, Msanii anaitwa Golden tz na wimbo unaitwa Lonely. Frankly kwangu ni wimbo mkali sana Ila nimejaribu kuutafuta kwenye platforms mbalimbali sijafanikiwa kuupata. Kwa mara ya kwanza niliusikia Clouds FM siku kama mbili zilizopita kwenye kipindi...
  2. JamiiForums Tanzania Nyota ya Michael Jackson imezimika haraka sana baada ya kifo chake tofauti na 2pac, Bob Marley

    Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani. Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley. Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania ATCL mbona kama delays zimezidi sana

    Wiki hii kumekuwa na delays nyingi sana za ndege za ATCL.hii inasabibsha usumbufu sana sana. Ushari wa bure,kama una ticket ya ATCL,Saa ya kuondoka haina uhakika.Yaani ni kama treni ya kwenda kigoma hiv. Halafu communication ni poor hiv UPDATES. Tumetoka Dar leo saa 11:30 jioni kuelekea...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Familia zina siri kubwa, mwanasheria msibani: Mwanasheria kazua gunzo msibani akisoma mirathi, watu tulishangaa sana

    Kuna jirani yangu mmoja hapa alifariki mwaka jana. Yeye na mkewe wa ndoa wanawatoto 3. Mtaani tulikuwa tunajua wote hawa ni watoto wake wa kuwazaa kabisa. Hata marafiki zake walikuwa wanajua hivyo kabisa na watu wanaofanya kazi moja. Na ndugu wa mkewe na ndugu wa mume. Wote walikuwa wanajua...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana Elon Musk kuongoza tena kwa utajiri duniani

    Mzuka wanajamvi! Jamaa kwa kifupi simpendi. Kwanza ni mbaguzi, kiherehere, ana madharau, nyodo, majigambo na kujiinua. Anajiona yeye ni mungumtu. Tangu jana arudishwe tena kuwa tajiri namba moja duniani nimelia sana. Kwa nini freemason wamemrudisha? Nilikuwa naomba azidi kushuka tu zaidi na...
  6. JamiiForums Tanzania Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

    Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za mashindano, Ulaya hakuna upumbavu huu kwa level ya fainali. Sisi wananchi hatuna la kuwadai mashujaa...
  7. JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, vitabu ni chakula muhimu sana cha akili

    Sijasoma vitabu vingi sana, lakini alau nimevisoma soma kidogo. Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, nimeweza kusoma Vitabu vichache, vikubwa kwa vidogo, vinavyozidi mia nne. Nimeiona faida yake. Kuna faida sana. Ni CHAKULA muhimu sana cha akili, hakika!. Mara tu baada ya kuianza hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

    Signed Out
  9. JamiiForums Tanzania Nimeamini wake za watu wanaliwa sana misibani. Amini hili kwa 100%

    Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara. Majuzi nilihudhuria mazishi ya Mzee mmoja maarufu. Sasa tukiwa msibani kuna dada mmoja msukuma mweupe kapanda hewani na tako hilo. Katika harakati zangu nikafanikiwa kupata namba zake ambapo alinieleza kaolewa mkoa jirani na alikuwa kapewa ruhusa na mmewe...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kufikia 2030 tutahitajika kujenga minara ya viongozi hawa wawili ingawa tutafika tukiwa tumechoka sana

    Habari JF, Nchi kuanzia mwaka 2015 ilianza kupitia mabadiliko makubwa sana ya kimipango na kimiradi, madilikohaya yameletwa na watu wawili ambapo by 2030 kuna uwezekano mkubwa baadhi ya matatizo yakawa ni historia. 1. Hayati Magufuli ,alianzisha mipango/mifumo na miradi ambayo hata yeye...
  11. JamiiForums Tanzania Ninayetarajia kumuoa siku chache zijazo anawivu sana

    Nimetoka kutuma screenshot ya call history muda sio mrefu. Nilikua naongea na rafiki yangu mipango yetu, anapiga simu inatumika tu. Basi nilipomaliza namtafuta amekasirika akiamini nilikua naongea na mwanake mwingine. siku zilizopita alitaka simu yangu nikampatia, kwakua nilikua namuangalia...
  12. JamiiForums Tanzania Ila Kikwete alikuwa na dhambi sana

    Haiwezekani mwanadamu mwenye utu akanunua ambulence ya dizaini hii na kuzigawa vijijini, huu ni uuaji serikali ya awamu ya nne ilifanya. Mara 100 JPM aliyejenga zahanati, vituo vya afya na hospitali kila kona, akaboresha hospitali za kanda zote. Hizi ambulance za pikipiki ukipata dreva...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ajira za lecturers zinakua readvertised sana?

    Ni kwanini hizi ajira zinarudiwa kutangazwa inamaana watu wanaacha kazi au watu hawaapply?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini makabila ya watu yaliyompakani/ mikoa kwa Nchi yetu wengi wako vizuri sana kichwani, majasiri, watafutaji na wasioyumbishwa?

    Chunguza mikoa yote ya mipakani utapata majibu hayo, hata uje kwenye uongozi utaona utofauti wakishika watu hawa..
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akipata kura za kutosha 2025 itakuwa hatari, nawapa angalizo Mawaziri naona mnajisahau sana kumbukeni Lissu siyo Lowassa!

    Kiukweli 2015 mzee Lowassa alijipatia kura nyingi tu sema Mzee Mkapa alikuwa hatakagi Ujinga Sina hakika na Uwezo wa Tundu Lisu Kwenye kushawishi Wapiga kura ila tuombee tu apate ile ile 13% au pungufu Nawapa angalizo Mawaziri fanyeni Kazi ya kuonekana 2025 siyo mbali Jumaa kareem!
  16. JamiiForums Tanzania Waganga wa Kienyeji Mkoani Rukwa: Mkoa wa Rukwa tunaonewa sana huku hakuna Uchawi kama tunavyochafuliwa

    "Yaani ukisema tu unatokea Mkoa wa Rukwa unaanza Kuogopwa na kuhisiwa vibaya. Sisi kama Waganga wa Kienyeji tunasema Watu wa Rukwa siyo Wachawi na ni Watu Wastaarabu mno kuliko Mikoa mingine ambayo ndiyo ina Uchawi mwingi kuliko hapa Kwetu" amesema Mmoja wa Waganga wa Kienyeji aliyewawakilisha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania TUCTA kwa nini hamjamuunga mkono Ester Bulaya kwenye suala la Kikokotoo?

    Picha: Ester Bulaya Ninashangaa pamoja na baadhi ya wabunge kuwapigania wafanyakazi kuhusu kubadilisha kikokotoo kinachowanyonya wafanyakazi, Wakiongozwa na mbunge Ester Bulaya lakini viongozi wa TUCTA wamekaa kimya. Hiyo ndo dalili ya usaliti sio bure mtakuwa na maslahi fulani mnapata. Katibu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Sababu hizi zitatufanya ichukue muda sana kupata viongozi kama Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere

    Habari JF, Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa viongozi wawili watabaki kuwa bora kuwahi kutokea nchini mwetu. Kwa kifupi bado tunawahitaji lakini...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kwanini maamuzi mengi ya Viongozi (Serikali) yanapingwa sana na wananchi walio wengi?

    Ni kweli kuwa huwezi hufanya jambo la kuwafurahisha watu wote. Na si kila mtu atapendezwa na mambo uyafanyayo hata kama ni mazuri kiasi gani, Ila basi angalau mambo yaliyo mengi ufanyayo yapendezwe na walio wengi.! Mie nachukulia JF kama case study. Ukiachana na watu wachache sana ambao wao...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wanakera sana , wanachimba ovyo mitaro mtaani kutandaza mabomba yao pasipo ustaarabu

    Marndeleo yasiyo kuwa na mipango ni matumizi mabaya ya pesa! Kuna jamaa hawamalizi kuchimba mitaro mtaani, kila mwaka wana chimba chimbua hata vya maana havionekani! Wanatandaza mabomba yasiyotoa maji kila mwaka! Wananchi maeneo mengi dar hawana huduma bora za maji lakini sahivi kila sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…