sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jiji la Tanga watu wanalala sana

    Imagine sasa hivi ni saa 10 alfajiri, hakuna hata mishe mishe za bodaboda huko nje, yaani mji umetulia tuliii tofauti na mikoa mingine kama Dar, Arusha na Mwanza.
  2. JamiiForums Tanzania Kijana mwenye ndoto ya kujisomesha usiwe na haraka sana. Hiyo ada uliyojichanga izungushe kwenye biashara kwanza

    Mwaka 2015 nilipata Admission ya kwenda kusoma Masters kwenye ujasiriamali pale UDSM. Nilishapokea maelekezo yote ikabakia kulipa tu ada. Nilivyojicheki nikaona hadi wakati ule nilikuwa nina pesa ya kulipa ada na gharama zingine kwa mwaka mmoja tu. Hata kama Masters sio muda mrefu bado pesa...
  3. JamiiForums Tanzania FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

    Match Day Yanga SC vs Singida FG NBC Premier League Benjamin Mkapa Stadium [emoji2522] Time: 1815hours Updates... Saa 12:04 Jioni Hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa ni Shwari kabisa. Mashabiki wanazidi kuongezeka hapa. Mawingu mepesi mepesi yametanda Vikosi Vinavyoanza Saa...
  4. JamiiForums Tanzania Nyimbo ya Lil' Wayne "Mirror" ina ujumbe mkubwa sana

    Nipo hapa nasikiliza nyimbo ya mkali kutoka USA Lil Wayne inaitwa Mirror Hii nyimbo kaelezea kwa kutumia neno mirror akimaanisha kioo kuwa katika haya Maisha tunaishi huwa Kuna nyakati tunapitia ziwe nyakati nzuri au mbaya ila mtu pekee ambaye atasimama na wewe ni yule ambaye huwa ukijitazama...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa sana la kiufundi kumteua Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa

    Huenda ni kwa kutotathmini au kushauriwa vibaya kwa CCM kumpendekeza Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, hili litakigharimu kwa kiasi kikubwa sana. Hii ni nafasi ya kukisemea chama kwa wananchi na siyo kwenda kulazimisha baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali kufanya kazi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nashukuru sana JamiiForums imenipa mume

    Hello babies, Si mnakumbuka kuna siku nilikuja hapa like waaaoh, nikaleta story za kutafuta mume? You know babies basi bwana kwenye DM yangu ikamwagika weee meseji kibao zaidi ya mia mbili hivi you know. Basi akijtokeza mbaba mmoja hivi jina nalihifadhi, akanitumia meseji moja moja aisee...
  7. JamiiForums Tanzania TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Habari wana JF, Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha. Hii kitu...
  8. JamiiForums Tanzania Katika maisha yako usipende sana kuikimbizia GARI

    Wewe ni kama ndugu yangu wacha nikushauri kitu. Ndugu katika maisha yako ya kila siku USIPENDE sana kuikimbizia GARI, ukichelewa acha utakuja panda inginewe. Pia sio tu gari hata NDOA, hivi vitu sio vya kuvikimbizia kabisa ikitokea vimekuacha na wewe pia acha utakuja panda inginewe. Labda...
  9. JamiiForums Tanzania Falsafa na Maisha 101: Ni muhimu sana kuwafunza watoto wetu falsafa muhimu za maisha, la sivyo maisha yao duniani yatakuwa magumu sana

    Nimekuwa nikijaribu sana kuwasoma wanafalsafa wa miaka ya nyuma. Na kwasasa nikijiangalia kuna mengi sana yamebadilika kwenye maisha yangu, hususani kwenye maadili na kuwa na self control ya maisha yangu. Haya ni moja wapo ya mambo ambayo falsafa inazidi kunifundisha 1. Usiwe mtu wa kulalamika...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kuwa wapenzi wa muda mrefu na hadi kufunga ndoa ni kitu kinavutia sana

    Nakumbuka mwaka jana nilihudhuria harusi ya rafiki wangu (wa kike),asee was very impressed kwa kweli. Si unajua pale tena harusi za siku hizi wale maharusi wanachukua time ya kuelezea familia zao na kujuana ndugu wa pande zote. Basi kwenye maelezo yule jamaa akasema alikutana na huyu manzi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kijimstari chembamba sana kinachomtenganisha mwanamke anayevaa shanga kiunoni na tabia za umalaya

    Habari wakuu, Kuna observation nimekuwa naifanya, nimegundua wanawake wengi wanaovaa shanga kiuononi ni malaya waliokubuhu. Asanteni
  12. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa mpira ni watu wanafiki Sana,,..

    Walivyokuwa wanamprovoke Maguire pale United mambo yalipokua hayaendi sawa walijua ndio mwisho,Saivi gari limebadilika wanajisahaulisha.. Simba vs P.dynamo mashabiki walibeza Sub ya Bocco alivyofanya jambo wakashangilia. Aziz ki walimbeza Leo kafunga hat trick wanamuona mtu... Ilishamtokea...
  13. JamiiForums Tanzania App ya malipo ya Serikali mtandaoni ina shida kubwa sana, rekebisheni haraka

    Siku kadhaa zilipita nikiwa na piga story ndugu mmoja alisema alikuwa na faini polisi kwa makosa ya barabarani. Siku aliyotaka kulipa faini akakuta faini ile imeshalipwa. Akashukuru sana. Hivi karibuni nimelipa faini kwa hii app na matokeo yamekuwa nimelipa bill ya mtu mwingine hivyo nimeingia...
  14. JamiiForums Tanzania Najiskia kuwa mnyonge, na moyo wangu umebondeka sana. Eehh Mungu nitie nguvu

    Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu. Yes, naweza sema tumekuwa na amani sana kwenye familia yetu, ingawa tunaweza kukosa lakini hatupungukiwi. Nashkuru Mungu amenibariki familia yenye furaha na hakika najivunia kujiona mwenye bahati hii. Yes...
  15. JamiiForums Tanzania Kimataifa takwimu zinambeba sana Rais Samia. Awe makini ili kuwepo na consistence

    Ukisoma vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi hali inaonekana nzuri sana kwa Tanzania chini ya Rais Samia. Wawekezaji wanaonekana kuwa na imani nae sana na hadi wanapohojiwa na makampuni makubwa wanasema wazi wako tayari kuwekeza Tanzania zaidi ya maeneo mengine. Kwenye utalii nako si...
  16. JamiiForums Tanzania Al Ahly ya sasa imeshuka sana ubora, si ajabu hata USM Algier walijipigia. Yanga tunaenda kumchapa kwa Mkapa na kwake

    Niseme ya kwamba Yanga ina bahati na kupangiwa timu kubwa ambazo huwa zinapatwa na matatizo, walianza na Tp Mazembe na msimu huu ni Al Ahly Al Ahlu ya sasa ni timu nzuri ila kuna matatizo ndani ya timu, Kumekuwa na habari kwamba kuna migongano kwa upande wa strikers, Yani hats nafasi...
  17. JamiiForums Tanzania Wapalestina zaidi ya 5,000 wameuawa, hamna muda wa kuzikana, hatari sana

    Dah! ila kweli palikua na ulazima wa watu kufa hivi, HAMAS kweli hawana akili.... Every day in Gaza, the two biggest hopes are to stay alive and not receive word of another devastating loss. A Palestinian carries a child killed in Israeli bombardment in Deir el-Balah, the Gaza Strip, Monday...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Yanga ni bonge la timu naipenda sana

    Habari wana yanga wenzangu. Kweli yanga tunachukiwa sana,imejizihirisha leo sehemu nilipokuwa nacheki mechi ya yanga na lamba lamba mashabiko wa simba walikuwa wanatukana piga hao mbwa. Si ghafla azizi k akawafunga mdomo,wakakimbia banda kwa aibu,sasa simba kiko wapi? Yanga ni timu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Lema: Kuna Vijana walitaka kuiba Mwenge Arusha wakaukosa, nilisikitika sana

    Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa, Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru. Amesema kuna vijana Arusha walipanga kuuiba Mwenge huo ili kuutupa, lengo likiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wadogo zetu wa sasa wana ujasiri sana, sio waoga kabisa

    Niende moja kwa moja kwenda jambo la msingi. Ninayezungumza hapa pia ni kijana sio kwamba ni mtu mzima sanaa kivile, hapana. Naanza kwa kusema hili; ili kuondoa ile dhana ambayo kwa sasa inalalamikiwa na vijana wengi mitandaoni kwamba "Wazee" na "Watu wazima waliofanikiwa" wanawaonea vijana kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…