sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nilipofika Wilaya za Kishapu, Maswa, Meatu, Magu, Busega, Bunda, Tarime na Butiama nilishukuru sana kuishi Dar

    Hayo maeneo ni vijiji vya ajabu kabisa. Ni aibu kuiita miji. Yaani maisha ni duni na ya kale sana. Sikuwahi kujua kwamba Tanzania ina maeneo yapo nyuma kiasi hiki katika maendeleo. Baadhi ya sehemu unapita vumbi na unakuja kukutana na lami uchwara pale wanapoita katikati ya mji. Safari ya...
  2. JamiiForums Tanzania Sikiliza piano kali sana kutoka Ipinda, Kyela

  3. JamiiForums Tanzania Shukrani sana mabinti wa dsm....mnatujali pasi na shaka , mbususu mnatoa hata bila kigugumizi

    Yeah ni pasi na shaka , nyama utamu inatolewa inaliwa then inarudishwa. After sometime baada ya mzagamuoooo............. Viji notes vya baadae ni kama shukrani ya kisela tuuu. And not udangaji ****** Bahhhhhh log off
  4. JamiiForums Tanzania Naanza kuamini tetesi uwanja uliofanyiwa marekebisho umewakataa simba kiroho, ndumba kuu za simba zilifukuliwa na kuchomwa, tutaona mengi sana

    Na hakuna asiejua kwamba hizi timu mbili zote simba na yanga zina kamati maalum za wataalam wa mambo ya kiroho ila simba huwa inafanya wazi. Tetesi zilizopo ni kwamba katika marekebisho ya uwanja, Yanga walitumia mwanya huu kupenyeza wataalam kubaini na kuziondoa ndumba za Simba, magreda...
  5. JamiiForums Tanzania Dar ni mji wa ajabu sana, mtu anaweza vaa nguo/viatu hazijakauka lakini zika kauka akiwa amevaaa

    Walaaaaaahiii mtumeewww 5 moko , kimoko tuuu chaliii wanaumeeee tukapiga vitano vya afyaa boraaa hahhhahahhhgh Ebana heeeeeh ndo ikawa hivyo ...mvua hii people zinavaa nguo hazijakauka na life linasongaa kibabere Karibuni kwa makasiriko...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Rais Yoweri Museveni apuuzia kuhusu nchi yake kuondolewa kwenye mpango wa AGOA

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amepuuzilia mbali wasiwasi wake kuhusu kuondolewa kwa nchi yake katika mpango maalum wa kibiashara wa Marekani na Afrika,AGOA. Wiki iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden alisema Uganda na nchi nyingine tatu za Kiafrika zitaondolewa kwenye mkataba wa (Agoa), akitoa...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Chukueni hii ya Moto Moto kabisa. Inonga, Kapombe, Chama, Manula na Baleke miamala yao ilisoma mapema sana

    Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana. Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno nyie wachezaji kwa mlichokifanya. Halafu kabla GENTAMYCINE sijaja na Exclusives zingine Kubwa Mbili...
  8. JamiiForums Tanzania Wazungu wanaziponda sana hizi nyumba. Kumbe ndiko tulikojifunza kujenga "mapiramidi!"

    Kuna hizi nyumba wazungu/Wamarekani wanazichamba balaa. Utacheka wakianza kuzichamba. Wanaziita Mcmansions(Poor man mansions). Ni zile nyumba kubwa, zina manjonjo mengi na zaidi paa linachukuwa sehemu kubwa ya nyumba. Nimegundua hizi nyumba zetu za kisasa ni viMcmasnions vidogo. Ujenzi wetu...
  9. D

    JamiiForums Tanzania TV ya Azam Sasa rasmi kutangaza pombe hadharani

    KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500...
  10. JamiiForums Tanzania Huu msemo ni mzuri sana ingawa ni kama wa kihuni

    Maisha yanapoandamwa na shida za saikolojia ni shida. Misemo kama hii huweza kuibuka. Kwa sasa nautumia Mtaani kwangu naona nanuniwa. Nimeamua kudeal na kaz zangu tu. Kazini kwangu kuna maneno kupitia vyanzo si rasmi naona kuna maneno maneno juu yangu. Nimeamua kustick na Mungu na kazi...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha ya Luhaga Mpina mashakani sana. Anakoelekea siyo kuzuri

    Namuangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari. Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wa kutoka mataifa ya itikadi kali ni wa ovyo sana hata kama wako ugenini

    "when you are in rome, do what romans do" Unajua cha kushangaza kuhusu hawa jamaa ni misamamo yao. Msimamo wao mkuu huwa ni wazungu, wakristo na wayahudi ni jamii ya watu wasiofaa kabisa. Lakini cha ajabu ni kwamba wanapopata matatizo nchi zao hizi mahala pa kwanza pa kukimbulia huwa ni...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Netflix documentary ya The Backhams ina funzo kubwa sana ya ndoa za kisasa zinapaswa ziweje.. modern life ndoa inapaswa muendane sana

    Habari wadau Muda si mrefu nilikuwa natazama documentary ya familia ya beckham Netfilx inayokimbiza sana huko netflix nikajifunza vitu kuhusu ndoa za kisasa 1. Wanandoa mnapaswa mfanane.. yaani mwanamke awe female version ya huyo mwanaume and vice versa. Hii namaanisha mwenza anapaswa awe na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Simba Sc naiona ikishinda mapema sana kwa formation hii 4:3:3

    Kwa formation hiyo, Simba SC inaenda kuibuka na ushindi mapema sana. Nimejaza viungo Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute, na Mzamiru Yassin ili kuwazuia viungo wa Yanga na kuongeza mashambulizi kwenye lango la adui. Kanoute anasimama mbele ili kuzuia rafu anazoweza kufanya karibu na lango lake la...
  15. JamiiForums Tanzania Je, unajipenda wewe na ndugu zako? Usithubutu kufuga hizi jamii 25 za mbwa, ni HATARI SANA

    Fikiri mara mbili kabla hujaamua kufuga mbwa hawa nyumbani kwako. Airedale Terrier Airedale Terriers ni mbwa wanaopenda kujitegemea na kuwa huru. Ni mbwa wenye akili sana lakini ni wasumbufu mno. Mbwa hawa wanajulikana kama Mfalme wa Uharibifu. Airedale Terriers wanapenda sana kucheza...
  16. JamiiForums Tanzania Sina roho mbaya ila huu si wakati muafaka wa pensheni za Wenza wa Marais

    Sote tunajua nchi inamadeni mengi, miradi mingi tunayojipamba nayo kwamba tumetekeleza ni madeni ya kuja kulipa baadae na kiasi kidogo cha misaada, mikopo bado inatukimbiza kwa mbali dhidi ya mapato. Hivi ni wakati muafaka kweli wabunge kujadili sheria ya pensheni ya wenza wa Marais na mawaziri...
  17. JamiiForums Tanzania Tanesco acheni uzembe. Mmeanza jisahau sana kwa sasa. Hamuoni hii hatari?

    Mvua zinanyesha Dar. Huku kwetu Mikocheni hamkati umeme. Je hii si hatari? Kawaida huwa likitokea wingu tu mnakata umeme. Lakini nashangaa hadi inanyesha mkataji amezubaa tu. Je mmeanza kuzoea kazi? Acheni mambo hayo please. Kateni umeme huku Mikocheni hizi mvua haziendani na umeme.
  18. JamiiForums Tanzania Husna Sajent anachekesha sana, hivi anadhani skendo zake chafu tumezisahau au?

    Huyu mwanadada Husna Iddi (Sajent) ambaye ni muigizaji wa bongo muvi ambaye pia alishawahi kushiriki mashindano ya kimwana manywele na miss singida miaka hiyo ya 2000 anadhani watanzania niwasahaulifu au ni wajinga kiasi hicho 😂😂😂😂😂😂. Yani huyu dada alikuwa hakauki kwenye magazeti ya udaku...
  19. JamiiForums Tanzania Mvua inayoendea Dar ni hatari sana, wale waliokuwa wanawabeza TMA wapo?

    Moja kwa moja, Katika kipindi cha miaka 7 Dar sijawahi kushuhudia mvua kama iliyopiga siku mbili hizi haswa ya leo ndio bab kubwa sehemu nyingi maji yamejaa sana. Tukirudi nyuma wakati tahadhari zinatolewa na TMA wabongo wengi mitandaoni na mitaani walikuwa wanabeza sana na wengine kuleta...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanume mwenye hizi sifa ndo anatafutwa kwa tochi hapatikani

    Wanawake haijalishi awe kicheche au awe wife materials Hawa wote jicho lao moyo na nafsi wanaomba kwa Mungu na Shetani ili wampate mwanume mwenye vigezo hivi Mpole ambaye haongei Sana Msafi wa Mwili roho na Matendo Mwenye haiba ya uanaume (masculinite ) Mwenye Akili za kujiongoza yeye na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…