Uganda: Rais Yoweri Museveni apuuzia kuhusu nchi yake kuondolewa kwenye mpango wa AGOA

Jul 6, 2022
71
71
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amepuuzilia mbali wasiwasi wake kuhusu kuondolewa kwa nchi yake katika mpango maalum wa kibiashara wa Marekani na Afrika,AGOA.

Wiki iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden alisema Uganda na nchi nyingine tatu za Kiafrika zitaondolewa kwenye mkataba wa (Agoa), akitoa mfano wa Uganda kama "ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu zinazotambuliwa kimataifa".

Lakini Rais Museveni siku ya Jumapili aliikosoa Marekani, akisema "wanajiona bora kupita kiasi" na "kimakosa wanafikiri kwamba nchi za Afrika haziwezi kusonga mbele bila uungwaji mkono wao".
"Kama Uganda inavyohusika, tuna uwezo wa kufikia malengo yetu ya ukuaji na mabadiliko, hata kama baadhi ya wahusika hawatuungi mkono," aliongeza.

Marekani ndiyo ya hivi punde kuchukua hatua dhidi ya Uganda, ambayo mwezi Mei ilipitisha sheria tata ya kupinga mapenzi ya jinsia moja ambayo inajumuisha hukumu ya kifo kwa baadhi ya vitendo vya mapenzi ya jinsia moja.

Sheria hiyo iliifanya Benki ya Dunia kuondoa ufadhili wa Uganda. Alisema kuwa Uganda bado inaweza kujiendeleza bila msaada wa benki hiyo.

Bw Museveni, hata hivyo, alipongeza Serikali ya Marekani kwa kudumisha ufadhili wa dawa za VVU, lakini akaongeza kuwa Serikali yake ina mpango wa dharura wa kupata dawa hizo ikiwa wafadhili wa kigeni watajiondoa.
 
Kwani anaeumia ni Museveni? 🤪🤪🤪🤪

Hii ni sawa ni kipindi kile Jiwe anagombana na Kenya huku maparachichi na mahindi ya wakulima waliopitwa Wanyonge yanaoza 😁😁😁😁

Mtu Kwa utashi wake aamue kuwa shoga mwenyewe harafu tuumie ambao haituhusu, upumbavu
 
Mkuu ebu kaa mbali na viongozi wanaotokana na mambo ya kisiasa. Ukiona mseven amekaa hapo kwa zaidi ya miaka 30 bila Mmarekani kumuandama kuwa ni dikteta basi ujue ni mtu wao anaejifanya eti ana ugomvi nao.

Adui wa kweli wa Marekani alikuwa Idi Amin, Omary Bashiru, Robert Mugabe, Fildel Castrol, Sadam Husein, Ghadafi na wengine wengi ambao leo kutoka na uadui huo hatunao tena duniani na wengine wamepinduliwa na kufungwa jela.

Museven ni aina ya kina Kagame wanaojifanya kuwakalipia wazungu mitandaoni ili kujizolea kura kwa wananchi wao, alaf baadae wanawapigia sim kuwaambia kuwa waliongea vile kwa lengo la kuwadanganya raia wao ili wachaguliwe katika chaguzi mbali mbali na kuendelea kuwa mapupet wa wazungu daima.
 
Ukiona unalazimishwa jambo na wamagharibi ujue ni jambo ovu, unavyoapa kua rais wa nchi unaapa kuilinda na kuitetea katiba kwa gharama yeyote ile, mbona hawawalazimishi Saud Arabia au Oman
 
Nani anakulazimisha? Tanzania Kuna mashoga au hawapo?
 
Kwani anaeumia ni Museveni? 🤪🤪🤪🤪

Hii ni sawa ni kipindi kile Jiwe anagombana na Kenya huku maparachichi na mahindi ya wakulima waliopitwa Wanyonge yanaoza 😁😁😁😁

Mtu Kwa utashi wake aamue kuwa shoga mwenyewe harafu tuumie ambao haituhusu, upumbavu
Ni Bora kukemea kuliko kukaaa kimya
 
Mkuu ebu kaa mbali na viongozi wanaotokana na mambo ya kisiasa. Ukiona mseven amekaa hapo kwa zaidi ya miaka 30 bila Mmarekani kumuandama kuwa ni dikteta basi ujue ni mtu wao anaejifanya eti ana ugomvi nao.

Adui wa kweli wa Marekani alikuwa Idi Amin, Omary Bashiru, Robert Mugabe, Fildel Castrol, Sadam Husein, Ghadafi na wengine wengi ambao leo kutoka na uadui huo hatunao tena duniani na wengine wamepinduliwa na kufungwa jela.

Museven ni aina ya kina Kagame wanaojifanya kuwakalipia wazungu mitandaoni ili kujizolea kura kwa wananchi wao, alaf baadae wanawapigia sim kuwaambia kuwa waliongea vile kwa lengo la kuwadanganya raia wao ili wachaguliwe katika chaguzi mbali mbali na kuendelea kuwa mapupet wa wazungu daima.
Nabisha ilo Mzee mwezang anagalia izo nchi ulizataja wakuu wa jeshi ni na nan wote wameweka watoto zao MUSEVEN anadili na rusia katika biashara zake ambae adui mkubwa wa Amerika
 
Ukiona unalazimishwa jambo na wamagharibi ujue ni jambo ovu, unavyoapa kua rais wa nchi unaapa kuilinda na kuitetea katiba kwa gharama yeyote ile, mbona hawawalazimishi Saud Arabia au Oman
Tena uko uarabun ugusi na kupigwa mawe unapigwa Iran mpk leo mtoto wa kike usivae juba tu Cha moto utakiona
 
Mkuu ebu kaa mbali na viongozi wanaotokana na mambo ya kisiasa. Ukiona mseven amekaa hapo kwa zaidi ya miaka 30 bila Mmarekani kumuandama kuwa ni dikteta basi ujue ni mtu wao anaejifanya eti ana ugomvi nao.

Adui wa kweli wa Marekani alikuwa Idi Amin, Omary Bashiru, Robert Mugabe, Fildel Castrol, Sadam Husein, Ghadafi na wengine wengi ambao leo kutoka na uadui huo hatunao tena duniani na wengine wamepinduliwa na kufungwa jela.

Museven ni aina ya kina Kagame wanaojifanya kuwakalipia wazungu mitandaoni ili kujizolea kura kwa wananchi wao, alaf baadae wanawapigia sim kuwaambia kuwa waliongea vile kwa lengo la kuwadanganya raia wao ili wachaguliwe katika chaguzi mbali mbali na kuendelea kuwa mapupet wa wazungu daima.
Hata Robert Mugabe alikuwa mtu wao. Akajifanya mjuaji wakamshughulikia. Kaa ukijua, maskini hana uchaguzi. Ni kufanya unachoambiwa au uachwe ufe.
 
Mkuu ebu kaa mbali na viongozi wanaotokana na mambo ya kisiasa. Ukiona mseven amekaa hapo kwa zaidi ya miaka 30 bila Mmarekani kumuandama kuwa ni dikteta basi ujue ni mtu wao anaejifanya eti ana ugomvi nao.

Adui wa kweli wa Marekani alikuwa Idi Amin, Omary Bashiru, Robert Mugabe, Fildel Castrol, Sadam Husein, Ghadafi na wengine wengi ambao leo kutoka na uadui huo hatunao tena duniani na wengine wamepinduliwa na kufungwa jela.

Museven ni aina ya kina Kagame wanaojifanya kuwakalipia wazungu mitandaoni ili kujizolea kura kwa wananchi wao, alaf baadae wanawapigia sim kuwaambia kuwa waliongea vile kwa lengo la kuwadanganya raia wao ili wachaguliwe katika chaguzi mbali mbali na kuendelea kuwa mapupet wa wazungu daima.
Kwani Africa huwa tunamuweka mtu kwa kura?
 
Back
Top Bottom