sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KASHFA kubwa ya usalama wa Israel hawa Mossad kumbe hamna kitu sinema zimetudanganya sana.

    Wanaukumbi. KASHFA kubwa ya usalama wa Israeli: Mwisraeli aitwaye Roi Yifrah, tapeli, aliyeigiza kama mpiganaji wa IOF kutoka kitengo cha Yamam na aliingia Ukanda wa Gaza. Katika kukaa kwake kwa miezi 1,5, aliiba vifaa vya kupigana, silaha, vifaa n.k. Pia alijifanya kuwa mwanachama wa Shin...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana. Anaweza akakupenda pasi na kukupatia zawadi ya ngono

    Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maana huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni, huniulizia na kunisifia sana kwa marafiki zake, pia marafiki zangu. Vijizawadi vidogo vidogo vya...
  3. JamiiForums Tanzania Refa wa Kombe la Mapinduzi kanichekesha sana!

    Nilikuwa nacheki highlights za mechi ya Singida na JKU kwenye Kombe la Mapinduzi. Kuna goli la Singida lilikataliwa wakazua mzozo na Refa. Refa kumaliza soo akamlima mchezaji wa Singida Hamad Waziri kadi ya njano huku anamrushia matusi. Inaonyesha kuna maneno ya kuudhi ambayo Waziri alimtamkia...
  4. JamiiForums Tanzania Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

    Habari zenu 🖐 Naomba niwasimulie story fupi iliyotokea kipindi flani cha nyuma. Kuna siku flani tulikuwa tumekaa na washkaji na baadhi ya mademu bac tunapiga story, jamaa mmoja baada ya kuona mademu akaanza sifa za kuji-mwambafy, bac yule jamaa nikamtuliza vizur tuu kwa upendo, bhana acha...
  5. JamiiForums Tanzania Yaani naandika kwa uchungu sana kuhusu hawa zuku, najuta hata kulipia kifurushi cha mwezi huu

    Yaani ni kama nimetapeliwa, leo ni siku ya sita naomba kuhamishiwa huduma kwenye jengo jipya ila hayo majibu ninayopewa we acha tu Huku huduma sipati, na huku siku zinakataaa na simu hawapokei na wakipokea hiyo shombo sasa Najuuuutaaa kuwajua zuku
  6. JamiiForums Tanzania AI ina vituko sana. Ndio nini sasa hiki?

    Eti?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umetukosea sana Watanzania, tunajihisi aibu mbele ya walimwengu

    Bandugu, Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi aibu hata kama chawa watakuja kutetea utalii na Kubidhaisha lugha ya Kiswahili duniani. None sense...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wanaomkosoa sana Samia sasa hivi ndio watakaomkumbuka siku Mwigulu au Makonda ndio Rais wa Tanzania

    Tanzania ina matatizo mengi, na Samia anastahili lawama kwa baadhi ya matatizo yanayoikabiki Tanzania kwa sasa kama hili la mgao wa umeme n.k Lakini kama wewe unaamini kama mimi kuwa maendeleo ya watu yanapaswa kuendana na uhuru, umoja na mshikamano wa taifa yafaa tukumbuke tulikotoka na ku...
  9. JamiiForums Tanzania Choice variable ni mnafiki sana. Mazuri yote ya awamu ya 5 utakuta Rais Samia anaingizwa na kusifiwa lkn mabaya eti hakushiriki

    Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia Mfano eti unamsifia...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna mahali watu wanaishi kwa kuigiza na kutolea stress zao kama JamiiForums

    Ukifungua nyuzi nyingi huku jamiiforums utashangaa sana kwenye section ya comment kila mtu ana-vimba mfano kama mtu amekuja kuomba msaada utastaajabu watu wanavyotoa majibu ya hovyo sana na yasiyojali utu. Jamiiforums ni sehemu ya watu kutolea stress zao, ni kawaida sana jamiiforums mtu kuanza...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

    Anne Rwigara wa Rwanda amefariki dunia huku Mamake Anne alinukuliwa akisema kifo cha bintiye kilikuwa "fumbo" kwani hakuwa mgonjwa. Vyanzo kadhaa vinashiriki maelezo ya kuhuzunisha ya kifo chake, vikidai kwamba baada ya masaa nane ya kulalamika kuhusu maumivu ya tumbo, viungo vingi vya mwili...
  12. JamiiForums Tanzania DINI zimetugawa sana; Ikitokea Africa tukatawaliwa tena, basi tutasema ni mpango wa MUNGU

    Namsikiliza jamaa alikuwa anaongea kuhusu Afrika. Alisema kabisa dini zimetugawa pakubwa lakini ikatokea Afrika tukatawaliwa kama karne ile ya 15 basi miongoni mwetu, tena 80% watasema ni mapenzi ya Mungu. Unapitia shida.... MAPENZI YA MUNGU Unanyanyasika.... MAPENZI YA MUNGU Unateseka...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi , Kaka, Dada wafundisheni Mabinti zenu na Wadogo zenu wa kike kucheza na Biological Clock zao. Mimba zinawatesa sana wanawake kupatikana

    ukweli mchungu changamoto za uzazi ni kubwa sana nowdays. sababu kuu mabinti wanachelewa kuolewa. mwanamke wa miaka 30 mimba haipati kwa urahisi kama mwanamke wa miaka 25 ama mwanamke wa miaka 18 30 yrs is a prime for women mental maturity but not for carrying and birthing a human. WAGANGA...
  14. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally semaji la Simba linavutia sana linavyoongea na zile mbwembwe

    Kusema ukweli uongeaji wa semaji unavutia sana hasa anavyokazia maneno na ile tone yake pamoja na maneno na vikorombwezo kibao anavyomix wakati wa uongeaji. Na kinachochekesha zaidi na kufurahisha ni ule u seriousness wake wakati anaongea. Hakika semaji tunakukubali.
  15. JamiiForums Tanzania Wekeni akiba ya maneno. Miaka 100 ijayo mawazo yenu yatachekwa sana

    Wanajamii, Leo nafanya kuwakumbusha tu, siku hazigandi huku mbeleni miaka mia ijao kizazi cha wakati huo kitakuwa na fikra tofauti sana na zetu. Hivyo basi nyie watu ambao akili zenu mmezifanya mgando, hazishauriki na kubadilika ili kwenda na wakati. mtachekwa sana. Maana kwa wakati huo history...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Usiku umekuwa mgumu sana

    Wakuu habari. Kama nilivyowasanua, jana kuwa nimeanza pep within 72 hrs, aisee usiku wa leo nimeota ndoto za ajabu sana. Nimeamka hapa mwili mzima una nuka pep TLD. Aiseee kama pep ikiisha nikapima nikawa negative mm na ngono itakuwa ni maji na moto nimekoma.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nimejisikia uchungu sana nyimbo za taifa zilipopigwa wakati mechi kati Kili Stars vs Zanz Heroes inaanza

    Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi. Nimejiuliza kwamba: 1. Kumbe haya ni mataifa 2 tofauti? Kila moja lina katiba yake, wimbo wake, jeshi lake na rais wake? 2. Kwahiyo hivi Sasa Tanganyika inaongozwa na raia wa kigeni?? Hilo swali la 2 ndiyo limeniumiza zaidi.
  18. H

    JamiiForums Tanzania TITUS AMIGU: NI MTEGO MBAYA SANA

    Kutoka kwa Pd. Titus Amigu: NI MTEGO MBAYA MNO Katika suala la baraka mgogoro ni kwamba mashoga na wasagaji ni WANAHARAKATI (ACTIVISTS). Ndiyo maana watakuja kanisani kuomba baraka wakijitambulisha. Wanapigania kutambuliwa kisheria, kijamii na kikanisa (kidini). Kwao kuwapa baraka maana yake...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati na wapinzani mbona kama washamba sana, hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda?

    Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu...
  20. JamiiForums Tanzania Sitaki kuandika sana lakini ninyi wadau mtasema

    Watoto wa shule wenye umri wa miaka13-17wanapakiwa kwenye gari na kupelekwa shamba kwa nakubaliana ya malipo ya7000 kutwa baada ya kazi ya kupanda.Je hii ni dawa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…