samsung

  1. JamiiForums Tanzania NIPO DUBAI ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช โ€” Unaweza Kuagiza iPhone, Samsung, Google Pixel na Electronics Nyingine GENUINE.

    ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช NIPO DUBAI! NAKULETEA SIMU NA ELECTRONICS DAR ES SALAAM KWA UAMINIFU SAMSUNG GALAXY USED Galaxy S10 128GB โ€” TSh 180,000 Galaxy S10+ 128GB โ€” TSh 200,000 Galaxy S20 128GB โ€” TSh 230,000 Galaxy S20+ 128GB โ€” TSh 270,000 Galaxy S20 Ultra 128GB โ€” TSh 300,000 Galaxy S21 128GB โ€” TSh 250,000...
  2. JamiiForums Tanzania Jihadhari kununua hizi Samsung kwa mwaka huu 2026

    ๐Ÿ”ฅ Kabla hujaamua kwenda kununua simu za Samsung used, save hii post na tuma kwa mtu anayepanga kununua simu! Sio kila Samsung yenye jina la Galaxy bado ni simu nzuri ๐Ÿ˜ณ. Baadhi ya simu za zamani zimefika mwisho wa updates na security support. โŒ Galaxy S22 Series kilichobakia ni security...
  3. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐˜๐—ผ๐˜€

    Samsung imeamua kumchagua Google Photos badala ya onedrive ๐Ÿ‘‹. Samsung imeanza kuruhusu kutumia Google Photos kama backup moja kwa moja ndani ya Samsung Gallery, hatua inayokuja baada ya Samsung kuachana na mfumo wa OneDrive kwa Gallery. ๐Ÿ‘€ Sasa unaweza kuhifadhi picha na video zako kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Battery ya Samsung s22

    Habari wazee wa tech? Kama kichwa cha news kinavyosema. Nahitaji battery ya Samsung s22. Hii niliyonayo nadhani inakwenda kufa. Inapoteza chaji haraka sana. wapi naweza kupata na inauzwaje? Shukrani sana
  5. JamiiForums Tanzania Ukitumia Simu Hizi 7 Utatupa Hiyo Iphone, Pixel au Samsung Yako

    UZI โ€ฆ. Wakati naanza kazi ya kuuza simu mwaka 2021 , kuna kitu kilinishangaza kidogo โ€ฆ Wabongo wengi wakija dukani walikuwa wanaulizia sana Samsung , Iphones , Pixel , Tecno , Infinix lakini hali hii ilikuwa tofauti kwa wageni โ€ฆ. Kivipi ?โ€ฆ. Idadi kubwa ya Wachina n Wahindi sana sana na...
  6. JamiiForums Tanzania Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania. Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones . Je...
  7. JamiiForums Tanzania Kumbe Mfumo wa app lock muanzilishi ni Infinix sio Samsung

    Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ?? Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Android Smartphones: Nazipenda sana Samsung lakini nalazimika kuichagua Pixel sababu ya kamera kali na size ndogo ya kuenea kirahisi kiganjani.

    N:B: Simu ndogo zisizozidi 6.3' (Mifano Pixel 9, 10, 11 Pro na Samsung plain S 24, 25, 26) Mfano Pixel 9 Pro, 10 Pro na 11 Pro zimenivutia sana kwa sababu zina size ndogo ya 6.3" ambayo ni rahisi kushika mkononi, lakini zaidi ya hapo zinakuja na camera kali sana ๐Ÿ“ธ๐Ÿ”ฅ. Ukilinganisha na S25 na S26...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Roho imeniuma Sana, unahangaika kuhonga Mwanamke wewe unatumia Samsung yeye anatumia iPhone 16 promax

    Imeniuma sana. Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe.. Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi. Leo ndio nagundua...
  10. W

    JamiiForums Tanzania MASTERCLASS: Jinsi ya Kutumia Samsung Modes & Routines Kuimarisha Ulinzi wa Simu Yako

    Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo, au kile unachofanya. Wazo kuu la kipengele hiki linategemea "Kama (If) ... Basi (Then)": Modes &...
  11. JamiiForums Tanzania Anayetumia Samsung oxygen anijuze tafadhali!?

    Najua hapa jukwaani ni kila kitu,naomba kujuzwa kuhusu uimara wa hizi simu ""Samsung Oxygen ""na ubora wake!
  12. JamiiForums Tanzania List ya Samsung zitakazo pokea mfumo mpya na ratiba kamili

    Watumiaji wa Galaxy, jiandaeni! Samsung inaendelea na mpango wa kuleta Android 17 kupitia One UI 9, na simu nyingi za Galaxy zitaingia kwenye orodha ya kupata mfumo huu mpya. ๐Ÿคฏ Kama unatumia Galaxy, hizi ni baadhi ya simu zinazotarajiwa kupata Android 17, kwa mpangilio wa awamu: MEIโ€“JUNI 2026...
  13. JamiiForums Tanzania Nimenunua Samsung galaxy S21+ 5G

    Wadau habar ya jioni. Leo nimenunua simu tajwa hapo juu. Nombeni mwenye uzoefu aweze kunmbia ubira na changamoto ya hii simu
  14. JamiiForums Tanzania Product Type: Samsung 32-inch LED TV (Series 4, e.g., UA32J4003). Key Specs: 1366 x 768 resolution, Dolby Digital Plus, 2 HDMI ports, 1 USB port.

    Product Type: Samsung 32-inch LED TV (Series 4, e.g., UA32J4003). Key Specs: 1366 x 768 resolution, Dolby Digital Plus, 2 HDMI ports, 1 USB port. Status: Used like Newโ€ฆ.imetumika kama mpya. Charger: AC/DC Adapter Bei: 250,000/= Location: Chanika! Simu: 0716161683
  15. JamiiForums Tanzania Camera failed error Samsung S25

    Wakuu kwema? Wale wazoefu simu yangu ya Samsung aina ya S25 muda mwingi inaniambia camera failed hivyo haioperate chochote na baada y masaa mengi kupita hurudi na kuoperate normaly walau kwa muda mchache nimejaribu kufuata njia mbalibmali za online kusolve tatizo lakini bado lipo naomba...
  16. JamiiForums Tanzania LG Oled vs Samsung Neo Qled. Ipi nzuri zaidi?

    Wakuu naomba mnisaidie ushauri nataka kununua TV inch 55 ya kudumu nayo muda mrefu. Sasa kati ya LG Oled android processor vs Samsung Neo Qled android processor. Ipi itanifaa zaidi na reasons kama itawezekana. Asante
  17. X

    JamiiForums Tanzania China yaingia rasmi soko la memory chip (DDR5) na gaming GPU. Samsung, SKhynix, Nvidia, Micron na AMD tumbo joto

    Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani. Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata. Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
  18. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Samsung yaacha kuuza vifaa vyake vyote vya kielektroniki vya nyumbani nchini China

    Kampuni ya Samsung hivi karibuni ilitangaza kuwa itaacha kuuza vifaa vyake vyote vinavyotumika nyumbani nchini China. Chapa ya Samsung ilikuwa alama ya vifaa vya kielektroniki vya nyumbani vya hali ya juu na vyenye ubora wa juu zaidi, lakini sasa imeshindwa kabisa na kampuni za ndani za China...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa oppo a3x inazidi Samsung a16 ubora wa picha why

    Aya nipeni maneno nje ya mada pia kwanini Samsung nyingi karibu zote picha zake mbovu zinapauka mno s23 picha insonekana vizuri ila rangi mbaya
  20. R

    JamiiForums Tanzania Dua Lipa ashtaki Samsung $15M kwa kutumia picha zake kwenye Maboksi ya TV

    Staa wa muziki wa Pop duniani, Dua Lipa, ameishtaki kampuni ya Samsung akidai fidia ya dola milioni 15 (takriban shilingi bilioni 40 za Kitanzania), akituhumu kampuni hiyo kutumia picha yake kwenye maboksi ya TV huko nchini Marekani bila ridhaa yake. Katika kesi hiyo iliyofunguliwa kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ