Nimenunua Samsung galaxy S21+ 5G

Nimenunua Samsung galaxy S21+ 5G

simu ya miaka 5 nyuma...boss
used from dubai au kwenye box mpya..
sidhani kama ni brand new ya toleo la.kwanza maana miaka 5
 
Umenunua au ndio unataka kwenda kununua? Maana kwa namna umeandika ni sawa na kusema ,"Nimeoa mwanamke wa kabila fulani je,ni mwanamke sahihi?" Utasaidikaje na umeshaweka ndani hiyo mali.
 
Back
Top Bottom