samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waliomchagua Samia tiketi ya Umakamu wa Magufuli na Uraisi ni wakina nani ?

    Waliomchagua Samia tiketi ya Umakamu wa Magufuli na Uraisi ni wakina nani ? Walizingatia vitu gani toka kwa huyu mtu ?
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia imefulia? Imeanza kujibebea fedha za Wananchi zilizopo Benki. Eti inataifisha

    Serikali imesema kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026 imetaifisha mali mbalimbali zilizopatikana kwa njia ya uhalifu. Mali hizo ni pamoja na fedha taslimu TZS bilioni 2.9, dola za Marekani 903,875, hati fungani tatu zilizopo Benki Kuu zenye thamani ya TZS milioni 490, nyumba na viwanja 46, magari...
  3. JamiiForums Tanzania Samia: Hakuna aliye juu ya Sheria zetu, atakayevunja sheria atashughulikiwa

    Samia anasema kuwa Tanzania ipo vizuri katika kufuata misingi ya haki za binadamu kwa muda mrefu huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria. Mama huyo ameyasema hayo wakati wa kufungua mkutano mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali Arusha,Tanzania.
  4. JamiiForums Tanzania Samia: Vijana wanamezeshwa sumu kuchukia Serikali

    Samia amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao. Samia ameyasema hayo leo Julai 13, 2026, wakati akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali pamoja na Wakuu wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia na Lawama za "Mkono wa Nje": Kwanini Mchawi wa Maendeleo Yetu Yupo Ndani ya Mifumo Yetu

    Utangulizi Katika ulingo wa siasa za kimataifa na diplomasia ya kiuchumi, maneno ya viongozi wakuu wa nchi hubeba uzito mkubwa sana. Hivi karibuni, kumeibuka mjadala mpana nchini unaochochewa na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika hotuba hiyo, Rais...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kutumia "Mama Samia" kila mahali inachosha.

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema matumizi ya jina 'Mama Samia' katika kila sekta haileti picha nzuri badala yake yatumike pia majina ya watu wengine waliofanya vizuri nchini.
  7. JamiiForums Tanzania Samia: Vijana wanamezeshwa sumu kuichukia Serikali.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao. Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 13, 2026, wakati akizungumza katika...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu

    Rais Samia anasema kuwa "Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu"
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwalaghai na kuwalisha Sumu Vijana ili wahujumu Uchumi wa Nchi zao

  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Ultimatum ya siku 30 ndio mtihani mkubwa kwa Samia.

    Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri. Anatakiwa achague moja, 1. kumwachia Lissu au 2. kuendelea kumshikilia. Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki...
  12. JamiiForums Tanzania Jaribu kujiweka katika nafasi ya Samuya, ungefanyaje kutuliza upepo?

    Mama wa watu amefanya kila mbinu kutuliza hali ya hasira Kwa watu lakini imeshindikana 1.Kombo amezurula kote Duniani ila wazungu hawamwelewi 2. Kujaribu kuteka, kuuwa na kubambikia watu kesi tena, hii inawapa watu hasira. 3. Kutumia bunge fake, Gen Z wanapuuza 4. Njama za Madelu kutumia...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nani kati ya Samia na mfumo mfu anayetawala Tanzania?

    Alipoapishwa kuwa rais kutokana na ajali ya kufiwa mtangulizi wake, rais Samia aliahidi mambo mengi mazuri. Alimuita Tundu Lissu na kuongea naye mambo mazuri. Alianza kujitenganisha na utawala wake na Magufuli. Alianza kutofautiana na mfumo. Muda haukupita, mara Samia wa matumaini akaanza kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania tunaridhishwa na utawala wa rais samia

    Wakuu napendekeza mabadiliko ya katiba yatayo mfanya mama yetu kipenzi atawale milele Amefanya mengi sana mazuri
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia usihangaike na maridhiano, hawa hawakutaki tu kwa sababu zao

    Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike. Maridhiano nao...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi hii ni kweli? Kwamba rais Samia alishuhudia live akizomewa na mashabiki wa bongofleva.

    Kwamba alitaka kuongea na na Mwana FA na mashabiki wakagoma na kuzomea huku anaangalia laivu.👇
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye akili tu, jaribu kufikiria baada ya MwanaFA kuzomewa Dk. Samia na machawa wake hali zao zikoje in terms of mental fitness

    Kama habari ilivyo hapo juu, je mmejaribu kuwaza na kuwazua kuwa hali ya Samia na machawa wake ikoje baada ya waziri wake wa mchongo kuzomewa pale daresalama.
  18. JamiiForums Tanzania Samia anataka MARIDHIANO ya Wakwe na Wakwe ndio maana hata mifano yake utamsikia 'Nyie wanangu', huwezi kuua Watu alafu utafute Suluhu nyepesiii

    Yaaan Maelefu ya Vijana wameuwawa Oktoba 29 . Lissu yupo Gerezani. Unaibananga CHADEMA . Utekaji, Mauaji ya wakosoaji . Alafu kirahisi kabisaa kabisaa, Samia anasema 'Marudhiani sio Udhaifu ', Tulidhiane wenyewe, Haina haja ya Kutoka Nje kutafuta msaada. Yaan as if zile Roho za Oktoba 29...
  19. JamiiForums Tanzania Kipekee sana Rais Samia anaweka alama nyingine ya maendeleo nchini kwa ujenzi wa shule 103 za Amali

    Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii. Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii...
  20. JamiiForums Tanzania Samia muachie Tundu Lissu

    Yaan unaweka akina babu tale Bungeni unemfumga Lissu huu ni upuuzi Likitokea jambo tusianze kufufua nyuzi achia Lissu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…