Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 784
- 696
15 Septemba 2023 — Mtwara
Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alizindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, iliyopo Mikindani, Mkoani Mtwara. Hospitali hiyo ililenga kuongeza upatikanaji wa huduma za matibabu ya kibingwa kwa wananchi wa Mtwara, Lindi na Ruvuma.
Katika hafla hiyo, Rais Samia pia:
Alikagua vyumba na vifaa vya hospitali.
Alizungumza na watumishi wa afya kuhusu utoaji wa huduma bora.
Alipanda mti kama ishara ya kumbukumbu baada ya uzinduzi.
Baadaye siku hiyo alihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara.