samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Dkt. Nchimbi: Rais Samia anaungwa Mkono na wana CCM wote

    #HABARI: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia uwezo mkubwa wa kiuongozi, anaouonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka 3 ya uongozi wake...
  2. Heparin

    Waziri Ndumbaro kama kweli wewe ni Mzalendo, kataza Nguo za Rais Samia uwanjani, amuru mabango ya kumtukuza Rais Samia na CCM yasikanyage uwanjani

    Waziri Ndumbaro ni msomi mkubwa wa Sheria, walau kwa kurejea historia ya elimu yake bila kujali uhalisia wa mambo anayofanya. Kwamba Waziri Ndumbaro hajui kuwa FIFA hairuhusu serikali kuingilia masuala ya mpira wa miguu? na tangu lini uzalendo unalazimishwa? Ni kukosa ubunifu wa kuendeleza...
  3. Greatest Of All Time

    Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo. Yapi maoni yako?
  4. I

    Mambo makubwa aliyofanya Rais Samia kwenye sekta ya kilimo

    Kwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970. Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani 20,402,014 na kufikisha asilimia 124 ya kiwango cha utoshelevu wa chakula. Ameipatia wakala wa...
  5. M

    Toa maoni yako hapa tuwafanyeje waliotaka Rais Samia asikabidhiwe nchi

    WanaJF, Yaliyosemwa na retired CDF kuhusu matukio yaliyotokea muda mchache kabla ya Magufuli kufariki miaka 3 iliyopita tumeyasikia. Baadhi ya matukio ni kikundi fulani kutaka katiba isisimamiwe. Aliyekuwa CDF akakataa Matukio haya yanasikitisha lakini tukiyanyamazia yanaleta precedence...
  6. Suley2019

    Mzee Kikwete: Rais Samia ametuliza nchi na kuvutia Uwekezaji

    Wakati kukiwa na mitazamo mbalimbali juu ya Rais Samia Suluhu Hassan na utendaji wake kazi, Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete anasema imekuwa ni miaka mitatu ya kutengeneza utulivu wa nchi ambao umefanikisha kuvutia wawekezaji katika sekta mbalimbali. Mzee kikwete anasema: Hata wafanyabiashara...
  7. D

    Rasmi Samia amegoma kutoka kwenye vinywa vya watu

    Rais huyu kiboko kila Kona anaongelewa yeye tu as if Marais wengine hawajawahi kufanya chochote na ni kama nchi imepata uhuru juzi tu. Hivi Samia amefanya nini kuteka nyoyo za Watanzania?
  8. D

    Hongera Rais Samia kutimiza miaka 3 kwa mafanikio makubwa na kuwazidi Marais wote waliokutangulia

    Hongera sana mama kizuri Huwa kinajiuza. Tanzania sasa ni namba moja duniani kwa furaha ya watu wake Demokrasia nchini imepanuka hata kila mtu anatukana lakini hakuna anayemkamata Sekta Binafsi imekua na pesa mtaani zimejaa. Ajira kila Kona zimejaa
  9. I

    MUHTASARI WA MAMBO MAKUBWA ALIYOFANYA RAIS SAMIA KWENYE SEKTA YA KILIMO

    ● Kwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970. ● Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani 20,402,014 na kufikisha asilimia 124 ya kiwango cha utoshelevu wa chakula. ● Ameipatia wakala wa...
  10. Stephano Mgendanyi

    Waziri Kairuki Amshukuru Rais Samia kwa Maono Makubwa Kwenye Uhifadhi na Utalii

    WAZIRI KAIRUKI, DKT. ABBASI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MAONO MAKUBWA KWENYE UHIFADHI NA UTALII Ikiwa leo ni miaka mitatu tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Katibu Mkuu wa...
  11. John Haramba

    Mapambano dhidi ya Rushwa katika Miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia

    Rushwa ni tatizo la Kidunia lenye madhara makubwa kwa mtu, jamii, nchi na mataifa kwa ujumla. Rushwa imetumika kupoka haki za watu kwa kumnyang’anya haki yeye aliyeistahili na kumpa yule asiyeistahili kwa sababu mwenye jukumu la kutoa haki amepokea hongo au kaahidiwa kupewa hongo ili apindishe...
  12. Suley2019

    Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC)

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) akichukua nafasi ya Ephraim Mafuru ambaye siku tatu zilizopita aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB). Kabla ya...
  13. K

    Mjadala Alioanzisha Diamond Plutinum Kuwa Rais Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania ni Mhimu ukatiliwa Maanani

    Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania. Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo; 1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania, 2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora...
  14. figganigga

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani. Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa...
  15. tpaul

    Tusikatae chakula tu, tuikatae pia misaada na mikopo ya fedha kutoka kwa wazungu

    Mchezo wa kukataa mchele kutoka Marekani ni zaidi ya mchezo maarufu wa kombolela unaochezwa na watoto. Mchezo wa kitoto haukeshi. Sote tunafahamu kuwa msaada ni kitu kinachotolewa kwa hisani (goodwill) bila mpokeaji kuhitaji kumpa masharti mtoaji. Taarifa za Bashe (Waziri wa Kilimo) kuukataa...
  16. Roving Journalist

    Dkt. Doto Biteko: Rais Samia anaenzi maono ya Hayati Magufuli kwa vitendo ikiwemo kutekeleza Miradi mikubwa

    Maono ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John P. Magufuli katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya Kitaifa kama Ujenzi wa Bwawa la Nyerere, Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), Ujenzi wa barabara na madaraja makubwa kama vile Daraja la Kigongo - Busisi yametekelezwa na yanaendelea...
  17. Allen Kilewella

    Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

    Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake. Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima...
  18. BARD AI

    Rais Samia atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa TTB na NCAA

    UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, ametengua Uteuzi wa Richard Rwanyakaato Kiiza, aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Pia, Rais amemteua Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma. Kabla ya Uteuzi, Mmuya alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara...
  19. BARD AI

    Rais Samia atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa TTB na NCAA

    UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, ametengua Uteuzi wa Richard Rwanyakaato Kiiza, aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Pia, Rais amemteua Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma. Kabla ya Uteuzi, Mmuya alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara...
Back
Top Bottom