samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania UJUMBE WA SHUKRANI KUTOKA KWA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ajabu: Samia kaanza kuongea na Wanahabari wakati hajamaliza Eda! 🤔

    Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia...
  3. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tumseme vibaya Magufuli kwa yote na mimi sijawahi kua mufuasi wake ila ukweli ni kua Magufuli hakua anaupenda sana Urais kama Samia

    Magufuli alikua na mabaya yake, Naomba hilo niweke kumbukumbu sawa, ila Magufuli hakuwahi deal na mtu anaeonyesha kuutaka urais mara nyingi alinukuliwa akisema Urais amepewa dhamana ngumu na kazi kubwa sana hii ilionyesha kile kitu hakua na tamaa nacho hata kidogo,..na ilionyesha alikua...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Pole zinaenda kwa Samia peke yake, Je, Wake wenza hawajafiwa? Ubaguzi umezidi hadi msibani

    Nimeona taasisi za Serikali zinatoa Pole kwa mke mdogo wa Hafidh tu. Je, Mke wa Kwanza ni kwamba hajafiwa au? Kufa au kifiwa hakina cheo. Taasisi zingesema pole kwa Wajane, Watoto na Familia ya Hafidh Hassan. Lakini haya ya kumpa pole Mzanzibari Samia Suluhu Hassan pekee ni pole za kinafiki...
  5. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Mwamposa - Samia - Kapola… Naandika, nafuta!

    Hata sijui kwanini siwezi andika kilicho kichwani mwangu vema. Au basi tu 👇🏽
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia: Kutoka kufungulia vyombo vya habari hadi udhibiti mkali

    Mjadala kuhusu uhuru wa habari nchini Tanzania umeingia katika sura nyingine baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, kusema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyerejesha uhuru wa habari baada ya kuingia madarakani Machi 19, 2021, huku akilituhumu gazeti la...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Asaini Kitabu cha Maombolezo Malkia Elizabeth II

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 9 Septemba 2022 — Kusaini Kitabu cha Maombolezo cha Malkia Elizabeth II Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, katika Makazi ya Balozi wa Uingereza, Oysterbay, Dar es Salaam. Malkia Elizabeth II...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Rais Samia Elimu ya Juu Walipa!

    Uwekezaji wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika elimu ya juu walipa. ■Wanaodahiliwa vyuo vikuu waongezeka zaidi ya mara one ■Alikuta wadahiliwa 51,489 leo nafasi zimefika 227,000 ■Ni wakati uwekezaji mkubwa kihistoria ukiendelea mikoani
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wasanii wamfariji Rais Samia baada ya msiba

    Wasanii mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Ndayishimiye amfariji Rais Samia Kizimkazi

    Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye, Rais wa Jamhuri ya Burundi akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia kukaa mapumziko ya Eda siku 90

    Kumekuwepo na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa ni taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi. Picha hiyo inadai kuwa, kufuatia msiba wa mume wake, Mzee Hafidh Ameir Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahirisha...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Viongozi wamfariji Rais Samia Kizimkazi

    Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, eda ya Samia kuzua mgogoro wa kikatiba?

    Bila shaka huu ni mjadala wa kikatiba zaidi na wala sio mjadala wa kiitifaki. Je, katiba inatoa masharti gani na urefu gani kuhusu likizo za Rais? Je, katiba inasemaje juu ya eda ya Rais? Lakini kwa nini Urais wakaimishwe watu wawili badala ya mmoja kama inavyotaka katiba kuwa huyo...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afarijiwa na Mwamposa, Kapola

    Mtume Boniface Mwamposa pamoja na Mchungaji Tony Kapola wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kaseya amfariji Rais Samia baada ya msiba

    Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Afrika CDC) Dkt. Jean Kaseya akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia...
  16. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Eda ni nini? Je, Rais Samia kuendelea kuongoza akiwa eda?

    Kifo cha Hafidh Ameir, mume wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kimeibua maswali kuhusu kipindi ambacho mwanamke Mwislamu huingia baada ya kufiwa na mume wake. Kipindi hicho kinachojulikana kama eda kina masharti gani, huchukua muda gani na kinatofautianaje na maombolezo ya kawaida? Soma...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Samia, Mamlaka ya Mwanamke na Somo kwa Taifa

    Tumtazame Rais Samia kama jaribio la Taifa letu kujifunza kitu ambacho hatukuwa tumekifanyia mazoezi kabla yake - Jinsi ya kumruhusu mwanamke kuwa na mamlaka. Kuna mjadala unaoendelea ambao, ukiuangalia kwa juu, unaonekana kama mjadala wa dini lakini ukiuchambua vizuri, ni mjadala mkubwa zaidi...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Asimikwa Mkuu wa Machifu Tanzania

    • 8,Septemba 2021 — Rais Dr. Samia Suluhu Hassan Asimikwa kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania ▪︎ Tarehe 8 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alisimikwa kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania katika Tamasha la Utamaduni lililofanyika Kisesa, Magu, Mwanza. ▪︎ Katika tukio hilo, Machifu walimtawaza...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje siku Samia akiingia JF asome watu wanavyomchukulia?

    Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini. Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo. Maoni ya...
  20. F

    JamiiForums Tanzania KwelI Mungu siku hizi anatumia mitandao ya kijamii kwa alichomfanyia Samia

    Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
Back
Top Bottom