Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 919
- 794
LEO KATIKA KUMBUKUMBU
📌 17 Septemba 2024 — Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi
Tarehe 17 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Amiri Jeshi Mkuu, alihudhuria na kuongoza hafla ya kuhitimisha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, yaliyofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi, Kilimanjaro.
-Pia alifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania.
Katika hotuba yake, Rais Samia alizungumzia miongoni mwa mambo mengine:
-umuhimu wa amani na usalama nchini;
-utekelezaji wa Falsafa ya 4R;
-wajibu wa Jeshi la Polisi katika kulinda Katiba na sheria;
-umuhimu wa utaifa na Utanzania katika kudumisha umoja wa Taifa.