samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Matovu Godfrey

    GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

    Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju. Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake kwa hivyo...
  2. M

    GE2025 Mamlaka za maji kudaiwa kubambikia wateja bills imeanza kitambo, kwanini Samia achukizwe kipindi cha uchaguzi?

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akimnadi Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ndiye Rais wa Tanzania, ameelezea kuwa anasikitishwa na tabia ya baadhi ya mamlaka za maji kubambikia wananchi bili kubwa zisizo na uhalisia. Najiuliza kwanini hatua za msingi hazikuchukuliwa mapema...
  3. Carlos The Jackal

    Wanajeshi mnaoungana na Wananchi, Hakikisheni Nchi inakombolewa, Duru zimethibitisha, Samia akifanikiwa Mtafanyiwa Persecution ambayo haijawahi tokea

    Wakuu Hawa wahuni wako serious sana sana !!. Sasa Kuna Taarifa za kuthibitika , ni kwamba Genge la Akina Samia limeamua mambo yafuatayo Kwanza, Wahakikishe iwe ni Kwa Jasho ,Damu Samia aapishwe. Pili, Baada ya Uhapisho wake, KUTAFUFANYIKA PERSECUTION DHIDI YA WANAJESHI WOTE AMBAO...
  4. The Father of All

    Tanzania bila Samia ingekuwaje?

    Najaribu kuwaza hali ambavyo ingekuwa kama tungekuwa na rais mwingine na siyo huyu rahis wa sasa.
  5. JF Summary

    GE2025 "I am the Commander-in-Chief" - Samia Warns Against Election Day Protests, Urges Tanzanians to Focus on Voting

    Tanzania's presidential candidate under the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Samia Suluhu Hassan, has warned citizens against holding demonstrations on October 29, 2025, the day of the General Election, urging them instead to go out and vote peacefully.. Speaking at a campaign rally at...
  6. Matovu Godfrey

    Hesabu chini - zimebaki siku 10! kufika Oktoba 29

    !!! MIKAKATI YA KUPELEKA NA UTAWALA!!! _______________________ JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 Wapo baadhi ya viongozi mashuhuri kwa mfano wabunge wanaojifanya upinzani ambao wanaweza kutumika kuwanyamazisha wapiga filimbi, au mstari wa mbele wa mapambano. Siku zote...
  7. R

    Rais Samia jifunze kitu kutokana na kifo cha Raila Odinga

    Angalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila! Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote. TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja! Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
  8. Mhaya

    GE2025 Samia anashindana na nani kwenye Urais?

    Eti wadao mimi sijaona mgombea mwingine wa Urais akifanya Kampeni, Je nauliza Samia anashindana na nani? Au watu Millioni 60 nchi nzima hakuna mtu anayeweza kuchuana na Samia. Maana kuanzia kwenye vikao vya CCM Samia hakupata mshindani, tumekuja kwenye Kampeni bado hatuoni mshindani wake...
  9. Agent-47

    GE2025 Tumshukuru Samia kwa kutuvusha mpaka hapa, lakini tumwambie ukweli: Viatu havimtoshi

    Kwa ustaarabu kabisa, tunamshukuru mama kutufikisha hapa baada ya taifa kupata msiba na mripuko wa gonjwa la COVID19. Tunamshukuru, pamoja na kuwa uongozi wake umegubikwa na kashfa nyingi za rushwa na ukiukwaji mkubwa wa haki z binadamu. Tunamshukuru, amefanya alivoweza na miaka hii minne...
  10. Pascal Mayalla

    Election Predictions: Unaweza usiamini, Kura za ACT Wazalendo kwa Urais wa JMT, ni kwa Samia, Mgombea wa Urais wa CCM!.

    Wanabodi Mimi ni Mzee wa trends and analysis, trends and analysis ya kwanza ya uchaguzi huu ni hii Thread 'Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!' PreGE2025 - Mwana JF, Be The First to...
  11. Abuu Ibraahiym Sibomana

    Rais Samia atuma salamu za pole kufuatia kifo cha Odinga

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa rais wa Kenya ,familia ya Odinga na wananchi wa Kenya kufuatia kifo cha waziri mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga. Kupitia taarifa ambayo rais Samia ameiweka kwenye mitandao ya kijamii...
  12. technically

    GE2025 Angella Kizigha ni nani kwenye kampeni za Samia?

    Huyu ni Nani anafanya logistics zote kuliko hata TISS? Je usalama wa taifa mmebariki ili?
  13. sanalii

    Kigogo wa X (Twitter) ni kielelezo tosha kuwa walikuwa wakimhujumu Hayati Magufuli, sasa wako pamoja na Samia

    Huyu bwana alikua akitoa siri nzito nzito za serikali, watu tulidhan ni mpenda haki, lakini kumbe ni kikundi cha wahuni kilichokatiwa mirija yao ya ulaji. Baada ya Magufuli kufariki, akawa rasmi mpiga kampeni na mapambio wa Samia, hakuna tena kutoa siri za serikali wala kutetea wananchi...
  14. covid 19

    Namuonea huruma sana Samia ameamua kukaa upande wa walaghai na wanafiki, watamgeuka soon tu baada ya uchaguzi

    Habari za muda wakuu.. Sioni Mama Samia akiwa na amani tena katika majukumu yake baada ya uchaguzi. Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max. Soon baada ya pilika za uchaguzi kuisha na akishaapizwa na wabunge wakiapishwa ndio ataanza kuona rangi zao halisi watamruka hadharani...
  15. W

    GE2025 Wenje: Rais Samia alitekeleza mapendekezo ya CHADEMA lakini bado wakasusia uchaguzi

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema Rais Samia Suluhu alitekeleza mapendekezo yaliyotolewa na CHADEMA, lakini bado chama kikasusia uchaguzi. Pia Soma GE2025 - Wenje: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni hofu ya kushindwa GE2025 -...
  16. Matovu Godfrey

    Hesabu chini - zimebaki siku 14! kufika Oktoba 29

    JE, UKO TAYARI Dokezo! Kwa kawaida, madikteta mara nyingi huathiriwa na kuungwa mkono na viongozi wenzao wabaya kutoka ndani ya eneo hilo, majirani na baadhi ya wageni ambao wanaweza kulazimika kulinda uporaji, maslahi au faida. Hawajali wananchi, watafanya kila aina ya uonevu dhidi ya wazawa...
  17. Matovu Godfrey

    GE2025 OKTOBA 29 tunatoka

    INUKA TANZANIA! 🇹🇿 AMKA TANZANIA! TANZANIA HURU! SAMIA LAZIMA AENDE! ACHA UTEKAJI MIMI MTANZANIA! POLE POLE BURE! TUNDU LISU BURE! HAKUNA MAREKEBISHO HAKUNA UCHAGUZI! #Oktoba29Tunatoka 📍 Watanzania lazima wainuke na kupigania uhuru wao, dhuluma lazima iishe 💪🏿
  18. sanalii

    Samia ameutia aibu sana umma wa Kiislam Tanzania.

    Uongozi chini ya waislam ulisifika kwa utulivu na upole, watu waliamin nchi rais akiwa muislam inakuwa tulivu, ukijumlisha na yeye kwenda kumuangalia Tundu Lissu Nairobi, basi watu walifurahi sana na alipokea sifa kedekede. Kumbe ni vile hakuwa na power, sasa amepata power, ameharibu sifa zote...
  19. sanalii

    GE2025 Ukatili wa Samia: Kama wanaosukumana tu kwenye kampeni anataka polisi wawashughulikie, wanaomkosoa je?

    Yani suala la kusema tu hapo mbele msisukumane, anaona suluhisho ni police. Yaani Samia ana kiburi kikali sana kilichochanganyika na unafiki, akiongea utadhani mwema, yaani anahisi kuwa yeye ni mtu special sana, and nothing come close to her. Si ajabu aliechoma picha yake haonekani. Mungu nipe...
  20. The Father of All

    Je, Abdul Samia na Ridhiwani Kikwete ni ndugu?

    Kichwa cha habari kinajieleza na kujitosheleza. Karibu tutafakari pamoja kujibu swali hapo juu.
Back
Top Bottom