Rais Samia: Kazi, Uadilifu na Ustawi wa Taifa

Rais Samia: Kazi, Uadilifu na Ustawi wa Taifa

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
919
Reaction score
794
MEI MOSI 2026📌

💡Rais amesema: “Ni wajibu wetu sote kushirikiana, kuaminiana na kutanguliza maslahi ya Taifa. Tuendelee kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na weledi ili kujenga uchumi imara na ustawi wa jamii yetu.” Serikali ipo na inawasikiliza wafanyakazi.

đź’ˇKwa kuwawezesha vijana, Rais Dkt. Samia ametangaza kutolewa kwa Shilingi Bilioni 200 kama dhamana na mitaji kwa kampuni changa za vijana. Fedha hizi zitawasaidia vijana kuanzisha biashara, kuajiri wengine na kuunda fursa mpya za kazi.

20260502_100559.jpg
 
Tupo pamoja na Mh. Rais mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom