samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    GE2025 Majaliwa: Rais Dkt. Samia yupo tayari kufanya mambo makubwa kwa wenye ulemavu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kukuza ustawi wa jamii hiyo kwa kuwawezesha kushiriki katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Amesema hayo Oktoba 11, 2025 wakati wa hafla ya kupokea...
  2. Dalton elijah

    SI KWELI Masanja Mkandamizaji: Mama Samia malizia Code kwa Gwajima

    Kwa Sasa Kuna Chapisho Linalo Sambaa Kwenye Mtandao wa Kijamii Ususani Facebook Ikionesha Ukurasa wa Massanja Mkandamizaji ukitoa Pongezi Kwa Samia suluhu Hassan kumuweza Polepole. Je Taarifa Hiyo ina Usahihi Kiasi Gani.
  3. B

    POTOSHI Salome Makamba asema waliotaka kushindana na Rais Samia wameishia kutekwa

    Wakuu nimekutana na hii video lakini ni kama kilichoandikwa ni tofauti na kinachozungumzwa.
  4. tonicimmobility

    GE2025 Biteko: Samia ni msikivu, atawapa Katiba mpya

    "Mgombea wetu umetufundisha mengi na umethibitisha kwamba utu kwako ni kipaumbele na pia kazi ndiyo msingi wa maendeleo kwamba hata kama tutakaa kama Taifa tukazungumza mambo mengi tutakavyo kama hatufanyi kazi maendeleo ni ndoto na maendeleo yoyote hayawezi kutokea kama hakuna utu...
  5. tonicimmobility

    GE2025 Samia: Kibati kikipasuka, oktoba 29 tuko nao

    Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewatoa hofu Watanzania kwamba, wasiogope kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025, kwamba yeye ni Amiri Jeshi Mkuu wa nchi na kibati kikipasuka wako nao. Dk. Samia ametoa kauli hiyo leo Oktoba 10, 2025, katika mkutano wa kampeni...
  6. The Father of All

    Wanaojua uhusiano wa Kikwete na Samia watusaidie kabla ya kujadili wake na Daudi Albert Bashite

    Kichwa cha habari kinajieleza. Tanzania kuna wato wawili ambao kwa rais Samia siyo wana ushawishi mkubwa bali ni maalum ambao ni Jakaya Mrisho Kikwete na Daudi Albert Bashite. Kwa wanaojua undani wa wandani hawa watujulishe lau tujue kwa sababu rais ni public figure.
  7. L

    GE2025 Dkt Samia: Wasiwatishe kwenda Kupiga Kura ,Tumejipanga Kuwalinda

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ametoa kauli nzito na yenye kuleta furaha na tabasamu kwa...
  8. Kurunzi

    GE2025 Samia: Mkichagua Mbunge wa Upinzani hamtaona Maendeleo

    Samia Suluhu awauzia uoga Watanzania:"Mkichagua Mbunge wa upinzani, hamtaona maendeleo sababu mimi siwezi kuongea na wabunge wa upinzani. Chagua Wabunge wa Chama changu ndio mufanyiwe maendeleo"
  9. DuaZaMama

    GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara...
  10. figganigga

    Huku Samia kule Mwenge, Barabara hazipitiki

    Leo Mbeya imesimama tokea asubuhi Kazi hazifanyiki. Mnasimamishwa masaa manne kupisha mwenge na haupiti. Mara upishane na Malori yanaenda kwa Samia kwenye mikutano yake. Mnasimamishwa masaa matatu. Mwenge sijui utaondoka lini Mikoani. Kipindi hiki Nashauri upelekwe Zanzibar ambapo hakuna...
  11. Penguinelli Cactussini

    GE2025 Ni kweli kwamba Tar 29-10 watu watatoka kweli?

    Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule? Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru? Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma? Enyi watu wazima ambao mliona...
  12. Shammy-

    GE2025 Rais Samia anaonesha ukomavu wa kisiasa kwa mivutano ya kisiasa inayoendelea

    Katika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua utawala, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha mfano...
  13. K

    Bashiru Ally na Samia nao wapo njia hiyo hiyo ya Magufuli

    Bashiru Ally na Samia nao wapo njia hiyo hiyo ya Magu> Ni matambiko hayo. Wote walio kuwa kwenye uongozi wa Magufuli na walihusika kunyanyasa watu kwa njia yeyote wataondoka. Sasa wanaofuatilia ni Polepole, Bashiru, Makonda na Mama Samia wote wataondoka miaka michache ijayo kwa mazingira...
  14. The Father of All

    GE2025 Wachungaji wanaosema Samia katumwa na Mungu wajifunze toka kwa Gwajima

    Tanzania ina utajiri wa matepeli waitwao wachungaji wakati ni wachunaji. Mfano tapelii Jose Gwajimmy alijisahau. Aliamua kulala kitanda kimoja na mafisi na mafisadi akiwa amejivisha ngozi ya kondoo ili awararue kondoo kwa kisingizio cha kuwachunga. Alilishwa akanenepa hadi kukufuru. Ule muungu...
  15. sanalii

    Kama Serikali imeshindwa kujua anayeteka na kuua raia, maana yake imeshindwa kulinda Raia, iachie watakaoweza

    Ni simple logic, Samia ndio anaongoza serikali, vyombo vya usalama vinawajibika kulinda mipaka, raia na mali zao. Kama raia wanatekwa na kuuawa, na mwenye mamlaka yeye hahusiki na huo utekaji, lakini pia 1. Hajui watekaji ni kina nani 2. Huwezi kuzuia utekaji. Maana yake ameshindwa uongozi i.e...
  16. H

    Kila utekaji ni afande Mafwele, hivi ndugu wa waathirika wameshindwa kushughulika naye hata kwa radi?

    Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake. Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza? Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe...
  17. DuaZaMama

    GE2025 Samia: Yaliyoanzishwa na Magufuli Mwanza nimeyakamilisha

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewashukuru wananchi wa Misungwi kwa kujitokeza kwa wingi katika mkutano wake wa kampeni leo Jumanne, Oktoba 7, 2025, akisema mwitikio mkubwa ni ishara ya imani kwa chama na viongozi...
  18. The Father of All

    Kutekwa Polepole, Chama chao, kimya. Serikali, yao! Kunani? Kwanini mtufanya tuanze kubunia wakati mnaweza kujitokeza na kujibu

    Kikwete yuko kimya. Rostam yuko kimya! Samia kadhalika. Tunajua. Hawa ndiyo waliokamata na kuikamua nchi mbali na kuielekeza pabaya. Chama chao, kimya. Serikali, yao! Kunani? Kwanini mtufanya tuanze kubunia wakati mnaweza kujitokeza na kujibu. Wahusika, chonde chonde, jitokezeni mtuepushe na...
  19. Abraham Lincolnn

    Nina uhakika 100% hata ikitokea Samia akalazimisha kuingia ikulu, hatokamilisha miaka mitano

    Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread. TUTAKUWEPO
  20. technically

    GE2025 Samia yupo wapi?

    Samia yupo wapi na yu Hali gani? Kampeni zimesitishwa? Hakuna uchaguzi mwaka huu Bila reform tuliwaambia mkashupaza shingo Tuendelee kuwepo!!
Back
Top Bottom