samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Abraham Lincolnn

    Nina uhakika 100% hata ikitokea Samia akalazimisha kuingia ikulu, hatokamilisha miaka mitano

    Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread. TUTAKUWEPO
  2. technically

    GE2025 Samia yupo wapi?

    Samia yupo wapi na yu Hali gani? Kampeni zimesitishwa? Hakuna uchaguzi mwaka huu Bila reform tuliwaambia mkashupaza shingo Tuendelee kuwepo!!
  3. Beira Boy

    Mama Samia fanya haya kujiokoa

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ukiwa unahutubia watu jiangushe chini puuu kama mzigo wa Kuni, Kisha muite mkuu wa majeshi mwambie siwezi tena kuendelea kuongoza maana hali yangu kiafya ni mbaya sana Kwanini ufanye hivyo? Ili uwakwepe hawa wana mtandao ambao wanataka...
  4. Carlos The Jackal

    Kwahiyo Mzee Butiku , Kwa Maoni yako unayohisi yana Busara, nini Hatima ya Watanzania kuanzia 2026 ikiwa Samia ataendelea?.

    Nini Hatima ya Waliotekwa na Kufungwa na kuuwawa?. Nini Hatima ya Vyama vya siasa hasa CHADEMA ? Ni Hatima ya Tundu LISSU ?. Nini Hatima ya Walio, wanao na watakaoendelea kuikosoa Serikali Kwa namna mbovu inavyoendesha Nchi?. Nini Hatima ya Wazalendo ambao wanahitaji kuhakikisha...
  5. Idugunde

    Je, ni kweli watu wameuchukia utawala wa rais Samia kiasi cha kuombea mapinduzi?

    Watu wengi wanaamini kuwa yule ni Kapteni wa JWTZ. Alichokisema kwa ujumla ndio malalamiko ya watu kila siku mitaani. Ufisadi, famiilia za wanaCCM wachache kuiba na kutafuna mali za umma. Je, ni kweli watanzania wanahitaji mapinduzi ya kijeshi?
  6. The Burning Spear

    Siku zaja Samia atakuja kujuta kumsikiliza Kikwete

    GT Ulafi wa madaraka hujawahi kumwacha mtu salama japo kwa sasa samia naye anajilmbikizia mali ipo siku atakuja kulia peke yake. Kumsikiliza kikwete lilikuwa ni jambo na uamuzi wa hovyo sana nyakati kama hizi. Kikwete ni FAILURE aliyepitwa na wakati samia na kikwete wanaenda kuangamia kwa...
  7. sanalii

    Samia afundishwe kivitendo kuwa Katiba sio "kijitabu" Bali ni " Likitabu likubwa"

    Hiki alichoita " Kijitabu" Ndio kilichomuweka pale, sasa kwakuwa sasa anajiona yeye ni mkubwa kuliko katiba, basi agundishwe kivitendo maana na ukubwa wa Katiba. Yawezekana ndio maana hata uongozi hauwezi maana hana msingi unaomuongoza (Katiba) hivyo afundishe kwa " Vitendo"
  8. M

    We politely remind you, Samia usiendelee na Uchaguzi

    Samia itakuwa aibu kwetu na kwako, kama wananchi au askari wako wakikutoa kama mwizi. Kwa heshima, watu wako watakufikishia hizi karibuni kutakuwa na majibizano ya Risasi kama CCM itaacha kuwasikiliza Wananchi na sisi wenye masikio marefu. Tarehe 29, Polisi na Askari wa JWTZ hawatatii amri...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wanu: Mimi ni mwanafunzi wa Rais samia wasiwe na wasi wasi, atakavyotiki kwake na kwangu wakatiki

    “Nimewasikia watani wetu katika mkutano wako kuwa wao hawana shida na Rais Samia lakini wanashida na mimi, niwatoe hofu kuwa mimi ni mwanafunzi wa Dkt Samia kama watakavyotiki kwake na kwangu wakatiki nikawaonyesha maaana ya uongozi” alisema Wanu ambae ni mtoto wa Rais Samia na Mgombea Ubunge...
  10. I

    Rai kwa Abdul, mtoto wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu

    Ndugu wajumbe. Nimekaa nikifikiria namna mambo yanavyoenda, nikafikia hitimisho kwamba Mtu pekee kwa sasa anayeweza kuikoa hii nchi na kumuokoa Mh. Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan ni Mtoto wake aitwaye Abdul. Hivyo nimemwandikia Rai Mh Abdul, aliye karibu naye tafadhali naomba amfikishie rai...
  11. L

    Rais Samia Akoshwa Na Mapokezi Ya Maelfu ya Wana Manyara. Aahidi Kuwatumikia Kwa Uaminifu na Weledi wa Hali ya Juu.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amekoshwa...
  12. ngara23

    Rais Mstaafu Kikwete Anampotosha Samia: Wakati Wake Alisimamia Demokrasia, Ajira na Kuepusha Mauaji

    Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya 1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni 2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki. Watu...
  13. Waufukweni

    GE2025 Mwenyekiti wa TAS Mollel: Tunaomba Rais Samia aongezewe muda

    Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), Godson Mollel, amemsifu mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa namna alivyowajali watu wenye ulemavu katika kipindi cha karibu miaka mitano akiwa madarakani...
  14. Carlos The Jackal

    Baada ya Kupigwa Marufuku na Mtoto wa Nyerere , Genge la Samia wamekimbilia Mgongo wa Chifu Japheti !Hamna mtoto wa Nyerere alokosoa Maamuzi ya Andrew

    Wakuu ama kweli Mtoto wa Nyerere Andrew Nyerere amekua kuyakomesha haya matapeli , manyonyaji , madhulumati ya Haki za Watu na Mafujaji ya Rasilimali za Nchi !!. Mpaka Sasa Hamna Mtoto wa Nyerere ambaye ametoka hadharani kupinga au kukosoa maamuzi ya Kaka Yao Mkubwa Andrew Nyerere juu ya...
  15. Chizi Maarifa

    Samia anatuchanganya. Kaamua tena kugombea na Ubunge?

    Aiseee... Nadhani anafikiria sana kuwa yeye ni Mbunge na hilo ndo angalau anaona ni saizi yake.
  16. Mashamba Makubwa Nalima

    GE2025 Zimebakia wiki chache watu wanaomsifia Samia wabadilike na kusema "chama chetu hakikumchagua, alijiteua mwenyewe". Tupo hapa

    Machawa hayanaga msimamo na week kadhaa zijazo watamgeuka kiongozi wao ambaye wanamsifia sasa hivi. Tuko hapa. Utakutana sana na " Ujue yule hutukumchagua, alijiteua mwenyewe" nyingi sana. Ghafla na wao wataanza kuchukia ufisadi na kuchukia utekaji. Tuko hapa
  17. Perry

    Hivi ni kwa nini Rais Samia hakupata mafunzo ya jkt kama walivyopata watu wa umri wake?

    Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake walifanya mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi. Ilikuaje huyu mtu yeye akakwepa kwenda jkt halafu leo tumuite ni mzalendo na mpambanaji?
  18. sanalii

    Kwanini Samia mnamuita "Mama" ?

    1. Mama ambae baba mzee Kibao anakufa anasema kifo ni kifo 2. Mama ambae mtoto Mdude amechukukuliwa kikatili na kuvuja damu, wajukuu wanaachwa yatima, yeye mwenye dhamana hasemi kitu 3. Mama watoto wanapotea hana habari. Mama ni title ya huruma na utu, Samia amekosa hicho. Itoshe kumuita Rais...
  19. S

    Matukio 3 yaliyofanywa na Samia, yanayoidhalilisha taasisi ya urais ya Tanzania

    1. Kukumbatiwa kama Mwajuma wa Tandale na mhuni Wicknell Chivayo ndani ya ikulu ya Tanzania. This is abomination. 2. Kunyweshwa kinywaji kilichonywewa (na kuachwa) na Philipe Nyusi kama ishara ya kufurahia hafla. That was extremely damning. 3. Tulianza kuziona dalili za mama kupenda...
  20. Sifi Leo

    Hivi kweli Mh Samia uliwasamehe Hawa na kuwaruhusu warudi nchini na ukawafutia kesi? Asante mohamedi umetuonesha rangi Yako.

    Muhindi kumzurumu muhaya ni ngumu sana, Ili ni funzo mnielewe Nauliza Mh Raisi Samia watu WALIOKUWA wanauza UNGA nchini akiwemo huyu Mohamed aliyekamatwa na Mzee Magu na kukili kosa na kulipa cash money ya prebegaining dheni akakimbia nchi Ndo unajitapa uliwarejesha nchini? Nani hasiye...
Back
Top Bottom