Rais wa Rwanda, Pau Kagame awasili nchini, akutana na Rais Samia Ikulu Dar es Salaam

Rais wa Rwanda, Pau Kagame awasili nchini, akutana na Rais Samia Ikulu Dar es Salaam

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,833
Reaction score
130,023
Wanabodi,

Watch TBC live,mapokezi ya Rais Paul Kagame wa Rwanda,(Paulo Mrefu)

Paskali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026.

I1.jpg
I2.jpg
I3.jpg
I4.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, leo tarehe 03 Mei, 2026.

IMG-20260503-WA0007.jpg
 
PK anatucheka sana mnoooo yaanii....kwa mengi sana ....wizi rasilimsli zetu feida wachache eti mtandao....jeshi na miss wapo kimya kuuana hovyo kisa siasa za kushinda mwizi mmoja kikundi chake ....anatucheka mno bandari kuuza wajomba sisi hatuwezi kuendesha khaaas
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, leo tarehe 03 Mei, 2026.

View attachment 3583271
Kila la Kheri Waheshimiwa wetu Mungu awabariki, Maongezi yao yalete kheri na baraka kwenye Nchi zetu.

Tanzania yetu amani yetu
 
Uyu kagame si ndio alimuingiza chaka mwenda zake kwenye zile ndege mda huu kaja kufanya nini tena mama anataka kumpa nini maana jamaa mjanja sana
 
Kiguu na njia hivi sasa baada ya kutengwa huko duniani anaanza kutafuta ukaribu na kina Ruto, Kagame n.k...
Hapo bado hajasema..
 
Safi kabisa. Mwamba kagame amekuja kujifunza ni vipi Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, aliweza kuzima Yale mapinduzi ya kina kitima, TEC na lissu ya okt 29
 
Kagame aliwahi kumwambia samia kuwa amelala usingizini kwa kushindwa kutumia rasilimali ilizonazo.Hakuishia hapo tu alimwambia kagame apewe bandari ya Dar peke yake ili asimamie vizuri ili kuilisha Tanzania na Rwanda kwa ujumla.Mimi naona bora tungemuuzia kagame bandari yetu kuliko alivyofanya samia kumuuzia mwarabu ambaye siyo ndugu yetu wa damu
 
🇹🇿🤝🇷🇼

Kuanzia mwaka 1990 hadi Machi 2026, Tanzania imesajili miradi 42 ya uwekezaji kutoka Rwanda yenye thamani ya dola za Marekani milioni 325.53, na imezalisha ajira 2,225 katika sekta mbalimbali, zikiwemo viwanda, usafirishaji, huduma za kifedha, rasilimali asilia, na utalii. Wawekezaji wa Tanzania wamewekeza nchini Rwanda kupitia kampuni mbalimbali, kama Bakhresa Group, Magodoro Dodoma, Discount Center, Jambo Plastic, Sagar Enterprises, Buffalo Travelling Tours, Maxcom Africa, Gasabo Grain Milling Company, LCM Delta Company, na Metrex Integrated Consultanc
IMG-20260503-WA0020.jpg
y.
 
Back
Top Bottom