samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia ni kiboko; Kwa mara ya kwanza Tanzania imeuza zaidi kuliko ilivyonunua kutoka Kenya

    Kwa mujibu wa Takwimu rasmi kutoka Kenya Bureau of Statistics,Tanzania imeweka historian ya kurekodi mauzo mengi zaidi kuliko ilivyonunua kutoka Kenya. Hii ni baada ya miezi 9 tuu toka mama SSH awe Rais wa JMT.Hongera Sana na kongole nyingi kwa SSH.
  2. R

    Malumbano Spika Ndugai vs Raia Samia ni mpango mkakati, Watanzania msizuzuke

    Habar wadau Nitaandika machache tu unajua sisi watanzania tunaishi kwa propaganda na kufuata mkumbo nje ya uhalisia sisi ni kama tupo tupo tu ila samahani nini sisi hatuna effects yoyote huko juu na watawala wanalijiua hilo si uchaguz si maamuz si uteuzi si siasa sio mikopo sio barabara wala...
  3. Licha ya mapungufu yake lakini Samia Suluhu tunamuheshimu na kumtii kama Rais wa nchi hii,

    Ni utamaduni wetu huu, Baada ya kula kiapo tayari anakua na mamlaka lazima tumtii na kumuheshimu kama Rais wa Nchi, Pasitokee mtu yoyote kujifanya ana madharau yake kisa nafasi aliyopo na kuleta upuuzi wake, imekua hivyo tangu zamani kwanzia Nyerere, Mkapa Mwinyi Kikwete na JPM na hata...
  4. Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

    Nchi ya Tanzania kuelekea 2025 Rais Samia Suluhu amedhibiti mfumuko wa bei|| US, UK, Uturuki, Ujerumani hali ni mbaya. === Nchi tajiri kabisa dunia ya Marekani inayomiliki zaidi ya asilimia 20 ya Uchumi wote wa dunia hii nayo ni muhanga wa hili, Marekani inashuhudia mfumuko mkubwa na mbaya...
  5. Naona Rais Samia anarudisha kwenye mfumo taratibu taratibu watu waliotumbuliwa

    Hii inanipa tafasiri ya kwamba ingawa alikuwa Makamu wa Raisi enzi za Hayati Magufuli pia walikuwa hawaelewani yaani walikuwa ni kama maji na mafuta. Hapa chini tunaona Mama kamrudisha Dr. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishina wa Mamlaka ya usimamizibwa Bima Tanzania (TIRA) ambaye...
  6. Rais Samia, baada ya madarasa kituo kinachofuata kiwe vifaa tiba vya msingi kama mashine za Ultrasound, Haematology, Analyserachine na X-ray

    Kukosekana kwa vifaa hivi kwenye vituo vya afya vingi imekuwa changamoto kubwa kwa matibabu Ushauri baada ya kufanya vizur kwenye madarasa sasa nguvu ihamishie huko pia kuna vituo vingi vikubwa vya afya vyenye hadhi ya kuwa na vipimo hivyo lakini havina hali inayo pelekea wangonjwa kusafiri 20...
  7. Nimefuatilia mtiririko wa visa, ni wazi kuwa Ndugai aliota mapembe na alikuwa akimdharau sana Rais Samia

    Ukweli ni kwamba, Ndugai amekua mbabe kwa muda mrefu sana kwa wabunge kule mjengoni lakini alikua mtiifu namba moja wa Rais John Magufuli (R.I.P). pamoja na mapungufu yote ya serikali ya JPM ikiwa ni pamoja na bajeti hewa mfano kuna baadhi ya wizara zilikua zinapewa hela ya bajeti 18% tu ya...
  8. Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

    Muda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo...
  9. S

    Ni kweli Ndugai amemshambulia Rais Samia vibaya sana

    Hata kama ni kueleweka Mheshimiwa Ndugai alishindwa kujizuia na hormones zake zikamtoa kwenye uhalisia na kumuweka kwenye attacking ya liwalo na liwe, hasira ambazo unaweza kuuwa bila ya kukusudia ni hatari sana tuseme aliamua kujitoa muhanga. Nimeisikiliza kideo zaidi ya mara tatu ili kupima...
  10. B

    Umuhimu wa kuwa na Katiba ya wananchi unazidi kujitokeza.

    Ili nchi yetu ipate maendeleo ni lazima kuwe na muendelezo wa mipango kutoka Awamu moja kwenda kwenye Awamu nyingine. Iwapo kila Awamu mpya inapoanza kutawala itayatupilia mbali yale yaliyoanzwa na waliowatangulia basi kasi ya maendeleo itapungua!! Haya yamejitokeza sana katika utawala wa nchi...
  11. M

    CHADEMA wamesahau madhila yao wanamshambulia Ndugai huku wakisahau Mwenyekiti wao yupo nguvuni

    Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku. Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano. Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni...
  12. Rais Samia Suluhu ashangaza wengi kasi ya Ukuaji Uchumi Tanzania

    ==== Rais Samia aifikisha Tanzania ukuaji wa Uchumi wa 5.2% kutoka 2.1%,Heko Tanzania, According to National Bureau of Statistics (NBS) Pato la Taifa yaani Tanzania Gross Domestic Product- GDP limekua kwa kasi ya ajabu katika kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan, Pato letu...
  13. Rais Samia ulishangiliwa, lakini ubora wa jukwaani haufurahishi

    Kwa mara nyingine tena tukubali kwamba Tanzania hatujaweza kuwa na mchujo wa kupata viongozi wenye busara. Busara hutokana na kuiga pamoja na uzoefu. Kwa mtu aliyeweza kuwa kiongozi wa nchi haistahili awe na mapungufu ya kiwango hiki. Yaani sasa rais ameamua kuja majukwaani na washangiliaji...
  14. Rais Samia amesahau hili la umeme ni yeye amelileta, tumkumbushe

    Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa. Hili la umeme wa kuunganisha watu wote kwa 27,000 ni yeye amelileta...
  15. Ni nani alienda kumuuma Rais Samia sikio kuhusu CCM wenzanke?

    Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake! Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni...
  16. Mtego Aliojitegea Rais Samia, nani atauvunjilia?

    Si mtego mgumu...lakini ni mtego mkali... CCM kwa miaka yote imejitahidi sana kukwepesha na wakati mwingine kuahirisha milongas ya mihimili. Kuanzia wakati wa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere na mjadala wa Uafrika na Uraia wa Tanzania hadi huu wa mkopo na Tozo wa Rais Samia. Migongano...
  17. Mikopo ya miaka ishirini? Kweli Rais Samia anatupeleka pabaya

    Wanabodi, Serikali inataka kufanya mengi na katika kufanya hayo, inataka kutumia muda mfupi kutekeleza miradi ya kimkakati kama njia ya kupeleka maendeleo kwa wananchi. Labda kuna uwezekano kwa serikali kukamilisha mipango yake bila kukopa lakini maelezo tuliyoyapata kutoka kwa viongozi wa nchi...
  18. K

    Ukali wa Rais Samia ni mzuri kwa nchi yetu kwa sasa

    Raisi ameanza kuamini tuliyokuwa tunamwambia kwamba asiwaamini wote wanao mzunguka. Lakini vilevile amegundua kuna watu walikuwa wana mfitini na kuwaelekeza upinzani kuhusu kukamatwa kwa Mbowe na kuhakikisha wapinzani anawaona kama wabaya. Ndugai " Sasa 2025 mtaamua mkitoa waliopo nao sawa waje...
  19. Rais Samia leo kafanya kosa kubwa sana. Huwa hatukunjui makucha kwa waliotukosea

    Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai. Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu. Mama angepaswa kuwa soft kabisa kwa siku ya leo. Na ingependeza kama angeanza kumshukuru kwa dhati Ndugai kwa kuomba...
  20. M

    Samia Vs. Ndugai: Suluhisho ni Katiba Mpya. Wana CCM tuidai

    Bila shaka, malumbano kati ya speaker na rais Samia imeonyesha wazi kwamba, hakuna uhuru wa mihimili yetu ya uongozi. Mahakama haina uhuru wake, Bunge halina uhuru wake na Speaker pia ameonyesha udhaifu mkubwa sana kuomba msamaha pasipo na sababu ya msingi, na Rais Samia ameonyesha udhaifu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…