samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

    Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo. Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa. Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Samia huyo mpemba wako waziri wa Uchukuzi yuko wapi, wamekufa watu zaidi ya 30, nauli zinaongezwa holela Makame Mbarawa Mnyaa wala hana taarifa!

    Huyu Samia nani kamlazimisha kugombea huu urais? Huyo mzanzibari hataki hii kazi, ni Kikwete? Kwa maslahi ya nani? Ni wazi zahv hatuna Rais wa JMT, mwezi wa Februari wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea nauli walivyoona wao inafaa, hatumwona waziri wala naibu wake wala mkurugenzi mkuu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni Ngumu kupata Mwenye Uwezo Wa Kuvaa Viatu vya Rais Samia 2025. Ikishindikana Kupata Mbadala wake 2030, Itabidi Tubadili Katiba ili aendelee

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu umakini na uhodari wa kiuongozi kama alionao Rais Samia . Ni ngumu sana kupata kwa haraka haraka viongozi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kabudi, Samia na seeikali yote ni Haramu

    Hawa wote ni Haramu na sio Halal
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa kinara wa afya ya Mama na mtoto Afrika ni heshima kwa Tanzania

    Mshauri wa Rais kuhusu Afya ya uzazi na afya ya Mama, Ummy Mwalimu amesema Afrika imepiga hatua katika kupunguza vifo vya kina Mama ambapo ameongeza kuwa Suala la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa kinara wa Afrika afya ya Mama na mtoto ni heshima kubwa kwa Tanzania na kuongeza kuwa uamuzi na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake, Kabudi, Chenge, Jadi Chade

    Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kusafiri kwenda Zimbabwe kinyemela kumzika mfanyabiashara mwenye utata wa kimaadili inatoa ujumbe gani kwa Watanganyika?

    https://youtu.be/Zw1pnTKVPKo?si=Q8pUyv0DyV4tfbPh Tuanzie kwa kujiuliza maswali haya: 1. Kuna nini kati ya familia ya Samia na mfanyabiashara huyu Mzimbambwe mtata na mtovu wa maadili ya kibiashara? 2. Kwanini Rais wetu huyu (hata kama yupo hapo kiharamia) ajihusishe na mtu huyu na kumpa...
  9. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Rais Samia Suluhu, anadaiwa kufika nchini Zimbabwe pamoja na msafara wake nyumbani kwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho (kuhani msiba)/ Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Zimbabwe, Hopewell Chin’ono, Rais Samia na msafara wake wamewasili katika makazi ya...
  10. Yesha

    JamiiForums Tanzania Ramaphosa sends condolences as Tanzania’s Hassan makes surprise Harare trip to mourn Chivayo

    South African President Cyril Ramaphosa has joined regional leaders in mourning Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo, sending a condolence message to President Emmerson Mnangagwa as Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan made a brief and closely guarded visit to Harare to pay her respects...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt Samia aendelea kuvunja rekodi

    Rais Dkt Samia aendelea kuvunja rekodi ✅️Benki ya Dunia Yaeleza kuhusu mapato. ✅️BOT ikibainisha kununua dhahabu nyingi. ✅️Utendaji wa bandari.
  13. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

    Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara. Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi. Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na...
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aenda Kumuaga Chivayo, Safari ilipangwa kwa usiri mkubwa

    Vyanzo mbalimbali kutoka Zimbabwe ikiwemo kutoka kwa muandishi mkubwa nchini humo Hopewell Chin'ono @daddyhope2 vinaripoti kuwa; Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ambaye leo alisafiri kwenda Zimbabwe kutoa heshima zake za mwisho nyumbani kwa marehemu Wicknell Chivayo, sasa yuko njiani...
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania SAMIA ATINGA ZIMBABWE KUHANI MSIBA WA RAFIKI YAKE Wicknell Chivayo

    Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and her delegation have arrived at Wicknell Chivayo’s home to pay their last respects. Cameras and mobile phones are not allowed, and there is a complete media blackout, according to state security agents at the residence.
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini serikali yetu pale wananchi wakijiwekea biashara shughuli au uchimbaji mnaingilia na kusingizia muwekezaji.

    Wakati wananchi wanajitafuta mfano wameona hapa wafanye biashara zao au mambo mengine na ilo eneo cha kushangaza wala serikali ijahusika. Baada ya mda unaona serikali imeingilia ilo eneo na kuanza kupangia watu,kufukuza watu kwa kisingizio cha muwekezaji. Leo hata mkianzisha sehemu ambapo...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Afungua Mkutano Mkuu wa IPU Arusha

    Salamu za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jana tarehe 5 Oktoba 2026 katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).
  18. K

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Mama Samia asipomuomba msamaha Lissu hatamaliza muhula wake!

    Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda msibani Zimbambwe ameandika Askofu Emaus Mwamakula

    SAMIA KUHANI MSIBA WA CHIVAYO KESHO? Hopewell Chin'ono wa Zimbabwe ameandika katika ukurasa wake wa Facebook akidai kuwa vyanzo vyake vya taarifa vinasema kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu anatarajia kuruka kesho kwenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wickenell Chivayo aliyeuawa katika ajali ya...
Back
Top Bottom