samia

Samia Maxine Longchambon (née Ghadie, previously Smith; born 13 July 1982) is an English actress. She has played the role of Maria Connor in the ITV soap opera Coronation Street since 2000.

View More On Wikipedia.org
 1. happyxxx

  Catherine Ruge, " Bora Magufuli kuliko Samia".

  Huyu dada ametoa kauli iliyonishangaza sana. Chadema bado ina tatizo la viongozi makini. Hawaelewi hata wanasimamia kitu gani. Juzi tu hapa Mama Samia alikuwa anaupiga mwingi...Leo wameanza kumkumbuka Magufuli. Chadema bado sana kuaminiwa kupewa hata majimbo....Mama Samia shikilia hapo hapo...
 2. P

  Ni kama nchi iko kwenye Auto Pilot

  Auto Pilot, kwa uelewa wangu tafsiri isiyo rasmi, nchi inajiendesha. Kwa sababu gani nasema hivyo. Ni kama ifuatavyo. 1. Kuhusu tozo. Mheshimiwa waziri wa fedha na Mipango ndugu Mwigulu Nchemba alisema mama amesikia kilio cha Watanzania ila cha ajabu mpaka leo hakuna kinachoendelea kuhusu...
 3. M

  Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo yaanza rasmi kubambikizia watu kesi

  Mwanzo tulidhani rais huyu ni muungwana, mchukia uonevu, mstaarabu kumbe ni walewale. Ukiwa member kwenye timu ya wachawi na wewe ni mchawi tu. Naona serikali yake imeanza kubambikizia watu kesi. Eti Mbowe gaidi, ugaidi mmeujua tu kwa kuwa kaanza kudai katiba mpya na haki ya vyama vya siasa...
 4. Sandali Ali

  Rais Samia Suluhu kama utatawala kwa kutokuzingatia haki, HAKI halisi itahitimisha safari yako utawala

  Ninaposema HAKI namaanisha Mungu. Mungu hujiita haki au mwenye HAKI. Is.45:21 Sisi wananchi wanyonge tunakupenda , ila tutakapohisi haki imekiukwa mahali fulani na wewe kama kiongozi umekaa kimya kwasababu zako binafsi tutamwita mwenye haki aupime utawala wako kisha akiona kuna haki aendelee...
 5. MSAGA SUMU

  Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazunguzmo na Tony Blair

  Samia Suluhu akutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair. Taarifa zaidi
 6. Bishweko

  Rais Samia, futa Katiba na uwepo wa vyama vingi vya Siasa

  Nianze na salama...Shikamoo Mama Samia ambae ni Mh.Rais wa JMT. Siku nyingi nimeandika apa kwenye jamvi tangu mama uchukue usukani wa Taifa letu zuri la Tanzania. Siku ya leo nimetafakari sana utawala wako tangu umeingia Ikulu. Ukweli ni kuwa Mama unafanya vizuri sana. Ushauri na ombi langu...
 7. J

  Story of Change Rais Samia anza na Kilimo kukuza uchumi

  Katika hotuba mbalimbali za Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha nia yake ya dhati kukuza uchumi wa taifa letu pamoja na kustawisha ustawi wa mtu na maendeleo yake. Haya ameyasisitiza katika hotuba zake wakati wa siku ya wafanyakazi na alipokutana na wazee wa Dar es Salaam. Katika hafla hizi...
 8. B

  Mama Samia: Dalili za Mvua ni Mawingu

  Mwanzoni ulipoingia madarakani, ulikuwa ukienda vyema. Kwa hilo pongezi ulizipata na matumaini mema yakaanza kurejea. Pote palipokwenda kombo kukiwemo: 1. maongezeko ya kodi na tozo mbalimbali katikati ya janga la Corona, 2. kutozingatiwa kikamilifu kwa mapendekezo yakiwamo ya tume mbalimbali...
 9. THE BIG SHOW

  CHADEMA RAIS SAMIA ANAONGOZA NCHI KUFUATA ILAN YA CHAMA CHAKE NA KUWATUMIKIA WATZ,NA SIYO KUFUATA MATAMANIO YENU.

  Friends and Enemies, As they sow,so shall they reap... Chadema wahusike na kichwa Cha habar hapo juu,sisi wananchi tusiokuwa na affiliation zozote na hawa wanasiasa siku zote mindset zetu huwa free kuzungumza chochote kwa maslahi ya Taifa. Letu, Kwa watu kama chadema,ukiongea chochote...
 10. MsemajiUkweli

  Je, Rais Samia alikuwa haaminiki au ndiyo mfumo wa ulinzi na usalama ulivyo?

  Kifo cha Rais Magufuli kimefunua siri ambayo nadhani wengi hawakuwahi kuijua. Kifo cha Rais Magufuli kimeonyesha jinsi ambavyo Rais Samia alikuwa hajui siri za nchi ambazo kwa wadhifa wake kama Makamu wa Rais alitakiwa awe anajua! Nakumbuka hata Rais Magufuli alipoingia madarakani alikuwa hajui...
 11. M

  Mh rais Samia jitenge na hulka za kiccm na Tania za kimagufuli file lako bado ni Safi.

  Mh rais Samia suluhu Hassan ccm ni chama kinachoelekea kufa ndio maana kina hulka za kibabe na pia tabia za magufuli kutumia nguvu zisiweke kivuli kwenye haiba yako. Tumia busara kuliko nguvu. Mwisho wa siku utapimwa wewe Kama wewe.
 12. M

  Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

  Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
 13. BestOfMyKind

  Sitakubali Rais Samia ahujumiwe

  Serikali hii ilianza vibaya. Walianza kwa kujitenga na Magufuli bila kujua watanzania wengi walimpenda, na hata ambao hawakumpenda walihuzunishwa na kifo chake kwakua walimzoea. Hapa tulipofikia, wale waliotakiwa kuridhika na serikali kutokua chini ya Magufuli, hawaridhiki na serikali iliyopo...
 14. Komeo Lachuma

  Kampeni yetu kwa Ajili ya Rais Samia isimdhalilishe na kutudhalilisha sisi pia. Tanzania Kwanza

  Tukiwa maeneo yetu tunaambiana kuwa tusikosoe awamu hii kwa sababu ni awamu ya... 1. Dini yetu 2. Jinsia yetu 3. Kabila letu 4. Asili yetu. Hapana. Mimi sikuwa nampinga Hayati Magufuli kwa sababu ya Dini yake. Mimi Dini yake inanihusu nini? Mimi nlishambulia matendo hatarishi. Lakini nlisifia...
 15. assadsyria3

  Mama Samia una wabunge 90+% futa vyama vya upinzani

  Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini. Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda. Mama nilikupenda na niliona umsikivu na...
 16. B

  La Mwanza: Kwenu Mama Samia na Kamanda Sirro

  Kama habari hizi zinazotufikia ni kweli kuwa haya ndiyo yaliyojiri Mwanza: basi mnakoipeleka hii nchi siko. Kwa vile ni kinyume cha katiba na sheria zote ndani ya nchi hii, itoshe kuwataka kuirekebisha hali hii bila kuchelewa na kuwachukulia hatua wote wanaohusika, kama nyie siyo sehemu ya...
 17. Komeo Lachuma

  Kundi la Mwigulu linajipanga Uchaguzi mwaka 2025. Mwigulu anatumia nafasi hii Kushusha Umaarufu wa Rais Samia

  Anachofanya Mwigulu si kwa bahati mbaya. Anajua vizuri sana na anatumia mbinu ya kumchonganisha Samia na wananchi huku akijipanga kuja gombea Uchaguzi wa mwaka 2025/2030. Hafanyi kwa bahati mbaya. Hizi tozo mpya anajua anachofanya. Anamshusha Rais Samia huku yeye akijiwekea mazingira ya kupata...
 18. P

  Uteuzi wa Wakurugenzi unafanyika lini? Mambo mengi yamesimama Wilayani

  Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama. Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3...
 19. jaji mfawidhi

  Mwigulu Urais 2025 ameanza kujipanga leo, Tozo zimeshusha umarufu mdogo wa Samia kwa kiasi kikubwa

  Nilikuwa namsikiliza anayejiita Dr (Phd) Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango akihojiwa na ITV kipindi cha Kipima Joto. Nilichosikitika sana... Nasikia Alipata First Class ya Degree yake ya kwanza ya Uchumi na anayo PhD! Amesema Burundi na Zambia wana population ndogo sana kuliko sisi...
 20. K

  Story of Change Shule maalumu za Sayansi kwa wanawake za Mama Samia Hassan Suluhu

  Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa ajili ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Hassan Suluhu ambaye ni Rais wa Kwanza Mwanamke katika Taifa letu pendwa Tanzania na Afrika Mashariki. Pili nitoe pongezi zangu za dhati kwa upeo wake mkubwa na nia ya dhati ya kuendeleza nchi yetu pendwa...
Top Bottom