Samia oyeeeee

Samia oyeeeee

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
7,840
Reaction score
15,285
Samia saaaafi ??
Saaaafi

NDUGU MWESHIMIWA, TUNAOMBA GESI IWE AFU40 MTUNGI MDOGO MANA AFU 28 NI RAHISI SANA TUNAKUA TUNAINYIMA SEREKALI MAPATO

NB: JF MKIFUTA HUU UZI AU KUUNGANISHA MNAFUNGIWA WATU WATARUDI KUINGIA NA VPN BORA MKAUSHE AISEEE 🍺 🍻 🍺 🍻
 
Kabla ya ku type naomba ni ishukulu serikali y awamu ya 6 inaongozw n bi kizimkaz kw kufanikisha ndugu jirani yangu alie ni hotspot.....
 
Mwashambwa atatoka mbiombio kuja kuchugulia kilichoandikwa.

Si mnajua anavyogopa kupoteza kazi yake!
 
Ukila vitu punguza mwandiko kwa wingi inasaidia sana sana
 
Back
Top Bottom