samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuruhusu watu wajadili mkataba wa bandari tayari ni legacy

    Habari wanaJF. Nimepata wasaa mzuri wa kutafakari haya mambo ya bandari na huu mchuano unaendelea kati ya wanaosapoti mkataba na wanaopinga. Kwa vyovyote itakavyokuwa lazima tukubali kwa mara ya kwanza tumepata Rais anayependa ukweli na uwazi kwa vitendo. Haijawahi tokea wananchi wakajadili...
  2. JamiiForums Tanzania Sheikh Mazinge ukiona mtu mwanasiasa anamtukana Rais Samia basi ujue kachanganyikiwa

    Friends and Enemies... Sheikh Machachari wa minakasha na makongamano nayeye amevunja ukimya DHIDI ya wanasiasa na wale ambao wamekuwa vinara wa kauli chafu na matusi DHIDI ya Rais Samia. Sheikh MAZINGE ameendelea kusema kwamba wengine ndani ya nchi hii walikuwa wakimbizi wakaihama nchi pasipo...
  3. JamiiForums Tanzania CCM ijitoe kwenye Maridhiano kama matusi yataendelea kwa Rais Samia

    Niwasihi ndugu hatukatai mtoe hoja, hatukatai mseme yale mnayotaka kusema lakini semeni kwa uungwana, zungumzeni kwa busara, jengeni hoja."Kusema Rais ana akili za matope au kusema Rais ameuza bandari, wewe sema mkataba huu haujakaa vizuri toa hoja kwa nini hauajakaa vizuri, upande wa pili...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Nanenane Mbeya, Wadau Kutoka Nje ya Nchi Kushiriki Kwa Mara ya Kwanza

    Rais Samia Suluhu Hassana anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maonesho ya kilimo maarufu kama Nanenane Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema viongozi wengine kitaifa watakaotembelea maonesho hayo yanayoanza...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atengue kauli yake ya yeye na Magufuli ni wamoja, au aombe radhi kwa madhila yaliyowapata baadhi ya watanzania kwenye awamu ya 5

    Baada tu ya kuingia madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni wamoja. Sijui kama wakati ule au hata wakati huu Rais anafahamu uzito wa maneno hayo. Kusema kuwa ni mmoja na mtu mwingine kunaweza kumaanisha mengi ila...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hayati Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kukubali mkataba wa miaka 99 bandari ya Bagamoyo

    Mimi nilikuwa namchukia sana Magufuli siwezi kumsingizia neno, "Magufuli alisema Mkapa na Kikwete wameuza nchi kwa mikataba mibovu akaanza kuivunja mikataba yote,tukashtakiwa" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi. "Magufuli alisema awa Wazee wameharibu sana nchi,tukamwambia...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya Kukitafiti kilichofanywa na DP World huko Djibouti, Angola na Senegal namuomba Rais Samia aachane nao rasmi

    Na pia GENTAMYCINE namuomba Rais Samia Suluhu Hassan awatazame upya Wasaidizi na Washauri wake kwani nimeanza kuona anahujumiwa na anaowaamini wakiongozwa na Mswahili mmoja asiyechoka na utajiri mkubwa alionao na pesa alizozificha kwa kuzigawa nchini Malaysia na Cyprus. Kama Angola, Djibouti na...
  8. JamiiForums Tanzania Nani anaratibu haya kwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan?

    Rais ni mkuu wa Serikali na nchi. Rais ni nembo yetu; fahari yetu; kiongozi wetu na kiungo chetu. Lakini, Rais ni 'mwajiriwa wetu' nambari moja nchini. Ndiyo maana, akifanya vizuri tunamsifu na akifanya vibaya tunamkosoa na kumsema. Tunapaswa kujua anakoenda na anachoenda kufanya. Labda kama...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mtu akiingia Ikulu kwa "ndodndokela" anakuwa hana ajenda (anapuyanga). Tuliyaona kwa Magufuli na sasa tunayaona kwa Samia

    Kuna hadithi ya mfalme aliyetaka kumuoza binti yake kwa mwanaume jasiri atakayeweza kuogelea kwenye bwawa la mamba mpk kulivuka na kufika upande wa pili . Wakiwa wamejipanga pembeni ya bwawa mwanaume mmoja alisukumwa na mwanaume mwenzake. Yule mwanaume alidumbukia ndani ya bwawa na kwa bahati...
  10. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025, Rais Samia hata yeye mwenyewe anaweza asijipigie kura

    Nafahamu fika kwamba, hata CCM wenyewe hawawezi kumpa kura Rais Samia. Na kwa jinsi mambo yalivyo magumu mitaani, watu wanavyomsema, watu walivyomchoka, yeye mwenyewe anajaribu tu kuchungulia anakutana na nyuso ngumu zilizojaa hasira ya kwa nini kutufanyia hivo? Anaamua akae kimya tu. Safari...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Samia chukua ushauri huu Ili utoboe 2025

    Rais wangu na wetu, kutoboa 2025 ni ngumu sana. Wewe uko kivulini hujui ya juani kwetu. Umeshaharibu mbayaa. CCM hawakutakii mema. Vinaja 3 wamejipanga usitoboe. Fanya jambo moja kukuokoa. VUNJA BARAZA LA MAWAZIRI. Mfukuze kazi Kasim Majaliwa. Wote hawa wamekushauri vibaya. Naishia hapo ila...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukiendelea kujibizana na hawa wapumbavu kuhusu uwekezaji wa Bandari utapoteza mwelekeo na utapoteza muda

    Mama yangu Rais Samia kwanini mkataba moja huu wa bandari utumie nishati kubwa namna hii. Huu ni mkataba moja tu je utaweza kufanya chochote km kiongozi mkuu wa nchi? Nachoogopa kwa kuwa uelewa wa watu bado ni mdogo ndio mtawachanganya zaidi. Bunge limeshapitisha, na bunge ni wawakilishi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

    Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World. Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic...
  14. JamiiForums Tanzania John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

    Akihutumia maelfu ya wananchi wa Muleba 29.07.2023, mh Heche amesema Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na DP world hadi vijiweni. My take: Ngoma inazidi kuwa tamu. Hakuna neno litakalo baki limestirika. Wanabaki uchi wa mnyama.
  15. JamiiForums Tanzania Diwani Kata ya Kamsamba Amepongeza Rais Samia na Mbunge Condester kwa Kupeleka Milioni Mia Tisa za Miradi ya Maendeleo

    DIWANI KATA YA KAMSAMBA AMEMPONGEZA RAIS SAMIA NA MBUNGE CONDESTER KWA KUPOKEA MILIONI MIA TISA ZA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA MOMBA Diwani wa Kata ya Kamsamba Jimbo la Momba Mhe. Kyalambwene Kakwale amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Samia Grant helps more understudies

    Around 640 structure six leavers who performed well in science subjects in the current year's Public Assessment will profit from Samia Grant as they join higher learning organizations in the 2023/2024 scholastic year.<br><br> The grant was named after President Samia Suluhu Hassan because of...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya vizuri ila kuna mambo anatakiwa kurekebisha

    Naomba nizungumzie Mama wa Taifa, Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kama nionavyo mimi; 1. Tabia binafsi Mama Samia Suluhu Hassan ameumbwa na hofu ya Mungu, ameumbwa na utashi wakuona baya kwake laweza kuwa baya kwa wengine hivyo hana sababu ya kuhukumu. Ameumbwa na moyo wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Songa mbele Mama, kuongoza Watanzania inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu maana ni vigeugeu

    Ndugu zangu watanzania, Ukiwa kiongozi Tanzania hasa ngazi ya Urais inahitaji kifua kipana,moyo mkubwa,moyo wa uvumilivu, upendo, huruma na moyo wa msamaha katika kuwaongoza na kuwatumikia watanzania,kwa kuwa sisi watanzania kwa kiwango kikubwa ni walalamishi, vigeugeu, tunaofanya mambo na kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Maelfu ya watu wamuombea dua Rais Samia

    MAELFU ya wananchi mkoani Kagera, wamejitokeza kwenye Uwanja wa Kaitaba, mkoani Kagera na kushiriki hafla ya kumuombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Dua hiyo imefanyika leo (Julai 28,2023) ikifanyika katika kipindi ambacho Rais Dkt. Samia anaungwa mkono...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

    "Nilihapa sitafanya mkutano Chato ila nitakwenda hata waweke mapolisi nitakwenda Chato, nitakwenda kumuasha Magufuli amka Magufuli amka uone wanavyofanya. "Magufuli hakuiba tusimsingizie wala hakusaini huo mkataba, Magufuli mnajua mambo yake hakuwahi kuiba. "Umewahi kuona wapi CCM wanazunguka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…