samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya Nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha sikuku ya Nane Nane jijini Mbeya, leo Agosti 8, 2023. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amesema wakazi wa Mbeya wanaunga mkono uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Bandari ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nyalandu aleta madaktari bingwa 50 kumuunga mkono Rais Samia

    Katika kuhakikisha afya za Watanzania hasa wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali, kundi la zaidi ya madaktari bingwa 50 kutoka Jimbo la Califonia nchini Marekani, watakuwa nchini kutoa matibabu na ushauri wa kitaalamu bure. Madaktari hao ambao wamebobea kwenye tiba za mifupa, nyonga na mishipa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.
  4. JamiiForums Tanzania Picha ya Rais Samia kwenye Simba Day ndio picha kali zaidi ya kiongozi wa nchi kwenye michezo

    Picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya mechi na timu ya Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023 INAWEZEKANA NDIO PICHA "KALI" ZAIDI...
  5. JamiiForums Tanzania An Open Letter to Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania

    Your Excellency, Dr. Samia Suluhu Hassan, the President of the United Republic of Tanzania, Assalam Alaykum. Greetings with utmost respect and honor. I sincerely hope that you and your family are in good health and high spirits. I offer my prayers for your well-being and success as you shoulder...
  6. JamiiForums Tanzania ‪Ahadi ya Rais Samia kununua magoli kimataifa inaendelea‬

    Akizungumza katika tamasha la Simba Day, Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa ahadi yake ya kutoa motisha kwa vilabu vinavyowakilisha Tanzania Kimataifa inaendelea "Ahadi yangu ya kununua magoli kwa watakaofanya vizuri kimataifa iko palepale, nendeni mkatuletee ushindi."
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia umefanikiwa pakubwa kucheza na akili za mbumbumbu

    Rais wa nchi tunakupongeza kwa akili kubwa kubalance mambo kwa kuhudhuria Tamasha la Simba, Mwanzo walikubeza na kukutupia kila aina ya lawama baada ya kuwapa kongole kwa vitendo timu ya wananchi Yanga baada ya kufanya vizuri michuano ya kimataifa. Sasa basi atutegemei kusikia tena kelele za...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamalanga Amsifu Rais Samia Kuifungua nchi Kibiashara

    Viongozi wa dini wamemsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuifungua nchi kibiashara kwa kuwajengea wote wenye nia ya biashara kuingia kufanya hivyo, huku akiondoa vikwazo vinavyonyima fursa. Akizungumza kwa niaba ya viongozi wenzake, Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Masheikh ya...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wanawake upinzani wamsifu Rais Samia

    Baadhi ya viongozi vya siasa vya upinzani wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kulea vyama vyao na kuleta maridhiano mazuri nchini huku akihakikishia dunia kuwa wanawake Tanzania wanaweza. Walisema maridhiano hayo yameleta tija katika vyama vyao kwa kuwa na mahusiano mazuri na serikali...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Dkt. Ramadhan Dau kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)

    RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Ramadhan Dau kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB). Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dares Salaam jana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Hassan Abbasi, alisema Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia na Serikali fuatilieni udhalilishaji wa Kingono unaofanyika kambi ya JKT Makutupora

    Wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JKT ulituambia kuwa jeshi hilo ni muhimu katika kukuza vijana kuwa wazalendo na kuipenda nchi yao. Kauli hiyo inatofautiana na kile kinachoendelea kambi ya JKT Makutupora maana kuna afande mmoja amefikia pabaya kwa tabia yake ya kudhalilisha watoto wa kike...
  12. JamiiForums Tanzania Tamko la CCM nitaliamini 100% endapo tu Mwenyekiti wake Taifa na Rais Samia atakuja na uthubutu ufuatao

    Mimi Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Taifa natangaza rasmi hapa kuwa sitaki nyie akina Kitenge, Zembwela, Pindi Chana, UVCCM Wote, Rais Mstaafu Kikwete na Wengineo wote Mjipendekeze Kwangu kwani siwahitaji na hakuna ambacho huwa nawatuma mkiseme bali ni Kuwashwawashwa Kwenu tu mkidhani...
  13. JamiiForums Tanzania Mama Bonge wa Kariakoo asimama na Rais Samia Uwekezaji wa DP World Bandarini

    Mfanyabiashara maarufu wa Kariakoo, Sinyali Kimambo, maarufu kama Mama Bonge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutorudi nyuma katika msimamo wake wa kuleta mageuzi ya uchumi nchini, ikiwemo kuvutia uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari ya Dar es Salaam Mama Bonge, ambaye huagiza...
  14. JamiiForums Tanzania Raisi Samia Suluhu muige Ibrahim Traore wa Burkina Fasso

    Kwa umri wake wa miaka 35 kaptein Ibrahim Traore ni mtoto kwa umri wa Samia Hassan Suluhu ila kwa utendaji wake wa kazi Ibrahim Traore ni mwalimu kwa Samia. Ni raisi mwenye msimamo na uthubutu hazungukwi na Wezi na Machawa inakatisha tamaa kuona Raisi ana chama chake cha Machawa(AIBU)...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake Mufindi wamshukuru Rais Samia kwa kuwapatia mitungi

    Wanawake wa Jimbo la Mufindi wamemshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia mitungi ya gesi ya kupikia, itakayowasaidia kuondokana na changamoto ya matumizi ya kuni na mikaa. Kauli hiyo waliitoa jimboni humo juzi, Mbunge Kigahe aliwapokabidhi mitungi ya gesi 500 yenye thamani ya sh...
  16. J

    JamiiForums Tanzania TIA Wamshukuru Rais Samia kwa kuwaimarisha Kitaaluma

    TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia kiasi cha Sh bilioni 7.8 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la taaluma. Hayo yamesemwa jana mjini hapa kwenye maonesho ya kilimo yanayofanyika eneo la Nyamhongolo katika Manispaa ya Ilemela na Mkuu wa Taasisi ya TIA...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Najitolea kwa hiari na upendo mkubwa kumpigia kampeni Rais Samia aendelee kuongoza awamu ijayo

    Ndiyo ndugu zangu Watanzania, naam hii ndiyo ahadi yangu thabiti mbele yenu. Ni kwa sababu za kiuzalendo, upendo wadhati, hekima niliyonayo, uelewa mkubwa nilionao, na kutambua Mchango, uwezo na weledi mkubwa mkubwa alionao Rais wetu mpendwa Najitolea kumpigia kampeni Mama Samia aendelee...
  18. JamiiForums Tanzania Afrika Magharibi inamhitaji Dkt. Samia Suluhu Hassan kusuluhisha mgogoro wa Niger na ECOWAS

    Afrika inahitaji amani kuliko vita. Rais wetu, hebu nenda huko Niger kawasuluhishe kabla hawajaanza kuuana. Ninaamini watakusikiliza kwani wewe ndiye rais mwanamke pekee barani Afrika kwa sasa. Ukifanikisha, utajipatia sifa ya pekee kama Rais mwanamke uliyeweza kuepusha maafa na mauaji ya...
  19. JamiiForums Tanzania Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

    Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu. Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba 1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi 2. Rais na Makamu wake...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe, Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa uliowasilishwa kwake na Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru kutoka Zimbabwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF Mhe. Oppah Chamu Zvipange...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…