samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amteua Mohamed Melick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu TASAC

    Wadau hamjamboni Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi. --- Rais Samia amemteua Mohamed Malick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC). Kabla ya uteuzi huu Salum alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Uchukuzi. Bw. Salum anachukua nafasi ya Bw. Kaimu...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kama ifuatavyo:- Amemteua Dkt. Jones A. Killimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Rais Samia hapa Duniani yameleta Nuru kwa mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu wamezaliwa na kuwepo hapa Duniani kama vyombo vitumiwavyo na Mwenyezi Mungu kuvusha,kuponya,kuokoa,kufuta machozi, kufariji na kuwapa matumaini watu wake.kuna watu Mungu yupo ndani yao na aliwaumba kwa makusudi maalumu na anaendelea kuwalinda na kuwainua ili...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia awatakia kheri watahiniwa wa Kidato cha Nne 2023

    Rais Samia Suluhu Hassan kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii amewatakia kheri wahitimu wa kidato cha nne wote nchini wanaoanza mitihani yao leo Jumatatu Novemba 13 na kutarajiwa kuimaliza Novemba 30, 2023. “Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa Kidato cha Nne mlioanza mtihani wenu...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Barabara Mwanza Mjini ijengwe njia nne

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu wa kina wa barabara za Mwanza Mjini hadi Round about ya Usagara na barabara ya Mwanza Mjini hadi Igoma ili zipewe kipaumbele katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya kujenga barabara ya njia nne...
  6. JamiiForums Tanzania Makonda: Rais Samia ni dada wa Kanda ya Ziwa

    📌📌 RAIS SAMIA NI DADA YETU, WATU WA KANDA YA ZIWA - MWENEZI MAKONDA "Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ni dada wa kanda ya Ziwa. Tuna wajibu wa kumuombea, kumlinda na kumtetea kwa sababu kaka yetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ndiye aliyetutambulisha na kutuambia...
  7. JamiiForums Tanzania 4Rs za Rais Samia gumzo kila kona, Padri Kitima, Askofu Mwamakula, Zitto wakoshwa

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), Charles Kitima, amesema dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kufanya mageuzi makubwa kwa kutumia falsafa ya uongozi kwa kutumia 4Rs, inajidhihirisha kwa vitendo. Mbalina Padri Kitima, Askofu Emmaus Mwamakula, ameelezea mageuzi ya Miswada ya...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Ndege kuipeleka Taifa Stars Morocco

    Ameandika Katibu Mkuu Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa "Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa ndege kwa ajili ya kuisafirisha Timu ya Taifa ya Soka kwenda Marrakesh Morocco ambako itaumana na Timu ya Taifa ya Niger katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ijayo ya Kombe la Dunia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia ziara za Makonda hazina positive impact kwa CCM zaidi ya kuonyesha mapungufu ya serikali ya rais Samia.

    Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala sio sifa kwa Makonda kupiga simu. Suala dogo la dhuluma kwa wananchi ambalo kwa serikali makini hata...
  10. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Anayempinga Rais Samia, anampinga Hayati Magufuli kwa maana yeye ndiye aliyemwamini kuwa makamu wake wa urais

    "Ndugu zangu wa kanda ya ziwa tulipata bahati ya kuwa na Mwasisi wa Taifa hili Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, tukapata bahati tena ya kuwa na Rais wa awamu ya 5 Hayati John Magufuli ambaye alifanya jambo la kuamini Wanawake wana uwezo na akavunja miiko ya Mwanamke kutokuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Makonda: Rais Samia hana deni

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa, Itikadi na Uenezi, Cde. Paul Makonda amesema Rais, Samia Suluhu Hassan ameendelea kutoa fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini kwahiyo deni limebaki kwa wasaidizi wake kuhakikisha wanatekeleza miradi na kufanya kazi kwa bidii ili kuondoa...
  12. JamiiForums Tanzania Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan

    Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan MBUNGE, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge wa Jimbo la Kaliua akikabidhiwa gari ya wagonjwa kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la kaliua huku Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mchengerwa amewataka wabunge kupanga gari hizo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

    1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi ) J.Kalimteua. J.P.M amemteua. Na sasa Samia amemteua. 2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David ) 3. Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda. 4. He has a threatening aura...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika jijini Riyadh, Saudi Arabia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Saudi Arabia kushiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania,mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia,shujaa wa Afrika,simba wa nyika amewasili salama nchini saudi Arabia ambako atashiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia utakao fanyika November 10 mjini...
  16. F

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia tafadhali chunguza BRELA kwani ni kikwazo kwa wafanyabiashara, bila hongo hufungui kampuni

    BRELA wamekuwa sababu ya wafanyabiashara wengi kushindwa kurasimisha biashara zao kwani ukitaka kufungua kampuni utapitia machungu na mwisho utaacha kabisa. Brela wamekuwa wanafanya masahihisho ya maombi kwa mtindo wa kuchelewesha ili mwombaji atoe rushwa. Brela wanasahihisha neno moja moja na...
  17. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi pamoja na kuvunja Bodi ya TCRA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi na kuvunja bodi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Balozi James Gilawa Bwana kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Afrika kusini. Balozi Bwana anachukua nafasi ya Balozi Meja Jenerali Gaudence...
  18. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Rais Samia amewaona waliodandia Treni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiona ‘video clip’ ya abiria wa treni Jijini Dar es Salaam maarufu kama treni ya ‘Mwakyembe’ wakid andia na kuning’inia milangoni usiku. Kutokana na hatua hiyo, RC...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi Afrika, Jijini Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=SJN3jOLB9G8 === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
  20. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Kuwapa Mikopo Wanafunzi Waliotemwa Samia Scholarship

    Serikali imewahakikishia kupata mikopo wanafunzi 226 ambao wametemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship,’ baada ya kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo. Akizungumzia suala hilo, Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…