samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri ufute safari za nje

    Nampongeza Chakwela kwa kufuta safari zote za nje hadi March 2024, wote walioko nje matembezi kurudi nyumbani, kupunguza matumizi ya Serikali pamoja na ma-allowance za wabunge na mawaziri ili kubalance uchumi wa Nchi yake. Mama Samia nakushauri na wewe uchukue uamuzi huo, safari za nje zina...
  2. JamiiForums Tanzania Mama Samia, mvua imetosha mama, hebu ibalansi mama yetu

    Ni Hilo tu
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Dugange Amshukuru Rais Samia kwa Kutatua Changamoto ya Zahanati Masaulwa

    DKT. DUGANGE AMSHUKURU RAIS KWA KUTATUA CHANGAMOTO YA ZAHANATI YA MASAULWA NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Dkt Festo Dugange amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza changamoto ya muda mrefu ya Zahanati katika Kijiji cha Masaulwa Kata ya Imalinyi Wilaya ya...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awe makini asije akatuletea "Sabaya" mwingine. Je, ni kwanini CCM wanamtumia Makonda hata baada ya kupigwa ban na Marekani?

    Mpaka sasa wenye uelewa wa kawaida tu wanafahamu ni nini mama Samia anakiandaa kwa siku zijazo hususani 2025. Mama na CCM wanajua fika kuwa bila rafu mambo yatakuwa magumu sana 2025. Kila wakati historia imeonesha kuwa pamoja na CCM kuwa madarakani na kujinasibu kama chama makini na kujiuza kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia amuaga rais wa Romania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemuaga Rais wa Romania, Mheshimiwa Klaus Iohannis baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini leo tarehe 19 Novemba 2023 Ikulu jijini Dar es salaam. Pamoja na Rais Samia viongozi mbalimbali waandamizi wa Serikali...
  6. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba Amshukuru Rais Samia Kwa Kuridhia kuwapatia Wachimbaji Wadogo Leseni

    Waziri wa Fedha, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuridhia ombi na kuwapatia leseni 28 wachimbaji wadogo wanaofanya shughuli zao katika mgodi wa dhahabu wa Sekenke One...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dugange Amshukuru Rais Samia Kurudisha Tabasamu Masaulwa

    Naibu Waziri Ofisi wa Tamisemi, Dk Festo Dugange amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza changamoto ya muda mrefu ya zahanati katika Kijiji cha Masaulwa Kata ya Imalinyi Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe. Dk Dugange ametoa shukrani hizo wakati alipokuwa akiweka jiwe la msingi...
  8. JamiiForums Tanzania Mabango yote nchi nzima, sifa zote mitandaoni za Rais Samia, hata kwenye 10 bora kuwa na GDP kubwa hatumo?

    Business Insider Africa presents 10 African countries with the lowest GDP projection for 2023 as the year rounds off. This is according to the International Monetary Fund’s World Economic Output report for October. The IMF's basic case assumes that inflation keeps declining. GDP projections...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Pensheni za Wastaafu za TISS hasa DGIS, DEO na DIO tokea wa Awamu ya Nyerere hadi ya Samia ni Kiasi gani?

    DGIS namaanisha Wakurugenzi Wakuu waliostaafu Kazi. DEO namaanisha Wakurugenzi wa Nje (Majasusi hasa) DIO namaanisha Wakurugenzi wa Ndani (Kachero hasa) Wajuzi karibuni ili mnielimishe hapa.
  10. JamiiForums Tanzania Mnyeti: Rais Samia Amedhamiria Kufanya Mapinduzi Sekta ya Uvuvi

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepania kuifanya sekta ya Uvuvi kuwa moja ya sekta vinara katika kukuza uchumi wa nchi. Mhe. Mnyeti amesema hayo wakati wa hafla ya kukabidhi boti 2 za...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mwinyi Wapokea kwa Shangwe Ushindi wa Karume Boys, Waipongeza kwa Kutwaa Ubingwa wa CECAFA U-15

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi wameipongeza timu ya Taifa ya Zanzibar chini ya miaka 15 (Karume Boys) kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya CECAFA-U15 yaliyofanyika nchini Uganda. Karume Boys...
  12. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia kwa mambo anayoyafanya tangu aingie madarakani

    PONGEZI 12 KWA MHE. RAIS SAMIA Na Amon Nguma . Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - KAZI IENDELEE . Ni ukweli usiopingika kuwa Salamu hii imebeba maana na uhalisia wa kazi Iendelee kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Ally Hapi: "Huyo fisadi, mla rushwa anamuogopa Samia"

    Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika. Video inazungumza... -Kaveli-
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia atumia sayansi kuzuia mikutano ya wapinzani

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakati Rais wa awamu ya tano mheshimiwa John P. Magufuli anaingia madarakani, miongoni mwa vitu vya kwanza kabisa alivyovifanya katika uongozi wake ni kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa akiamini kwamba mikutano hiyo ilichangia uzorotaji wa kuleta maendeleo...
  15. JamiiForums Tanzania Wajue Askari wa Mwamavuli wa Rais Samia

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha Watanzania ni dhahiri anajivunia uwepo wa viongozi hawa katika utawala wake ambai ni: 1. Dkt. Tulia Ackson, Spika wa Bunge JMT na Rais wa IPU. 2. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama. 3. Na Paul Makonda- Chuma Mwenezi wa Chama na Mzee wa kujitoa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia, TTCL ni shirika lililojaa wafanyakazi wazembe

    Kwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA. Katika mashirika ya serikali ambayo wafanyakazi wake wengi ni wazembe basi Ttcl wanaongoza. Hili Shirika limejaa uzembe wa kupitiliza hadi unakela. Dunia ya sasa wanategemea sana INTERNET ili shughuli zao ziende kwa wakati. Watanzania wengi wanapenda kuingiza...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

    Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali itaanza kuwalipa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Tsh. Mil 4 kila mmoja kama sehemu ya fidia ili wahame eneo hilo. Malipo haya yataanza kufanyika kuanzia Novemba 16, 2023. === Hisia mchanganyiko za wakazi wa bonde la Mto Msimbazi...
  18. JamiiForums Tanzania Mbwembwe za Makonda na Hatma ya Rais Samia

    Mgema akisifiwa............ Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa. Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia akikupa mualiko Ikulu wa dakika 5 utamshauri nini kama kijana wa kitanzania?

    Awamu ya sita ya mama Samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT, Ruzuku ya mbolea, Afya, Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao, nao wajione...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia ungana na upepo wa Paul Makonda

    Mhe. Mwenyekiti wa CCM Ndugu Samia Suluhu. Kwanza nikupongeze kwa kumpa nafasi Makonda. Umefanua jambo kubwa pengine zaidi ya kile ulichokilenga. Ndugu Paul Makonda Wengi wanaamini kuwa umerudisha fadhila kwa kijana aliyepanda mbegu ya fikra ya uteuzi wako kama mwanamke wa kwanza kwa nafasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…